mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabasi ya Mikoani yameanza kutoza nauli zaidi ya kiwango kilichowekwa. Mamlaka husika fuatilieni

    Sasa kumekuwa na uhuni wa MABASI yote ya MIKOANI kutoza nauli kubwa bila nauli husika kwendana na viwango vya huduma. Basi linatangazwa kama VVIP ila nje ya Bus kuwa jipya na choo ndani hamna jipya zaidi. Viti vimebanana mno wala havipo comfortable. Juzi nimelipia ticket 2 kwaajili ya wazazi...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Rangi ya Plate number za mabasi ya shule

    Habari wakuu, Naomba kujua kwa mabasi ya shule inabidi yawe na plate number za njano ama plate number nyeupe? Naona baadhi ya magari yana rangi nyeupe na mengine njano.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa Mabasi ya Mbeya to Tabora

    Habarini, Je Kuna mtu ana ufahamu wa mabasi ya kutoka Mbeya kwenda Tabora? Je ni safari ya muda gani kama tukianza asubuhi?Barabara ni Rafiki au? Ahsante
  4. JamiiForums Tanzania Nassor Hamdan Seif, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki Dunia

    Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwili wa Marehemu Mzee NBS utasafirishwa kuelekea Tabora kwa Mazishi yake. Apumzike kwa Amani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Juu ya Barabara za Mabasi ya Mwendo Kasi Kujengwe Barabara za Kulipia (Express Way)

    Habari zenu wana Jamii Kuna fursa kubwa inaonekana ipo kwa serikali au private sector kuwekeza na wananchi wakanufaika. Ukiangalia huwa kuna space kubwa na pana inapatikana juu ya Barabara za mabasi ya mwendo kasi plus zile Barabara za njia mbili kila upande za kupita magari ya kawaida. Sasa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO RTO Rukwa akwamisha masomo ya madereva wa mabasi na malori

    Husika na kichwa hapo juu, Mimi ni dereva wa mabasi ya abiria Mkoa wa Rukwa. Nimeshindwa ku-renew leseni yangu kutokana na kukosa cheti cha PSV C PLAIN. Hivyo, nilipata taarifa kuwa Chuo cha VETA Mpanda kimekuja Rukwa kutoa mafunzo ya udereva wa Public Service Vehicles (PSV) na Heavy Duty...
  7. JamiiForums Tanzania Nini kinachangia makampuni ya mabasi kufa, pindi waasisi wanapokufa au kuwaachia watoto?

    Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa. Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz, Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani. Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakamata bus kutoka Tanzania likisafirisha bangi

    Police nab Tanzanian bus company ferrying bhang worth Sh2.5 million to Nairobi in Namanga Poleni watoto wa mama, mama atawatetea msilie ee
  9. JamiiForums Tanzania Finally: Nchi yetu 🇹🇿itapata kiwanda cha kutengeneza mabasi kitakachowekwa pale Kisarawe, Pwani

    Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Kiluwa ambaye ndiye Mwenyekiti/Mmiliki wa Makampuni ya Kiluwa Group Tanzania ( KG), amesema yupo tayari kuyaleta Jijini Dar es salaam Mabasi ya Abiria ya MAZ kutoka Ulaya kwa ajili ya kubeba Abiria wa ‘Mwendokasi’. Kiluwa ameyasema haya leo January 19 Jijini...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mchakato wa utoaji wa tenda ya kujaza gesi kwenye Mabasi ya Mwendokasi kwa Lake Oil ulikuwaje?

    Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia. Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia gesi katika maeneo mbalimbali ya Jiji, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia mabasi ya mwendokasi...
  11. JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwendokasi (DART) yakihudumia abiria gereji (kazi na utu)

    Mabasi ya Mwendokasi yakiwa yamejipanga tayari kuhudumia abiria huko gereji Ubungo Terminal. Kazi na utu.
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna kwama wapi,Angalia uganda wamezindua mabasi yao

    Mtu kama masoud kipanya sio wa kumkatisha tamaa. Uganda wametengeneza mabasi ya mwendo kasi na aina tofauti.
  13. JamiiForums Tanzania Mwananchi: Mwigulu tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Kama wanakufa njaa waajiri kwenye mabasi yako wawe wanapiga show

    Mwananchi huyu amemchana Waziri Mkuu Mwigulu baada ya kauli yake kuhusu wasanii kutoungwa mkono na wananchi. Amesema; "Tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Sasa, kama unaona kwamba wasanii watakufa njaa na mliweza kuwaajiri wakati wa kampeni, hata sasa hivi unaweza ukawaajiri kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Kuelekea D9 kampuni za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12

    Tanzania ya Sasa hivi ni ya moto sana, zamani yalipoitishwa maandamano watu walichukulia poa tu, Kwa kujua hakuna atakayetoka. Kilichotokea MO29, kimetoa blueprint ya maandamano nchini. Sasa Toka maandamano ya D9 yatangazwe, serikali imenywea kabsa inaogopa kutoa vitisho,na kufanya mazoezi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Neema Peter Thomas, ambaye ni Mmiliki mwenza wa mabasi ya Esther ni nani?

    Jana nilisikia Mwigulu akimtaja mke wake kuwa anaitwa Neema Peter. Na kwamba haitwi Esther kama tunavyodhani. Leo katika putapita zangu nikakuta wamiliki wa mabasi ya Esther ni Joseph Didas Ngeleuya na Neema Peter Thomas. Kwa anayemjua huyu Neema msaada tafadhali. Halafu kumbe mmiliki wa haya...
  16. JamiiForums Tanzania Mabasi ya Achimwene sijui yalifichwa wapi kwa hizi stika

    Hizi picha za hawa wawili nyuma ya basi zingechochea mara dufu hasira za raia, Huyu ameponea chupuchupu kutoka kwa kilichomkuta Esther Luxury
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Waandamanaji wachoma moto yard ya magari ya mabasi ya Esther

    Yard ya magari ya Mabasi ya Esther Luxury imechomwa moto na waandamanaji Inasemekana mabasi yote yaliyokuwepo hapo yamechomwa moto
  18. JamiiForums Tanzania Sababu ya safari za mabasi kusitishwa siku ya kesho Oktoba 29,2025, na vipi kwa mtu aliyekata tiketi ya tarehe hiyo?

    Katika hali isiyo ya kawaida mabasi yaendayo mikoani yamesitisha safari zake kwa siku ya kesho, sababu kubwa ikiwa nikuwapa fursa watu kupiga kura, nawaza watu hao ni akina nani kwa sababu kura sio lazima ipi hatma ya wale waliokata tiketi zao. Ipo hivi serikali ya CCM inahakikisha kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  20. JamiiForums Tanzania Unafiki wa media kutoripoti kero za wasafiri wa Mwendokasi, lakini media zote zimeripoti mabasi mapya UDART

    Media zetu Tanzania zinatusaliti au ni waoga? Sikusikia wala kuona vyombo vya habari vilivyosajiliwa wakihabarisha kero za wasafiri wa Mwendokasi. Taarifa nyingi zimetufikia kupitia Social Media na hapa JamiiForums. Lakini baada ya serikali kutoa mabasi mapya ya UDART, tunaona vyombo vikuu vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…