maandamano desemba 9

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Tume ya Uchunguzi: Puuzieni wanaoshawishi msitoe maoni, shirikianeni na tume

    Tume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume. Wito huo umetolewa Desemba 26 kupitia taarifa ya tume kwa umma iliyobainisha kuwepo kwa watu au makundi ya watu yanayotekeleza...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Wamachinga Dar: Ni bora tupoteze uhai lakini tulitibu taifa. Vipi na hawa wajumuishwe kwenye kundi la Wasanii?

    Leo nimewasikiliza hawa Wamachinga wa Dar na mmoja wao anasema ni bora tupoteze uhai lakini tulitibu taifa. Naona hata hawa tujumuishwe kwenye kundi la Wasanii, kususia biashara zao, twende kuwaunga mkono wale ambao wana Utu na hawajitokezi kuzungumza ujinga bila kujali watu waliopoteza maisha...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Sheikh Pembe: Lengo lao lilikuwa ni nini mpaka waseme Waislam ndio wamefelisha maandamano Desemba 9?

    Sheikh Pembe, ametoa onyo kwa Waislam kuhusu maandamano ya Desemba 25, akisisitiza kuwa jamii inapaswa kutazama matokeo ya mwisho ya hatua yoyote badala ya kushawishika na mipango au kauli zinazotolewa mitandaoni. Akizungumza katika somo la siku, shekhe huyo amesema kuwa baada ya maandamano ya...
  4. Waufukweni

    PostGE2025 Mwananchi: Tunashukuru vyombo vya usalama kwa kilichotokea Desemba 9

    Mkazi wa Dsm aliyejiyambulisha kwa jina la Amina Eli akitoa maoni yake kuhusu hali ya Disemba 09 "Tunashukuru jeshi la polisi na Vyombo vya usalama kwa hali ya Disemba 9 matarajio ya watu yamekwenda tofauti kwaio shukrani zetu tunazipeleka kwa Jeshi la Polisi na Serikali yetu kwa ujumla"
  5. Mr Devil

    PostGE2025 Ni ngumu sana Gen Z kushinda kwani majeshi yote yapo upande wa serikali

    Ni mjinga pekee ata zani skauti wa Jw wako upande wa wananchi. wote tume jionea wao ndo wame weka Road block kuzuia watu wasipite una wezaje kusema ni wa wananchi Polisi, TISS na JW wote ni majeshi ya CCM na serikali yake hamuwezi shinda kwa namna yoyote ile
  6. Waufukweni

    PostGE2025 Mtangazaji wa Clouds TV: Doria ya Polisi, Wanajeshi iwe endelevu

    Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona...
  7. Waufukweni

    PostGE2025 RC Chalamila: Hatukusema Wananchi wakae ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
  8. Waufukweni

    PostGE2025 MV Kazi yasitisha kutoa huduma leo Desemba 9

    Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December 09 kutokana na Kupata hitilafu kwenye mifumo yake ya Uendeshaji. TAMESA imeshauri watumia wa kivuko...
  9. Waufukweni

    PostGE2025 Video: Helikopta yaimarisha ulinzi na usalama katika Jiji la Mbeya

    Hali ya usalama katika Jiji la Mbeya ni shwari, Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya limeendelea kuimarisha usalama.
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
  11. Waufukweni

    PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  12. PAYE

    PostGE2025 Amani yatawala Singida licha ya tishio la maandamano

    Licha ya kuwepo kwa taarifa na tetesi za uwezekano wa kutokea maandamano katika maeneo mbalimbali nchini, hali ya amani imetawala katika mji wa Singida, huku shughuli za ulinzi na usalama zikiimarishwa katika maeneo yote muhimu. Hata hivyo, uchunguzi uliofanyika mapema leo katika mitaa ya mji...
  13. Waufukweni

    PostGE2025 Wakaazi wa jiji la Dar walia usafiri kuadimika, abiria wakwama vituoni

    Wakaazi wa jiji la Dar es Salaam Tanzania waelezea adha ya usafiri mapema leo. Leo ni sikukuu ya Uhuru nchini Tanzania, na siku ambayo pia yamepangwa kufanyika maandamano ya kuipinga serikali. Serikali imepiga marufuku maandamano hayo ikiyaita ni batili na kuwarai raia wabaki nyumbani na...
  14. ngara23

    PostGE2025 Nawashangaa baadhi ya viongozi na machawa wanaokejeli GEN Z kwa kutoandamana leo

    Hii siku ni ndefu Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi? Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi Hata sijui hii serikali wanataka nini? Maridhiano au mauaji. Hali ya utulivu ikirejea mnaanza tambo na kutonesha waathirika? Kwamba...
  15. ChekoFagia

    PostGE2025 Hali ilivyo ndani ya stendi ya Daladala Mwenge DSM

    Hii ndiyo hali halisi katika mitaa ya Mwenge, Dar es Salaam asubuhi ya leo, Disemba 9. 2025.
  16. uhuruborn

    Maandamano ya Gen-Z: Ukimya unaonekana kama ushindi kwa watawala, lakini ukweli ni mwingine

    Kama ilivyotangazwa mapema, kundi la vijana maarufu kama Gen-Z lilipanga kufanya maandamano tarehe 9 Desemba kupaza sauti juu ya masuala ya kijamii, kiuchumi na kisiasa yanayoikabili Tanzania. Hata hivyo, mpaka sasa maandamano hayo hayajatajwa wala kuonekana popote nchini. Kwa macho ya juu juu...
  17. R

    PostGE2025 Mbunge John Nzilanyingi: D9 hakuna maandamano Mwanza tunakula bata

    Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mwanza, John Nzilanyingi akizungumza na vijana wa jimbo hilo amesema hakuna maandamano yatakayofanyika Disemba 9, 2025. "Tarehe 9 hakuna maandamano, Natamani tutume ujumbe kwa mabeberu ambao wanataka kutuchonganisha vijana wa jiji la Mwanza wamekataa maandamano...
  18. DuaZaMama

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Kufanya maandamno Desemba 9 ni kuvunja sheria

    "Kesho ni siku ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliitangaza hakutakuwa na sherehe lakini hatutarajii kesho kuna watu watathubutu kuvunja sheria kwa kufanya matendo ambayo yanavunja amani. "Na tukio lolote la kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria. Hatutarajii kuwepo kwa maandamano kwa...
  19. DuaZaMama

    PostGE2025 Ubalozi wa Ufaransa Washauri Raia wake Tanzania Kubaki Majumbani Desemba 9, 2025

    Tunapenda kuwafahamisha raia wote wa Ufaransa waliopo nchini Tanzania kuwa, kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, mnashauriwa kubaki majumbani tarehe 9 Desemba 2025. Tafadhali ondokeni majumbani kwenu tu katika hali za dharura pekee.
  20. Mshana Jr

    PostGE2025 Kuelekea D9 kuna sintofahamu inaendelea Tanganyika

    Kuna mambo yanaendelea kimyakimya na mengine waziwazi Mengine ni uhalisia Mengine yanatengenezwa Mengine ni mahitaji ya nyakati . Ulinzi unaojumuisha vikosi vyote vya ulinzi kwenye majiji makuu . Mwamko mkubwa wa ukinzani wa wakereketwa wa ccm na uvccm kuelekea D9.. Kwamba eti nao wanataka...
Back
Top Bottom