madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Machafuko kwenye nchi yanatokana pale mtu anapojawa na tamaa za madaraka

    Tumetoka kwenye utawala wa kisheria sasa tunaingia kwenye siasa za kutoana roho, lawama zote na kiini cha haya yote ni mtu mmoja tu mwenye tamaa ya madaraka. Hii inaweza kupelekea vita vya sisi kwa sisi Tanzania kwa sasa sio salama tena kuna uwezekano wa machafuko kutokea hatakama watanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Uzuri wa kuunda genge ili liwe kinga ya madaraka yako kuna siku linakugeuka wewe mfano Sudani

    Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa. Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana. Swala la sudani lilikuwa funzo tosha ila ndio basi tena. Hata kule congo laurent kabila nalo lilikuwa hivi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kumkabidhi madaraka yasiyo na mipaka mtu mwenye uwezo mdogo, kuliko ambavyo ni hatari kumkabidhi kichaa bunduki aina ya machine gun

    Huu ndio ukweli, na kama huamini, tembelea Banana Republic uone yanayoendelea. Mmekwisha unless mnajikomboa. Sitaki maswali. Kwaherini.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madaraka katika uislam

    Sayyidna Abu Dharr Al-Ghifari (RA) – Kukataa Uongozi Mtume Muhammad (SAW) alimkataa Abu Dharr alipoomba nafasi ya uongozi: (Sahih Muslim) Abu Dharr alikuwa mcha Mungu sana, lakini alikatazwa uongozi kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kushughulika na majukumu yake. Yeye mwenyewe alikubali...
  5. JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuzima mabadiliko ya watu wenye tamaa za madaraka imefeli badala yake imechochea mwamko mkubwa wa mabadiliko nchini na duniani kote

    Kila siku zinavyozidi mbinu ya wenye tamaa ya madaraka kuzima mabadiliko kwa uhalifu na utekaji, uwepo wa kesi za mchongo, kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ndio inaamsha watu ndani na nje ya nchi kuunga mkono kwa kasi mabadiliko hayo, uwenda pia bunge la marekani na dunia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CCM YAMJIBU JAJI WARIOBA, YASEMA CCM HAINA MGOGORO NA CHADEMA: Ona Ulevi wa Madaraka , Kejeli, Dharau, Dhihaka, impunity toka kwa Amos Makala

    Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema! Hii ni kejeli CCM YAMJIBU JAJI...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Watawala wanaogopa kukosa madaraka kuliko kumkosea Mungu

    Video inajitosheleza!
  8. JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi?

    Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua, ufisadi, kuficha mali nje ya nchi na mengineyo mengi. Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani...
  10. JamiiForums Tanzania mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nyie wenye madaraka kumbuka: The Evils that men do live after them

    Mulilo, kuna hukumu ya Mungu inakusubiri, Samia hatakuwepo, utajibu wewe mwenyewe Bado una muda wa kurekeisha kasoro! na nyie polisi pamoja na kwamba mnatii amri, chukulia mama zenu , ndugu zenu wa damu for clarity , wamekuja kwenye kesi ya Lisu mahakamani, mtawapiga na kuwapeleka Mabwe...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamlaumu Uhuru Kenyata kwa kuwashawishi Vijana wa Africa mashariki walete mabadiliko kwa kushika madaraka

    Wabunge wazee wamemlaumu Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuwataka Vijana wa Africa mashariki waamke kutoka usingizini Wabunge hao wamesema Vijana wakipewa madaraka makubwa nchi za Africa mashariki hazitatawalika Source: Citizen tv Kwako kijana Lucas Mwashambwa
  13. JamiiForums Tanzania Kusalia madarakani kwa nguvu za madaraka ni uhaini na udikteta

    Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia. Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
  14. JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania tujifunze na kuwafundisha watoto wetu kuacha tamaa za madaraka

    Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii. Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kulinda madaraka yake?

    "Serikali ni watu waliochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu" Kwa mantiki hii serikali ni mali ya wote na haipaswi kumilikishwa kwa watu wachache. Kikundi cha watu "Chama Cha siasa" kinachoshinda kuongoza serikali hakipewi hatimiliki ya taifa kuwa kitaongoza milele. Iwapo serikali itawajibika...
  16. JamiiForums Tanzania Ni Nani amewahi kushinda kesi baada ya kupelekwa kamati ya maadili haki na Madaraka ya bunge?

    Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata katika kesi ambazo ni wazi kabisa bunge limekosea. Hivyo basi sijashangaa kuona mbunge Mrisho Gambo...
  17. JamiiForums Tanzania Wahaya hawastahili kupewa madaraka makubwa

    sisiemu imeshajifia muda mrefu sana Ila siasa za kupita bila kupingwa zimehasisiwa na MTU anajiita Bashiru Ally Kakurwa Muhaya kutoka Bukoba vijijini . Kama alivyowahi kusema mzee mmoja kuwa hii tribe ipo na matatizo sana . hasa wakikabidhiwa madaraka makubwa . no vision no humbleness Bashiru...
  18. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Walio na uchu wa madaraka toka CHADEMA sasa ni ruksa kujiunga na vyama vingine

    CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHASO: G55 ni matokeo ya tamaa ya madaraka, 'Ni waasi wasioitakia mema CHADEMA'

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…