mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Mabadiliko ya Kiuchumi

    Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika historia yake, iliyojaliwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuwa kinara wa ustawi wa kiuchumi barani Afrika. Ili kutimiza dira hii, ni lazima tukumbatie sera za uchumi zinazofikiria mbele na mageuzi ya kiubunifu ambayo yanaweza kutekelezwa ndani ya miaka 5...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko aitaka EWURA kupima uhusiano wa Rasimali na mabadiliko ya Maisha ya watu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa za utendaji katika Sekta ndogo ya Umeme, Gesi Asilia na Mafuta kwa mwaka 2022/2023 ambapo ametoa maelekezo mahsusi kwa Wizara na Taasisi mbalimbali kufanyia kazi taarifa hizo zinazoonesha mafanikio na changamoto katika...
  3. JamiiForums Tanzania Mada: Je, Ni Wakati wa Mabadiliko ya Uongozi kwa Maendeleo ya Tanzania?

    Tanzania imeongozwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya miaka 40. Ingawa chama hiki kimeleta maendeleo kadhaa, kuna changamoto zinazozidi kujitokeza zinazohitaji mabadiliko ya uongozi. Swali linabaki: Je, ni wakati muafaka kwa vyama vingine kupewa nafasi ili kuleta mabadiliko ya maendeleo...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikal ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali

    Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikali ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali yanayofanywa ili kubadili mtazamo wa vijana ambao ni nguvu ya taifa ikiwemo kuanzisha somo la ubinadamu, Somo hili lifundishe utu, maadili, uzalendo...
  5. JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla huna "moral authority" ya kupigania mabadiliko sahihi ya mfumo Simba SC.

    Huyu mbunge wa Nzega na waziri wa zamani wa Maliasii kwa wiki nzima sasa amekuwa akiendesha harakati zake mtandaoni na kwenye redio akidai Simba inaendeshwa ndivyo sivyo na "tajiri" au sijui mwekezaji Mo. Kigwangalla amelikomalia sana hili suala kana kwamba ana maslahi yoyote Simba zaidi ya kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo

    Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na nafasi kubwa ya maendeleo. Ili kufikia maendeleo endelevu na kujenga jamii yenye ustawi, ni muhimu kuanzisha miradi bunifu itakayowezesha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko ya tabia ya nchi

    Ili kuweza kudhibitiana na mabadiliko ya tabia ya nchi nivema serikali ikaanzisha kitengo kipya kitakachoanzia ngazi ya mtaa/Kijiji hadi taifa watakaokuwa wanashughulikia suala la upandaji wa miti na utunzaji mazingira. Hii itafanya kauli mbiu ya "kata mti panda mti" kufanikiwa tofauti na sasa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kukuza demokrasia ya Tanzania nakuchochea mabadiliko ndani ya miaka5-25 ijayo

    1.Utangulizi Tanzania ni nchi inayo ongozwa na demokrasia.Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo mamlaka kuu ya serikali imewekwa Kwa watu. Mfano wa demokrasia,serikali yetu huchaguliwa na wananchi,hapa wananchi huwapigia kura viongozi wao wa serikali. MALENGO YA DEMOKRASIA. 1.Maadili ya uhuru...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania dhidi ya mabadiliko ya tabia ya nchi

    Climate change refers to changes in the weather patterns of a specific area, which include rising temperatures, droughts, increased flooding, and shifting rainfall periods. Climate change has become a global challenge, caused primarily by the increase in greenhouse gases and excessive...
  10. JamiiForums Tanzania Kivuko cha Uraibu: Safari ya John kuelekea Mabadiliko

    John alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto nyingi. Lakini ndoto hizo zilifunikwa na kivuli cha uraibu wa madawa ya kulevya. Alikuwa amejikwaa kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka mingi, akijaribu kutafuta faraja katika ulimwengu uliopotoshwa. Siku zilipita, na kila siku...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Jeshi lenye mabadiliko ya kiteknolojia

    Nashauri bajeti ya Wizara ya Ulinzi iongezwe kwa kiasi kikubwa sana, ili kuliwezesha jeshi letu kwenda na kasi ya maendeleo ya kijeshi duniani. Pia vigezo vya kujiunga na jeshi viangaliwe. Yaani muda wa mazoezi ya ukakamavu upunguzwe kidogo, kisha jeshi likazane katika kuajiri watu watakaoleta...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko katika utoaji wa Police form no 3 (PF3)

    UTANGULIZI: Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo muhimu cha kudokumenti na kurekodi taarifa muhimu zinazohusiana na matukio hayo. PF3 inajumuisha...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii na waburudishaji watahitaji kuwa wabunifu zaidi na kubadilika ili kukidhi mahitaji na matarajio ya hadhira inayobadilika

    UTANGULIZI Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia, mabadiliko ya kijamii, na mienendo ya kiuchumi. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo: Teknolojia na...
  14. JamiiForums Tanzania Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania ulioendeshwa na TLS

    Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania Wakili Gloria Baltazari, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman akiwakaribisha na kutoa neno kwa washiriki wa Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania unaofanyika jijini DArusha leo tarehe...
  15. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Bio gesi kama nishati safi ya kupikia yenye gharama nafuu na pia kama njia ya kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi

    Bio gesi ni nishati ambayo hutengezwa kwa kutumia kinyesi cha wanyama kama vile ngombe, mbuzi na kondoo, na wanyama wengine ambao ni wakufugwa,pia huzalishwa baada ya kuoza kwa mbolea ya wanyama au taka za kikaboni. Picha Baraza la usimamizi wa mazingira (NEMC)...
  16. JamiiForums Tanzania Mabadiliko kombe la Crdb FA

    Kuna mabadiliko nimeyaona ya muundo wa kombe la Crdb FA cup kutoka kwenye ule muonekano wa kwanza likiwa kombe la Azam Mabadiliko sio mabaya na kombe limependeza ila sio vizuri kuwa na muonekano tofauti Kila mara mdhamini mpya anapokuja hii inaharibu muendelezo wa muonekano kwa makombe kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Safari Ya Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu na tekinolojia

    Ili Tanzania ipige hatua kubwa katika sekta ya elimu na teknolojia ndani ya miaka kumi ijayo kuanzia sasa 2024 mpaka 2034, yafuatayo yanapaswa kufanyika: 1. Kuwekeza katika Miundombinu ya Teknolojia - Kujenga na kuboresha miundombinu ya intaneti mashuleni na vyuoni. - Kuweka vituo vya...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa ni watanzania 10 chini ya umri wa miaka 50 walioleta mabadiliko chanya kwenye jamii kupitia vipaji na vipawa vyao walivyojaliwa

    Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba. 1. ZITTO KABWE Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi kuona inawezekana kuwa mwanasiasa mkubwa mwenye umri mdogo tena kupitia upinzani. Zitto aliingia...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iendane na mabadiliko ya dunia kwenye teknolojia

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira zipo hatarini - tuandae vijana kukabiliana na mabadiliko ya Teknolojia (AI)

    Utangulizi Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa teknolojia ya kisasa kama vile akili bandia (AI), yanaweza kubadili kabisa mazingira ya ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…