mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LugaMika

    Kila mabadiliko mazuri huanza kama kuanguka kwa domino

    Maana yake ni kwamba ili uwe na mafanikio makubwa sana lazima uanze na uhodari kiasi na uwe nao kwa muda . Huenda watu hupokea vitu fulani kwa ubaya ndio maana vinawatesa. Nilitamani sana kujua kwanini Hayati John Magufuri alipenda sana kuwakumbuka wanyonge. Ila jibu nikalipata ni...
  2. JanguKamaJangu

    Mabalozi wa Nchi watakiwa kutumia taaluma, uzoefu kuharakisha mabadiliko ya kimfumo

    Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
  3. MINING GEOLOGY IT

    Mabadiliko ya hali ya hewa kuhusu swala la mvua na mafuriko

    MJADALA WA MAWAZO : Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kinaweza kusababisha mafuriko kutokana na sababu kadhaa, zikiwemo: Mvua kubwa na ya muda mrefu. Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kunaweza kusababisha mvua kubwa na ya muda mrefu ambayo inaweza kuzidi uwezo wa mifereji ya maji ya asili...
  4. Mwanadiplomasia Mahiri

    Ndani ya miezi mitatu kutakuwa na mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri

    Kutoka katika korido za Lumumba mpaka korido za Magogoni ma Chamwino, moto unawaka. Yule mropokaji ametimiza kwa uzuri ile script yake aliyopewa kule Umasaini jana. Kuna mabadiliko makubwa yanakuja katika baraza. Kuna majina makubwa yataondolewa katika nafasi zao za sasa! Naambiwa wale wazee...
  5. Crocodiletooth

    Mabadiliko ya jina la tume ya uchaguzi

  6. mchawi wa kusini

    Mabadiliko makubwa yanakuja duniani

    MABADILIKO MAKUBWA YANAKUJA DUNIANI: Hivi sasa ukiwa makini na mfuatiliaji wa habari za kitaifa na kimataifa,utagundua haraka sana kwamba dunia inabadilika, na unabii unatimia, kwa haraka sana! Nchi ambazo ni maarufu na zenye nguvu za kiuchumi hivi sasa,yaani wale G7,watapotea na kufifia muda...
  7. B

    Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

    1. Chawa bila kujali sekta ni janga lisilokuwa na tija. 2. Chawa huwa hawaoni wala kusikia dosari kuwahusu. 3. Kaulii hizi: "barabara ndefu haikosi kona" au "mwanamke mrembo hakosi kasoro," hazina maana yoyote kwao. Makundi haya yanahusika: a) Chawa wa mama: Hawa huwaambii kitu kumhusu bi...
  8. chiembe

    Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha. Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
  9. Mhafidhina07

    Tujitahidi kusoma historia ndiyo mkombozi pekee wa akili zetu kama tutakuwa wenye kuhitaji mabadiliko ya kweli

    History is the study of past,present and future events maana hii nazani nwaliosoma o level ndiyo walikuwa wanaitumia katika mitihani,historia ya bara la afrika imeandikwa kwenye waandishi tofauti kina walter Rodney,smith na wengineo. Historia ipo kwa lengo la kuonesha GAP au MAPUNGUFU ili watu...
  10. The Sheriff

    Utafiti: Watanzania Wanaunga Mkono Mikakati ya Kupunguza Uzalishaji wa Methane Kushughulikia Mabadiliko ya Hali ya Hewa

    Watanzania wameonekana kuunga mkono kwa kiasi kikubwa mipango inayolenga kupunguza uzalishaji wa gesi ya methane na kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Global Methane Hub, shirika la kibinadamu linalojitolea kupunguza uzalishaji wa methane...
  11. BARD AI

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  12. Mjanja M1

    Video: Urafiki wenye mabadiliko ndani yake

  13. Frank Wanjiru

    Robertinho: Tangu nimeondoka sioni mabadiliko yoyote Simba

    Robertinho anasema tangu amefukuzwa Simba hakuna mabadiliko yoyote kiuchezaji.
  14. Dalton elijah

    Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  15. peno hasegawa

    Wizara zenye matatizo ambazo ninahitaji mabadiliko au kuondoa viongozi wake wa juu

    Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka: 1. Waziri wa afya na Naibu wake. 2. Waziri wa fedha 3. Waziri wa Tamisemi 4. Waziri wa Nishati (Doto) 5. Waziri wa Maliasili na utalii 6. Waziri Madini 7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu) 8. Waziri wa uchukuzi
  16. Shining Light

    Punguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia hatua za kibinafsi

    Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama Kupanda miti ili kusaidia kuchukua kaboni dioksidi kutoka hewani. Miti husaidia kueneza hewa safi kwa...
  17. Mjanja M1

    Heche: Mabadiliko hayawezi kuletwa na waliosababisha matatizo

    "Mabadiliko hayawezi kuletwa na watu wale wale walioleta matatizo, yaani matatizo hayawezi kutatuliwa na kiwango cha fikra kile kile kilicholeta matatizo, matatizo tuliyonayo ya kukosa maji, umeme, umasikini yameletwa na CCM, CCM haiwezi kubadilisha hayo matatizo, CCM ni sehemu ya matatizo...
  18. Mjanja M1

    Kigwangalla: Serikali haiwezi kukuletea mabadiliko kwenye maisha yako, kuilaumu ni kupoteza muda tu

    "Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza...
  19. Shining Light

    Njia ambazo mtu anaweza kusaidia kupunguza mabadiliko ya tabianchi

    Tabia Nchi inahusu mabadiliko ya hali ya hewa duniani kwa muda mrefu. Ni matokeo ya ongezeko la gesi chafu katika anga, kama vile dioksidi kaboni, ambayo husababisha joto kuongezeka duniani. Matokeo yake ni mabadiliko makubwa katika hali ya hewa, kama vile kuongezeka kwa joto, mafuriko, ukame...
  20. Mr Lukwaro

    Kupunguza Elimu ya Msingi kuwa darasa la sita sio suluhisho la ukosefu wa ajira, tengenezeni sera ya elimu inayogusa soko moja kwa moja

    Mifumo ya elimu Chuo Kikuu bado inaendeleza elimu ya kukariri kile mwalimu anachosema na sio kumuandaa kijana kujiajiri baada ya kumaliza Chuo kikuu. In fact, Soko la Ajira limesha dorora, Soko limejaa wateja wengi kuliko wanunuzi. Watu wa Uchumi mtuambie hii inaashiria nini.🤷 Wadau...
Back
Top Bottom