Je, unayafahamu mabati ya WAJA?

Je, unayafahamu mabati ya WAJA?

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,196
Reaction score
9,202
Habari wadau?!!

Niko kwenye hatua ya kupaua kakibanda kangu,changamoto niliyopata mara ya mwisho (2016) no kuuziwa mabati ya mgongo mpana a.k.a msauzi yaliyokuja kupauka ndaniya miezi6 tu kutoka kwa supplier mkubwa tu wa kihindi.

Sasa ninakaribia kupaua tena kibanda kingine,napenda kuweka bati ya jamii ya kigae-versatile sasa naomba mnisaidie wale wazoefu na kampuni ya mabatiya waja kwani naonabei yao sio mbaya ambapo no shs 48,000 kwa bati moja huku ALAF bati zao wakiziuzakwa shs 52,500/= kwa bati moja,hali inayonifanya kutafuta kampuni mbadala.

Naomba kujuzwa, je hayapauki upesi? Ni imara?

Uzoefu wenu tafadhali wadau
 
Rahisi siku zote ni gharama mkuu, kwa upande wa bati mpaka dakika hii ALAF Limited bado hajapata mbadala, huko kwingine ni janjajanja tu mwisho wa siku utaishia kulia.
 
Habari wadau?!!

Niko kwenye hatua ya kupaua kakibanda kangu,changamoto niliyopata mara ya mwisho (2016) no kuuziwa mabati ya mgongo mpana a.k.a msauzi yaliyokuja kupauka ndaniya miezi6 tu kutoka kwa supplier mkubwa tu wa kihindi.

Sasa ninakaribia kupaua tena kibanda kingine,napenda kuweka bati ya jamii ya kigae-versatile sasa naomba mnisaidie wale wazoefu na kampuni ya mabatiya waja kwani naonabei yao sio mbaya ambapo no shs 48,000 kwa bati moja huku ALAF bati zao wakiziuzakwa shs 52,500/= kwa bati moja,hali inayonifanya kutafuta kampuni mbadala.

Naomba kujuzwa, je hayapauki upesi? Ni imara?

Uzoefu wenu tafadhali wadau
Huo mbadala wa ALAF unaoutafuta ndio utakuja kulia nao.. Ongeza pesa mkuu chukua mzigo wa ALAF utakuja kushukuru baadae
 
Yale ya mwanzo yaliyopauka ndani ya miezi 6 yalikuwa kampuni gani? Unakumbuka ushauri uliopewa kabla ya kununua? ... chukua ALAF lakini jiandae na usumbufu kidogo.
 
Kama uja pata mabati nikupe namba ya mfanyakazi wa waja akupe details za mabati yao
 
Nakushauri ukishindwa kuchukua alafu. Nunua dragon Ni mabati mazuri Sana hayapauki yako imara ...nenda kiwandani kwao kabisa na vipimo vyako.

Ukitoa alafu. Inakuja dragon kwa ubora
 
Issue Ya Mabati Nayo Imekuwa Donda Ndugu
Watu Wanauziwa Rangi Tu, Ila Mabati Yanapauka Hivyo Hovyo Sana. Utafikiria Tbs Hawapo
 
Habari wadau?!!

Niko kwenye hatua ya kupaua kakibanda kangu,changamoto niliyopata mara ya mwisho (2016) no kuuziwa mabati ya mgongo mpana a.k.a msauzi yaliyokuja kupauka ndaniya miezi6 tu kutoka kwa supplier mkubwa tu wa kihindi.

Sasa ninakaribia kupaua tena kibanda kingine,napenda kuweka bati ya jamii ya kigae-versatile sasa naomba mnisaidie wale wazoefu na kampuni ya mabatiya waja kwani naonabei yao sio mbaya ambapo no shs 48,000 kwa bati moja huku ALAF bati zao wakiziuzakwa shs 52,500/= kwa bati moja,hali inayonifanya kutafuta kampuni mbadala.

Naomba kujuzwa, je hayapauki upesi? Ni imara?

Uzoefu wenu tafadhali wadau
Kwa ushauri wangu jipinde uchukue ALAF tu hutojutia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom