Sasa kumekuwa na uhuni wa MABASI yote ya MIKOANI kutoza nauli kubwa bila nauli husika kwendana na viwango vya huduma.
Basi linatangazwa kama VVIP ila nje ya Bus kuwa jipya na choo ndani hamna jipya zaidi. Viti vimebanana mno wala havipo comfortable.
Juzi nimelipia ticket 2 kwaajili ya wazazi...
Naomba kutoa changamoto yangu kwa Wahudumu wa mabasi hasa ya mikoani, kuna baadhi ya sehemu za mapumziko mafupi kwa ajili ya Watu kujisaidia maarufu kama “chimba dawa” mabasi yao yamekuwa yakiingia sehemu ambazo usalama wa mizigo ni mdogo ndani ya mabasi.
Kwani maeneo mengi kuna wezi ambao...
Hizi ni tetesi
Nasikia kuna tajiri mwenye magari mengi hapa mjini Morogoro, na magari yake yote huoshwa na kusafishwa nyumbani kwake pekee.
Inadaiwa kwamba mchanga unaobebwa na abiria kwenye viatu wanapoingia na kutoka kwenye mabasi yake hukusanywa na kuhifadhiwa kwenye viroba.
Haijulikani...
Nyie mnaojiita wahudumu wa hayo MABASI ya VVIP ,pamoja na baadhi ya abiria wenu mnakosa ustarabu.
Inakuaje muhudumu wa basi hutulii sehemu moja, Kila muda unajipitisha pitisha na kuleta migusano isiyo ya lazima kwenye gari ?Tena baadhi yenu mnanuka kienyeji sana, kwanin usitembee ndani ya basi...
Ninapenda kuwaeleza watoa huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani kwamba sisi abiria tunapenda kusafiri kwa raha na kufika salama.
1. Hatujawahi kuwaambia kwamba tuna haraka ya kufika hivyo acheni speed zisizokuwa na ulazima.
2. Kutokana na sisi kutokuwa na haraka huu mtindo wa kusimama dakika...
Nilihani ni kwenye kampuni za utalii, usafiri wa ndege, soko la hisa (DSE) ndiko walikowekeza zaidi,
Nimeshangazwa upya kujua kumbe hadi kqmpuni zq mabasi ya mikoani wamewekeza mzigo wa kutosha, rough estimation wamiliki almost asilimia 40 ni wachaga, karibia nchi nzima hukosi kampuni yao...
Wahudumu wa Mabasi ya mikoani yanayofanya safari usiku hebu jiongezeni tafadhali. Unakuta imeshafika saa 5 au 6 usiku, abiria wamelala lakini wao wataendelea kuacha TV zikiwa ON.
Abiria wanashindwa kulala kwa utulivu kutokana na kelele na mwanga wa TV unaoumiza macho.
Hivi ni nani akiwa...
Ndugu abiria tunapenda kuwafahamisha kuwa ndani ya basi letu tuna huduma ya choo kwa ajili ya haja ndogo pekee! Kama utakuwa na uhitaji wa ziada usisite kuomba msaada wa kondakta.
Hii ni kauli ambayo Inatolewa Na wahudumu wengi ndani Ya mabasi haswa ukiwa safarini. Na huwa wanasisitiza kuwa...
Mimi nakumbuka kuna mabasi yalikuwa yanaitwa Saibaba,mtoto wa simba.
Tukija wanamuziki kulikuwa three sister enzi hizo za ITV wadada fulani swaga za ulaya,mtoto wa dandu,msondo ngoma.
Upande vitu navyo kumbuka Airport ya dar ilikuwa free kuingia juu kuangalia ndege.
Lengine ilikuwa si rahisi...
Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology).
Usiku wa kuamkia Leo nimekosa usingizi baada ya kuwa na mawazo ya kuwaza na kuwazua juu ya maisha yangu ya usoni...
Habari Wandugu!
Leo kero yangu ipo kwa wasafirishaji wa abiria Mikoani haswa masafa marefu ya kuanzia masaa sita na kuendelea. Ni kawaida kwa wasafirishaji wa mabasi kutokuwa na vyoo ndani ya mabasi yao na pia kuweka sehemu moja katika safari nzima kwa ajili ya huduma za kijamii ikiwepo kula na...
Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao.
Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa...
Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu.
Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini.
Vilevile...
Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo.
========
Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with...
Habari,
Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
Hii ndo hali halisi ya kituo cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha.
Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka.
Mabasi mengi kwa Sasa...
Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na;
Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini...
Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini?
Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani.
--
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
dada
dada zetu
haya
hospitali
hospitali ya mloganzila
huduma
kuanza
kufanya
kuongeza
kurekebisha
mabasimabasiyamikoani
maendeleo
makalio
matiti
mkeka
mloganzila
muhimbili
mwili
tayari
wenye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.