maandamano kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mtuhumiwa wa mauaji ya Kware akamatwa, akiri kuua wanawake wasiopungua 42 ikiwemo mkewe

    Taarifa za sasa zinasema Muuaji wa Watu waliokutwa kwenye viroba huko Kware amepatikana na anahojiwa na Polisi kujua asili yake na sababu za kufanya Mauaji hayo. Source: Citizen TV ==== DCI nchini Kenya, Mohamed Amin amesema mtuhumiwa aliyekamatwa ,auaji ya Kware, Collins Khalisia mwenye umri...
  2. J

    William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

    Breaking news Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya Citizen TV ====== Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko. Katika kutangaza mabadiliko...
  3. W

    Serikali kuchunguza madai ya polisi kufanya ukatili dhidi ya waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Profesa Kithure Kindiki, ametangaza kuwa Serikali itakushughulikia polisi na wahusika watakaopatikana na hatia ya madai ya kuteka watu kinyume na sheria kipindi cha Maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024 Waziri Kithure alisisitiza kwamba vyombo vya usalama vina...
  4. T

    Laiti kama Ruto angeyafanya haya kabla ya maandamano ya gen Z angeimbwa kama shujaa wa Afrika. Afrika tunakwama wapi!?

    Mtu mmoja aliwahi kuniambia usemi unaosema tujifunze kwa makosa hauko sahihi kwani kuna makosa hayatakupa muda wa kurekebisha chochote. Ni kwa sababu ya hiyo dhana namuona Ruto alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuimbwa na historia kama Rais aliyejali wanyonge kwa kupunguza matumizi ya wakubwa...
  5. BLACK MOVEMENT

    Rais Ruto kushiriki mjadala na Wakenya kwenye X Space, Julai 5 kwa saa tatu

    Aisee, hatimaye kesho ndio kesho, Ruto atakutana na na jamaa wa Gen Z kule space. Make mwnzo alikuwa akutane nai ikulu ila ikaonekana jamaa hawana offisi wala kiongozi so kama anataka kukutana nao ni kule Space. Huku ni vitisho vya kufungia Space na tunanywea. Tusipo chukua notce kutoka Gen Z...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Wakenya, ni mjinga pekee ndiye anaharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe

    Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe. Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe. Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki. Haeleweki mwenye nguvu ni nani. That's not...
  7. M

    Mambo niliyogundua kutokana na maandamano nchini Kenya

    Wanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana. Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na...
  8. Suley2019

    Majeruhi waongezeka katika maandamano Nairobi huku watu 35 wakilazwa Hospitali ya Kenyatta

    Idadi ya waliojeruhiwa katika maandamano ya kupinga serikali yanaendelea kuongezeka, huku watu wengine 35 wakilazwa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta na majeraha ya risasi na majeraha mengine tofauti siku ya Jumanne. Uongozi wa hospitali unasema idadi inatarajiwa kuongezeka usiku kufuatia...
  9. Tlaatlaah

    Imetosha sasa, ni wakati muafaka Rais Ruto kuchukua hatua za makusudi za kimamlaka kuwadhubiti wahalifu nyuma ya Gen z na kurejesha amani

    Ni dhahiri sasa, Kumbe nia na dhamira ya vijana wahalifu nyuma ya Gen Z haikuwa kupinga ushuru, kodi, na tozo zilizokuwako kwenye muswada wa sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025 ulioipitishwa na Bunge la Kenya. Muswada ule umefutwa tayari na Mh. William Samoei Ruto. Ni nini kingine mnahitaji...
  10. Analogia Malenga

    Jesse Kwayu: Ugonjwa wa Gen-Z unaambukiza kwa kasi, tuache kufukia vichwa vyetu ardhini

    Ameandika Jesse Kwayu: WIKI iliyopita imekuwa ya harakati nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kubwa ya yote ni kizazi kinachojulikana kama Generation Z kuingia barabarani nchini Kenya ili kuilazimisha serikali ya nchi hiyo kusikiliza kilio chao kuhusu ongezeko kubwa la kodi kupitia...
  11. Z

    Ruto: Wakenya wengi walioandamana hawajui yaliyomo kwenye Muswada wa Fedha

    Alipokuwa akihojiwa jana tarehe 30/6 na waandishi wa habari, Rais Ruto alisema japo amekubali kuondoa na kutokusaini Finance bill hiyo lakini anasikitika sana kwani bill hiyo ilikuwa na manufaa makubwa wa wakenya wote na ililenga kuikomboa kuingia kwenye madeni makubwa. Alisema kuwa Wakenya...
  12. BLACK MOVEMENT

    Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

    Ukiweka Siasa Pembeni hatuna Watangazaji levo za kuwakaribia Wakenya, na tuna kwama sana kama nchi, kama umefuatilia mahojiano ya leo jioni ya Ruto na Watangazaji wa habari utagundua kwamba tuna kosa sana Watangazaji aina ile. Watatangazi wetu ni weupe sana hata aina ya vipindi vyao tu ni...
  13. Tlaatlaah

    Gen Z Kenya, mtaka yote kwa pupa hukosa yote; mihemko siyo dili kwenye mapambano

    Siyo rahisi kuyafikia malengo na mahitaji yenu ya msingi mengi na yote kwa pamoja. Inahitaji muda na nafasi. Inafahamika na Imebainika Africa na duniani nzima, mnatamani mahitaji yenu yote ya msingi yatimizwe. Serikali imekubali, na imewaalika mezani kuzungumza nanyi mnataka nini tena mtaani...
  14. Scared

    Watanzania tuamke tunaibiwa

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. Mimi binafsi nipo tayari kumwaga damu yangu Kwa ajili ya hili taifa, najua ipo siku nitakufa kwanini niogope kifo wakati huyo atakayenishoot na yeye ipo siku atakufa pia? Tunaona serikali inatuibia, tuzinduke usingizini tunaibiwa na wakufanya hii hali ipotee...
  15. peno hasegawa

    Ukipinga Kodi kwa kufunga duka unamkomoa nani? Tujifunze kwa Wakenya

    Ninaendelea kumsikiza! "Yaani sisi Tanzania tunapinga kodi kwa kufunga maduka, wakati wenzetu Kenya wameandamana. Ukifunga duka unamkomoa nani? Usifikiri kwamba unaikomoa serikali, sababu wataendelea kukusanya makato ya mikipo mliyochukua. "Serikali haikomoleki, andamaneni mdai haki zenu...
  16. J

    Gen Z: Ruto umepoteza Uhalali wa Kuongoza, Jiuzulu

    Sasa wale Vijana wa Gen Z wamemwandikia mh Rais Ruto Waraka mrefu sana kuhusu Matatizo yanayoiikabili Nchi yao kwa sasa Mwisho wa Waraka huo Gen Z wamesema Ruto hana Uwezo wala Uhalali wa kuendelea Kuongoza hivyo Wanamtaka ajiuzulu Nimeogopa sana 🐼
  17. T

    Jumba la kifahari la Mbunge Bilionea lateketezwa, magari, mifugo vyaharibiwa vibaya +254

    Kama kichwa cha habari kinavyosema jumba la kifahari la mbunge aliyekubali ule muswada wa kuwafanya wakenya kuwa watumwa katika ardhi yao, limeunguzwa, mifugo, magari ya gharama yote vimechomwa VIVA GEN-Z WACHA SISI TUENDELEE KUTYPE KUHUSU SATIVA HAPA JAMII FORUMS MLALE UNONO KWAKO johnthebaptist
  18. Lady Whistledown

    Kenya: Mahakama Kuu yaidhinisha Jeshi kuingia Mtaani kurejesha Utulivu

    Mahakama Kuu imeidhinisha matumizi ya nguvu za Kijeshi kurejesha utulivu kufuatia Siku kadhaa za Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha ambapo takriban watu 20 wameripotiwa kuuawa Jaji wa Mahakama Kuu, Lawrence Mugambi alisema kupelekwa kwa Jeshi Mitaani ni muhimu ili kulinda miundombinu ya...
  19. Bams

    Tujifunze kutoka Kenya jinsi Mihimili ya Utawala inavyofanya kazi

    Maandamano ya vijana wa Kenya ya kupinga mswada wa sheria ya kodi 2024/2025 yaliyanza kwa amani, na baadaye yameishia kwenye maafa. Lakini inaelezwa kuwa chanzo ni baada ya Polisi kumwua kijana asiye na kosa, na hivyo kuamsha hasira za waandamanaji. Vitendo zaidi vya uhalifu vimefanywa na...
  20. peno hasegawa

    Serikali ya CCM mnajifunza nini kwa wenzenu huko Kenya kuhusu maandamano ya Generation Z?

    Kutizama taarifa za habari huko Nairobi, serikali ya CCM pia inajifunza mambo mengine muhimu kutoka kwa maandamano ya vijana wa Kenya, kama vile: 1. Umuhimu wa kujenga usawa na uwazi katika mifumo ya kisiasa na kijamii. Vijana wanaona kuwa mfumo uliopo sasa hauko sawa na unapunguza fursa zao...
Back
Top Bottom