maandamano ya oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Maduhu: Jumla ya watuhumiwa 641 wamefikishwa mahakamni kwa kesi za uhaini, unyang'anyi wa kutumia silaha na kufanya vurugu

    Wakili Maduhu Williams kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) amewaeleza Jumla ya watuhumiwa 641 wamefikishwa mahakamni kwa kesi za uhaini, unyang'anyi wa kutumia silaha na kufanya vurugu. Katika Mkoa wa Dar es salaam kuna watuhumiwa 240 wamefikishwa mahakama ya Kisutu kwa...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Dawson Dominic hajaonekana tangu Oktoba 29, 2025. Familia wamsaka mochwari, vituo vya polisi bila mafanikio

    Jina kamili: Dawson Dominic Mwesiga Umri: Miaka 24 Tarehe ya kuzaliwa: 24 Desemba 2000 Namba ya simu aliyokuwa akiitumia: +255 752 968 227 Mara ya mwisho kuonekana/mwasiliano: 29 Oktoba 2025, saa 4:34 asubuhi Eneo la mwisho alipoonekana: Kimara, Dar es Salaam. Sisi kama familia ya mtajwa hapo...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza: Watu 172 washtakiwa kwa 'unyang'anyi wa kutumia silaha' na 'kufanya Vurugu' wakati wa Maandamano ya Oktoba 29

    Kutoka Mwanza: Watu 172, jana (Novemba 7, 2025) walifikishwa kortini wakishtakiwa kwa "UNYANG'ANYI WA KUTUMIA SILAHA" na "KUFANYA VURUGU" wakati wa Maandamano ya Oktoba 29 Taarifa hii ni kwa mujibu wa Jeshi la Polisi. WATU 172 KORTINI WAKITUHUMIWA KUFANYA VURUGU, UNYANG’ANYI WA KUTUMIA...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025. Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer. Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. ====...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Alphonce Kusaga athibitisha kuachiliwa na jeshi la polisi hapo jana

    Kupitia ukura wa Kusaga Tv ...... "Niko salama waliniachia JANA lakini naingia mahabusu na God anatoka lakini kama mwandishi wa wananchi nitawajulisha wananchi kilichojiri .Asanteni sana Kwa Wote mliopaza sauti kwa ajili yangu na mwenzangu". Pia Soma: Polisi wanaendelea kuwinda waandishi wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chacha Heche: Viongozi wa CHADEMA wanakamatwa na kupewa kesi ya kuratibu na kuchochea Maandamano ya Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara, Chacha Heche akizungumza leo Novemba 5, 2025 katika Mahojiano na Chombo cha habari DW ameeleza hali wanayopitia viongozi wa CHADEMA wakikamatwa kwa kuhusika kupanga na kuhamasiha Maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA watangaza siku 7 za maombelezo na bendera kupepea nusu mlingoti kwenye ofisi zao zote

    Mkurugenzi wa mawasiliano na uenezi wa CHADEMA Brenda Rupia amezungumza na watanzania na kutoa pole kwa niaba ya chama na wametangaza maombelezo ya siku 7 na bendera kupepea nusu mlingoti kwenye ofisi zao zote. Nchi yetu ilishuhudia maandamano ya amani yalifanywa na wananchi yalikuwa...
Back
Top Bottom