Usaha ni uchafu, usaha unanuka, usaha unaumiza na kuleta maradhi mengi, usaha unasambaa mwilini pindi husipotibiwa na kibaya usaha unaweza kukuua na kukumaliza kabisa. Dawa ya kwanza ya usaha ni kuutoa, kuukamua (Curratage and Dilatation) ndipo unaendelea na antiobitics, kutumia antibiotics...