maandamano desemba 9

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Mzee Butiku: Narudia maandamano ni haki ya kila mwananchi, ni njia ya kufikisha ujumbe wao

    Mzee Butiku "Narudia maandamano ni haki ya kila mwananchi, ni njia ya kufikisha ujumbe wao"
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Picha: Wananchi waanza kupost mabango ya Desemba 9, joto la maandamano ya D9 lazidi kupanda

    Wananchi kwa pamoja wakiongozwa na vijana wa Gen Z wanazidi kuchapisha mitandaoni mabango ya D9. Shindano hilo linazidi kukua na kuongeza chachu ya kufanyaka kwa maandamano ya pili siku hiyo. Haya ni baadhi ya mabango yaliyochapishwa na vijana mitandaoni yakiwa na madai tofauti ikiwemo KATIBA...
  3. October 2pm

    PostGE2025 Leteni vitisho tena tutaheshimiana walahi bado siku 12

    Ninyi mnajua kuwaua watoto wa watu halafu mnajisifu. Mliua ndugu zetu kama mbwa. Mlitisha sana, mkajiona hamfi, hamuguswi, na kwamba nyinyi ndiyo mna bunduki. Lakini mtajua tu. Tukitoka mkatuue tena, sawa? Jiandaeni na hizo bunduki zenu. Mnajiona kama hamtakufa, sisi tu ndiyo tunakufa—sio...
  4. Waufukweni

    PostGE2025 Mbunge Dodoma, Paschal Chinyele atoa tahadhari kuelekea Desemba 9. Viongozi wa mitaa fuatilieni wageni wanaoingia

    Kutokana na kuenea kwa uvumi wa taarifa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwepo kwa maandamano awamu ya pili yanayotajwa kufanyika Desemba 9, 2025, Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Paschal Chinyele amewataka viongozi wa mitaa kufuatilia wageni wanaoingia kwenye mitaa yao pamoja na kuwataka...
  5. Chachu Ombara

    PostGE2025 Polisi Chunya: Kuelekea Desemba 9, Bodaboda na Bajaj wasiuziwe petroli zaidi ya lita 2, wanayatumia kuchoma majengo na miundombinu

    OCD wilaya ya Chunya ametoa wito kwa wamiliki wa vituo vya mafuta kutowauzia bodaboda petroli zaidi ya lita moja kwani wamekuwa wakiyatumia kufanya uhalifu ikiwa pamoja na kuchoma majengo.
  6. Q

    Gen Z wa Kenya wamepanga kuandamana tarehe 9/12 kuelekea ubalozi wa Tanzania Nairobi

    Wanasema wataandamana kuunga mkono maandamano ya jirani zao GenZ wa Tanzania waliopanga kuandamana siku hiyo.
  7. Mi mi

    PostGE2025 Matatizo hayatoondoshwa kwa Samia pekee kuachia madaraka

    Matatizo ya Tanzania yanayo pigiwa kelele kwa muda mrefu na wananchi hayato ondoshwa au kupunguzwa kwa Samia pekee kujiuzulu na kuundwa katiba mpya. Kama CCM itaendelea kusalia madarakani basi ifahamike hakuna jambo la maana litakuwa limefanyika na damu za watu zitakuwa zimenda bure...
  8. 888I

    PostGE2025 Ushauri: Rais, ili kuepusha ‘D9’ kuwa siku ya damu na kuanguka kwa uchumi, zingatia haya manne

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu, kwa mujibu wa Katiba na sheria, tayari umeapishwa kuongoza nchi. Hata hivyo, katika sayansi ya siasa (wasomi watanirekebisha), kuna tofauti kubwa kati ya "Legality" (Uhalali wa Kisheria) na "Legitimacy" (Kukubalika na Umma). Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi...
  9. Waufukweni

    PostGE2025 Bodaboda na Machinga Dar: Desemba 9 hatufungui biashara

    Shirikisho la Vyama vya Madereva Bodaboda na Bajaji na Uongozi wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, wameahidi kutofanya kazi siku ya Disemba 9, 2025, kwa madai kuhofia kuingizwa kwenye mkumbo wa watu wanaofanya vurugu, kufuatia tetesi za kuwepo kwa maandamano yanayohamasishwa mitandaoni. Viongozi...
  10. Waufukweni

    PostGE2025 IGP Wambura: Siasa, dini visitugawe Watanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewapa 'somo' Watanzania, akiwataka wasikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile, iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Aidha, amewaomba Watanzania washirikiane na Polisi popote, kuhakikisha nchi inakuwa salama. Wambura...
  11. Waufukweni

    PostGE2025 Prof. Wangwe: Polisi nao wachunguzwe kutokana na kuhusishwa na vitendo vya mauaji

    Mtaalamu wa uchumi, Prof. Samuel Wangwe, amesema Tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha machafuko ya Oktoba 29, 2025 inapaswa kuangalia pande zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, kutokana na tetesi kwamba nao walihusika katika vitendo visivyo vya kiungwana. Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani...
  12. PAYE

    PostGE2025 Alichokisema mkuu wa polisi Geita, kuelekea maandamano ya Desemba 9

    Jeshi la polisi Mkoa wa Geita limewaonya maafisa usafirishaji (Boda boda) likiwataka kuacha kufanya vitu kwa mkumbo kwa kuwa kufanya jambo Kwa mkumbo kunanaweza kusababisha madhara kama yaliyotokea katika vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi. Jeshi hilo limetoa wito huo kupitia Mkuu wa...
Back
Top Bottom