madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania G55 ya watia nia wa chadema ni waroho wa madaraka. Wamesahau watanzania wangapi wamepoteza maisha kwasbb ya uchaguzi feki!

    Ivi watanzania sijui ni nani alie tuloga? NYERERE angekuwa na roho ya uoga kiasi hiki mpaka leo tusingepata uhuru. Nimesoma hoja zao hao G55, hazina mashiko zaidi ya uroho,ubinfsi, na tamaaa, za madaraka. HAWA G55 wamesahau ni watanzania wangapi wamepoteza maisha ,kutekwa, vilema, masikini...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

    Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna wimbo kutoka AI kuhusu madaraka

    Ai kwa sasa kilichobaki watutengenezee wakina lucas mwanshamba tu. Sikiliza hii nyimbo
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mbeya: Yaowaonya wanaotaka Kugombea Uongozi, kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu ili kupata madaraka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
  5. JamiiForums Tanzania Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia, adai anakiburi cha madaraka ya kulevya

    Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amemchana Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kauli zake kuhusu sakata la Dabi ya Kariakoo (Simba na Yanga) kuahirishwa. Pia, Soma: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa Video: Bongo5
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ushirikina na Rushwa kutumika kusaka madaraka ni hatari.

    Tukatae kuwachagua viongozi wanao tumia nguvu za giza/ushirikina kupata uongozi. Imekuwa jadi kwa viongozi wengi katika nafasi zao kutumia USHIRIKINA kupata na fasi na kulinda nafasi zao. tuwakatae viongozi wenye tabia hizo. Unamkuta kiongozi hana uwezo wa kuiongoza hata familia yake lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  8. JamiiForums Tanzania Je DPP wa Tanzania Anawajibika Kwa Watanzania au wachache waliopo Madarakani?

    Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora. Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambayo ni sehemu ya muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana bila upendeleo...
  9. JamiiForums Tanzania Kupiga kura katika jamii ambazo zinagombania madaraka

    Siwez kujihangaisha. Nipige wajihalalishie Tonge wakati mimi nateseka. Marekani ukipiga kura ina impact kubwa kwa taifa
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Esther Bulaya: Nilishangaa watu kusema Mbowe anang'ang'ania Madaraka, huwezi kumzuia yeyote asigombee

    Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya akizungumza siku ya Jumatatu Februari 24, 2025 kupitia kipindi cha Power Breakfast cha kituo cha habari cha Clouds FM. "Uchaguzi ni demokrasia, kachukua fomu Tundu Lissu (Mwenyekiti wa CHADEMA taifa), kachukua fomu Freeman Mbowe (Aliyekuwa Mwenyekiti CHADEMA...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkishapata madaraka hamjali tena?

    Mimi nilipokuwa mdogo ilipotokea pasipokusudi nimemuumiza mwenzangu nilikiwa naumia sana namwomba radhi na ilipotakiwa msaada za zaidi wa huduma ya jeraha lake nilimpeleka kwao kwa huruma. Lakini viongozi wa serikali mnapopata madaraka kwanini mnakuwa hamna huruma? Watu wanajeruhiwa,kupotea...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Ni vile Madaraka ni Matamu tu ila ningekua mtoto wa Wasira ningemuomba kwa nguvu zote apumzike

    Ni vile Madaraka ni Matamu tu ila ningekua mtoto au mjukuu wa Mzee Wasira ningemuomba kwa nguvu zote apumzike.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Madhara ya amani ktk taifa. "Natural Selection" haifanyiki hivyo hata watu dhaifu huishi na kupata madaraka.

    Israel ni taifa linalosifika ktk kila nyanja ktk uso wa dunia ni kwasabb imepitia misukosuko ya kivita kwa muda mrefu sana. Hii imepekea waisrael dhaifu kufariki na kubakia wale wenye nguvu ama uwezo wa aina fulani "survival of the fittest". Kwenye nchi zenye utulivu na amani ya muda mrefu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake na Uongozi 2025

    Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015. Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  16. JamiiForums Tanzania Kama Kagame alimshindwa Habyarimana hadi akamtungua na kuanzisha mauaji ya kimbari na kutwaa madaraka, anaiweza Tanzania iliyomchakaza Amin?

    https://www.youtube.com/watch?v=VSeLKOuuolI&t=729s Ukimsikiliza vizuri na kwa utuo imla wa Rwanda, Paul Kagame anavyoongea kwa kujiamini huku akipiga vijembe kuwa wanaomtisha ni maputo yanayoweza kutobolewa kwa sindano, unashangaa anapata wapi jeuri au ni usahaulifu wa binadamu. Madaraka...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

    Maria Sarungi ni nani ndani ya Chadema mpaka awapangie watu
  18. JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa CCM wa kuwapa madaraka ya juu wazee wastaafu waliochoka ndio utamaduni wao!

    Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM. Hizi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Madaraka Mabovu yanavyoendelea kuwatesa wananchi wa Tanzania kila siku

    Katika muktadha wa siasa za Tanzania, kuna changamoto nyingi zinazohusiana na utawala bora, uwajibikaji, na uhuru wa kujieleza. Viongozi wengi wanaonekana kuendesha shughuli za kiongozi kwa maslahi yao binafsi, huku wakiacha nguzo muhimu za uongozi ambazo zingesaidia kuinua maisha ya wananchi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Uchaguzi kila baada ya miaka mitano ndiyo uomo wa madaraka

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa katiba ya chama hicho uchaguzi kila baada ya miaka mitano ndio ukomo wa madaraka. Mbowe aliyeiongoza Chadema kwa miaka 20 tangu 2004, ameyasema hayo jana Desemba 3, 2025 katika mahojiano na Crown Media jijini Dar es Salaam. “Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…