maandamano kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    Generation Z: Wanamapinduzi walioandika historia nchini Kenya

    Kizazi kipya cha waandamanaji vijana wa Kenya waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 kimeingia barabarani na kulazimisha serikali kubadilisha muswada wa wabunge uliopendekeza kodi ambayo haikuwapendeza watu wengi nchini Kenya, vijana hao walianzia TikTok,inafurahisha sana kuona vijana wa Generation Z...
  2. Mr Why

    Zifahamu sababu za Wakenya kuanzisha vurugu zinazodaiwa chanzo cha mvutano kati yao na raisi Ruto

    Hizi ndizo sababu za Wakenya kuanzisha vurugu inayoendelea hivi sasa.
  3. J

    Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

    Gachagua amevilaumu Vyombo vya Usalama Kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi Rais Ruto na hatimaye kusababisha Vifo vya Watoto Wasio na hatia Gachagua amesema Hata Polisi wamelalamika hawakupewa taarifa na idara ya Usalama wa Taifa mapema Aidha Gachagua amesema Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa la...
  4. Cute Wife

    Mahakama kuu yaamuru serikali kusitisha zoezi la wanajeshi kwenda mtaani kuzuia maandamo

    Mahakama Kuu yaiamuru serikali kusitisha mara moja zoezi lake la kupeleka wanaeshi mtaani ili kutuliza maandano. Hili limekuja baada ya Ikulu kutoa taarifa kuwa Rais Ruto amekataa kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Mahakama pia imeamuru Usalama wa Taifa Kenya pamoja na Polisi...
  5. Cute Wife

    Rais Ruto ahaidi kusikiliza maoni ya vijana

    Rais Ruto anatarajiwa kulihutubia taifa muda wowote kuanzia sasa. Hii limekuja baada ya Rais Ruto kukataa kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Usikae mbali kufuatilia updates zaidi https://www.youtube.com/watch?v=4xsmE0ko9jw Ruto atoa salamu za pole kwa waandamaji wote waliopoteza...
  6. Cute Wife

    Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

    Rais Ruto amegoma kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Hili limetokea baada ya maandamano yalikuwa yakiongozwa na Gen Z kufanyika zaidi ya wiki nchini humo. Ikulu imeripoti kwamba Rais Ruto anatarajia kuurudisha Mswada huo Bungeni kabla ya Bunge kuvunjwa baadaye leo. Rais Ruto...
  7. MK254

    Shukrani kwa ushindi vijana

    Vijana mumeitikisa nchi ikatikisika, mumenikumbusha enzi zetu wakati tulikua tunapigania demokrasia ya vyama viwili, na pia enzi za katiba mpya, ni faraja sana kujua nchi bado iko salama na kwamba hatokuja chizi yeyote na kuharibu tuliyoyapigania, na kwamba mkiitwa mnaitika na kujitokeza nchi...
  8. S

    Mahakama ya Upeo Kenya yachomwa moto

    Waandamanaji Kenya wamechoma mahakama ya ya Rufaa. Yaani wameamua kushambulia mihimili yote kuanzia Serikali, Bunge na sasa mahakama Inatisha. Pia soma===> News Alert: - Rais Ruto (kuhusu Maandamano): Ni uhaini! Tutawashughulikia
  9. Suley2019

    Maandamano Kenya: Uhuru Kenyatta atoa wito viongozi kufanya mazungumzo na Wakenya

    Uhuru Kenyatta Rais wa mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametoa tamko kuhusu maandamano yanayoendelea dhidi ya Muswada wa Fedha. Kiongozi huyo wa zamani wa taifa alituma salamu zake za rambirambi kwa Wakenya waliopoteza maisha yao wakati wa maandamano ya Jumanne, akisema ilikuwa haki yao ya...
  10. Travis Kitengo

    Waandamanaji wadaiwa kuchoma ndege iliyokuwa imeegeshwa Uhuru Park

    Asee
  11. Suley2019

    Rais Ruto (kuhusu Maandamano): Ni uhaini! Tutawashughulikia

    Rais William Ruto Jumanne usiku alielezea uvunjaji wa bunge kama kitendo cha uhaini, na akaahidi kuchukua hatua kali dhidi ya waandaaji na wafadhili wa maandamano, ambayo yalikuwa yameingia siku ya tano. Rais Ruto alikuwa akihutubia taifa baada ya siku ya maandamano ambayo yalisababisha vifo...
  12. S

    Nipo Kenya naangalia namna ya kurudi Tanzania, hali inatisha sana huku

    Nina mwezi nipo huku nchini Kenya kwa hali inavyoendelea nahofia usalama wangu. Mkiona kimya ujue ndo bye bye nishatangulia mbele ya haki.
  13. Kiungopunda

    Maandamano Kenya na hatari ya usalama wa nchi yetu

    Kwa hiki kinachoendelea Kenya na kinachofanywa na vijana dhidi ya ongezeko la gharama za maisha ni tahadhari kwa viongozo waliopo madarakani nchini mwetu. Kawaida, mwanadamu yeyote ana kiwango cha uvumilivu hususani pale anapokosa uhakika wa Kesho tonana na ugumu wa maisha, kukosa ajira...
  14. Nibiru X

    Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

    Baada kuvamia bunge kula vyakula vya wabunge kijana mmoja shupavu anaoneka kuondoka na siwa ya bungeni Kenya. Neno moja kwa huyu mwamba
  15. J

    Waandamanaji wachoma moto Biashara za Wabunge zikiwemo Hotel, Maduka na Mabasi, Ofisi ya Kimani yateketezwa!

    Hii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia Waandamanaji Nchini Kenya wameharibu Mali na Biashara mbalimbali za wabunge waliopigia Kura ya Ndio Finance Bill Aidha Ofisi za Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani na zile za Gavana wa Nairobi zimechomwa moto Mali hizo...
  16. J

    Rais Ruto: Nitafanya kazi na Gen Z. Tayari nimeongeza Fedha za Mikopo ya Elimu ya Juu na Ajira Mpya, nitawakaribisha Ikulu tuyazungumze

    Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi...
  17. Suley2019

    SI KWELI Waandamanaji wa Kenya walipora na kukimbia na farasi wa polisi

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na video inasambaa siku hache zilizopita zikidai kuwa Waandamanaji Kenya wameiba farasi wa polisi na kukimbia nao. Video hiyo inamuonesha mwananchi anayedaiwa amepora farasi huyo akimuongoza farasi huyo kwa kasi na ustadi mkubwa. Nimeona sehemu inadaiwa yule si...
  18. J

    Gen Z watawanyika katika Makanisa mbalimbali kuzuia Harambee za Wanasiasa kesho, Padre wa Rais Ruto aonywa!

    Vijana waandamanaji wa Gen Z wameonya Wachungaji na Mapadre kutoruhusu Harambee za Wanasiasa kesho na wale watakaokaidi watakuona Cha moto Gen Z wamesema kesho watatawanyika katika Makanisa yote kuzuia Harambee za Wanasiasa na Hata Harambee ya Rais Ruto wataizuia Source: Citizen TV PIA SOMA -...
  19. gstar

    Nawashangaa vijana wa Kenya, hakuna nchi itakayoweza kuendeshwa bila kodi

    Wakati nikiutafakari umasikini wa Mwafrika na vipi tutajikwamua kutoka hapa tulipo nakutana na mauzauza ya wananchi wakenya wanao andamana kisa ongezeko la kodi katika bidhaa mbalimbali. Nimekaa nikajiuliza ikiwa sisi waafrika tunataka kujitegemea kiuchumi, nivipi tutaweza kuziepuka hizi kodi...
  20. A

    Pamoja na Maandamano Kenya, Muswada wa Fedha wapitishwa na wabunge

    1. Huko Kwa jirani pamoja na finance bill kupingwa Kwa maandamano kila kona Wabunge wameipitisha Kwa kishindo. 2. Muswada (finance bill 2024) unapelekwa kwenye Kamati, kisha uende Kwa Mhe. Dr Rais William S. Ruto 3. Tuna ya kujifunza hapa? --- Despite widespread protest in the country, the...
Back
Top Bottom