Aseee mimi ni mchaga mmoja mpumbavu tu ,ambae nilimaliza elimu yangu chuo kikuu cha udom kama mkunga na nursing.
Now bado nasoma na ninatafuta degree ya medical doctor kwa sasa , na nyie mnaodharau ma nesii na wakunga , madaktari wa bongo nyoso wa ugoko tunawajia kwa kasi ya 6 g gademitt 😁