maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Hii ndiyo maana ya Kifua Kipana cha Waziri Mchengerwa?

    Siku Rais Samia alipomteua Mchengerwa kuwa Waziri wa TAMISEMI, alimsifia kuwa Mchengerwa ana kifua kipana!! Kila mmoja alitoka na tafsiri yake juu ya kauli hiyo ya Rais Samia. Lakini wengi tulidhania kuwa kifua kipana cha Mchengerwa, japo hatujawahi kukiona, Rais alikuwa akimaanisha uwezo wa...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Ama kwa hakika maisha hayana maana kabisa

    Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster. Mwamba akalala mazima. Ooh...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini polisi wanaingilia misuguano ya kisiasa kila wakati nini maana ya kuwa na vyama vingi?

    Misuguano kidogo tu polisi washatoa barua. Hii nchi ina mfumo wa vyama vingi na ni kawaida kushindana kisiasa. Uchaguzi wa serikali za mitaa mnaandika barua za nini? Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kama mtanzania naona watu wanastahili kuwa na uhuru wa majadiliano na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania 70% ya wahanga Gaza na Lebanon kunakosemekana kuuwawa magaidi, ni wanawake na watoto. Yawezekana maana ya neno gaidi haijulikani!

    Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia. Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi: Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hii kauli ya "ndio hivyo sasa" ina maana gani ukijibiwa na mke wako

    Wakuu, iko hivi: Wife alikuwa na ratiba ya kwenda saloon, kitu ambacho alilazimisha sana. Sikupenda kumzuia, kwa hiyo nikamuelekeza kuwa atachukua ten kwenye hesabu ya mauzo dukani, lakini ahakikishe anawahi kufunga ili ratiba zingine za nyumbani zisiharibike, maana anapenda sana kupika usiku...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ichambue hii picha kwa maana ulivyoielewa

  7. JamiiForums Tanzania Dalili saba zinazoonyesha kwamba wewe ni mtu wa maana au mwenye thamani

    Mosi,unajua unaweza usikubaliane na watu baadhi ya mambo bila kuvunjiana heshima,na unaweza usikubaliane nao bila kupandisha sauti yako. Naam pamoja na kutokubaliana na watu katika baadhi ya mambo lakini haikupi sababu ya kuwavunjia watu heshima yao. Pili,unaweza kuhudhuria sehemu kwa muda...
  8. JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wekezeni coaster zenu Barabara ya Arusha Dodoma maana magari machache Njia hii

    Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama wenzenu walikataa kuwashtua mi ndo nawasanua hivyo Kiukweli hii barabara iko busy sana ila...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana huwa nawaona walimu wenzangu wanatembea na mikeka kama 20 barabarani. Madeni yanaleta stress

    Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu. Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni. Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.
  10. JamiiForums Tanzania Maana ya Halloween 🎃

    Kuna sherehe zinaendelea nchi za wenzetu..maarifu kama Halloween. Wajuvi mtupe historia yake na zina maana gani.
  11. JamiiForums Tanzania Siku hizi maadili mfanyie mama yako tu maana hata wenye kujiheshimu wanategemea promo za watu wenye maadili mabovu. Inasikitisha sana ila hakuna jinsi

    Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣 Anyway maisha yaendelee.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja na kila sababu ya kuipumzisha CCM maana ni kama inalizamisha taifa

    Habari zenu ndugu wana jukwaa letu pendwa. Kama mada inavyojieleza ukiangalia mambo yanavyoendelea nchini unaona kabisa kuna kila sababu ya chama cha mapinduzi kuwekwa likizo maana hawana mbinu tena za kuliendeleza taifa hili. Nina sababu zifuatazo kuisupport hoja yangu katika hili. 1. Chama...
  13. JamiiForums Tanzania Michezo inaahirishwa, Timu zinaathirika, Lakini zaidi ya mwaka Hakuna ukarabati wa maana unaoonekana uwanja wa Mkapa

    Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka sasa hakuna hata TV! pitch bado mbovu, LED Display boards zimeondolewa! Sasa usumbufu na muda wote huo...
  14. JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu

    Kwenye geti la chuo kikuu Cha Cape Town nchini Africa kusini kuna maandish yasemayo" "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. "Ruhusu mbumbumbu waonekane wamefaulu na wasonge...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana tukumbushane kama sio kuelimishana maana Giza lipo karibu

    Wakati unamlaumu mzazi kuwa maskini jiulize wewe hadi Sasa unapambanaje na umaskini hasa wa familia Yako au nawewe unasubiri uje usemwe na wanao?? Tanzania tumejaliwa kuwa na maeneo mengi ya kilimo kwa kila mkoa lakini maeneo hayo yapo wazi hakuna zao lolote. Ngoja niwasanue vijana wenzangu...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Manispaa ya Tabora wekeni Taa za Barabarani, muonekano wa Usiku Mitaani ni aibu

    Wanajamvi, Leo naomba nilete kwenu giza hili la Tabora, kiukweli nimesikia mara kadhaa baadhi ya Viongozi wa Tabora kupiga kampeni ya kwamba, Tabora linatakiwa kuwa Jiji, kwa Giza hili hadhi ya jiji watapata wapi? Viongozi wa Manispaa ya Tabora, Mkoa wa Tabora hili la Taa walichukue kama...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto ina maana gani?

    Habari za weekend wakuu. Kuna ndoto nimeiota usiku wa kuamkia leo imenishangaza kidogo na sijaelewa inanipa ishara ya jambo gani nikaona niwaulize humu watu wenye uelewa wa haya mambo ya ndoto. Iko hivi nimeota ilikua usiku wa giza niko naelekea stand ya bus nikiwa na abiria wenzangu tukiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ina maana Rais Samia amekwenda Kizimkazi badala ya kwenda kwenye mkutano wa Commonwealth.

    Kwa nini hakwenda Samia na Waziri Kombo kama alivyokwenda Indonesia na Januari.? Mi nadhani nchi yetu ina special relationship na UK,rais alipaswa kwenda kwenye ule mkutano. After all Malkia ndiye aliyeamua ugomvi na Maalim Seif katika Uchaguzi uliopita. Magufuli alikuwa poised kumuondoa...
  19. JamiiForums Tanzania Haya maandishi yalikuwa yana maana gani?

    Tuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani? Walikosa neno lingine au basi kuna jambo? DIETZ alimaanisha watumiaji wote tutafia Tanzania hatutatoboa kwenda nje ya nchi au😂
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni maana

    Naombeni waungwana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…