Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Tanzania kuna wanawake ambao pasipo kuangalia mazingira ya walipotoka, ila kwa sasa wapo kwenye daraja la juu sana, both kwenye upande wa umaarufu, pesa, high networth connections etc
Na kila mmoja ukimtizama na harakati zake, unakuta kwamba sio za kitoto...