maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga haijawahi kuwa klabu ya maana kimataifa

    Tukiachana na kombe la shirikisho ambalo ndio Yanga wamewahi kupata mafanikio makubwa ya kufungwa fainali klabu hii ya Yanga haijawahi kuwa na mafanikio wala ubora wowote ule kimataifa Yanga ndani ya miaka hii mitano imecheza klabu bingwa mara mbili na katika misimu yote Yanga imeshindwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  3. JamiiForums Tanzania Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

    Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa? Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka; "...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu. Je, ni nani hao...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi tabia ya Watanzania kuwa wajuaji na kuelezea kitu ambacho hawakielewi maana yake tena comfortable kabisa inatokana na nini?

    Wakuu kumekuchaje? Mimi ni mfuatiliaji wa kipindi cha BAMBA LIVE, kinachoendeshwa na BobCat. Kawaida ya kipindi hiki jamaa hupita mtaani na kuwauliza maswali baadhi ya watu. Maswali yenyewe anaweza kuuliza na kuweka terminology ya kiingereza ambayo ukiitafsiri unakuta ni nje kabisa na uelekeo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Rangi za kofia za site na maana zake

  6. JamiiForums Tanzania Yanga wakiclick button ya answer kujua matokeo yao na Al hilal calculator unasema Math error. Nini maana yake?

    Wakuu mambo ni magumu sana utopoloni moja haikai. Najua wakifungwa calculator inazima.
  7. JamiiForums Tanzania Ukiota ndotoni upo na Mheshimiwa Rais - hii ina maana gani?

    Mnaojua kutafsiri ndoto, hii ndoto ina maana gani?.
  8. JamiiForums Tanzania Kambi ya Tundu Lissu, lianzisheni sasa kumkomboa Dr Slaa, maana mnadai kuwa Mbowe siyo "aggressive"

    Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera. Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani. Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Lissu: Chadema kipo kibra na M/kiti hana ushawishi tena ndiyo maana hata anapoitisha maandamo ni yeye na binti yake wanahudhuria

    "....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?" "....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!" "....watu waliokuwa tayari kutufia, sasa wana kiona Chadema kama rafiki kipenzi wa CCM." Tundu.
  11. JamiiForums Tanzania Mtu asiyepokea simu au kujibu ujumbe wa simu ana maana gani?

    Eti wakuu Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia? Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Sioni haja ya kusomesha watoto boarding kama kuna shule nzuri za Day maeneo tunayoishi na mzazi / mlezi una muda wa kumfuatilia mtoto

    Kwanza kabisa kama ulisoma boarding, ni kipi ulichomzidi mwenzako aliesoma day na mkafaulu wote mpaka mkahitimu chuo ? Kwa hali ya sasa kuna maeneo yana shule kibao za day na zinafaulisha, Je tuendelee na ule utaratibu wa kupeleka watoto boarding kama zamani ? Binafsi nakumbuka nilisoma...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni Mpango wa CCM CHADEMA kisiwe chama cha kitaifa, Ndio maana Mbowe kwao ni Chaguo Sahihi

    Mpo salama! Ninachowakubali CCM wanajua kusukuma Kete zao kwa AKILI Sana na pale inapohitajika nguvu kidogo wanatumia CCM KAMWE haitaruhusu Chama chochote cha upinzani kiwe chama cha siasa cha kitaifa. CCM hawaoni shida wala haiwashughulishi chama cha upinzani kutawala kanda Fulani au Mkoa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Touch, Release, Attack. Kuna watu washaanza kumpigia hesabu kocha wao kumuangushia jumba bovu maana goli moja moja kwa mbinde inawatia wasi wasi!

    Huyu Ramovich ni kama anamchongea kocha mwenzake aliyetumia mechi 15 kufunga goli 31 wakati yeye mgeni katumia mechi 7 na kufunga goli 21. Gusa achia twende kwao imekuwa shubiri upande wa pili maana wanaona kama timu yao inatumia nguvu kubwa kupata ushindi kwa mbinde, wakati wananchi wanatoa...
  15. JamiiForums Tanzania Nimepata vision, najaribu kufikiria maana yake…

    This vision I got this morning at seven o'clock. Nilikuwa katika ndoto. But in this dream I was sitting cross- legged doing meditation. And then I disengaged from the body and I started drifting in space propelled by some Force. I was just watching to see where I would be sent. Nikaenda juu...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu jiongezeni maarifa mitandaoni kabla ya kuingia Darasani maana wanafunzi wenu wanawaona vilaza mkijongea hapo ubaoni na kushika chaki

    Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini wao wakigoogle wenyewe wanagundua kuwa zipo zaidi ya 1,000. Unategemea watachukulia masomo yako kwa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Othman Masoud: Hakuna hata kero moja ya Muungano ya maana iliyotatuliwa

    Heri ya Mwaka Mpya wanajukwaa! Tuje hapa. Kumbe zile kelele nyingi za kudai kwamba kero za Muungano zimeanza kutatuliwa kwa kasi kumbe ilikuwa danganya toto. Mbona hii sasa ni tabu tupu! ========================= “Kwa upande wa kero za Muungano, hakuna hata kero moja ya maana iliyotatuliwa...
  18. JamiiForums Tanzania Make Kilimo Great Again: Tunahitaji Movement ya Vijana kurudi Vijijini, maana hii miji inazaa kizazi maskini

    Kila ninapofikiria taswira ya mkulima, mara nyingi namwona mtu aliyechoka, akiwa na mavazi yaliyochakaa. Hii inatokana na jinsi kilimo kimekuwa kikichukuliwa kama kazi ya watu wa kipato cha chini. Hata matangazo ya pembejeo za kilimo mara nyingi huwahusisha watu wenye lafudhi nzito za vijijini...
  19. JamiiForums Tanzania Picha yenye maana kubwa na kufikirisha

    tuwe vegan.
  20. JamiiForums Tanzania Inafika wakati unawaza, huenda ndio maana Mungu alimnyima kitu fulani au alimpa mtihani fulani kutokana na tabia zake

    Mimi si kkamilifu ninamapungufu yangu lakini ouna mambo unakutana nayo unaona hii ni zaidi ya mapungufu. Sina nia mbaya lakini ni mawazo ambayo nadhani siko pekeangu. Unaweza muona mtu anaumwa sana, let's say mguu au kitu chochote, ila ukija kusikia chanzo au historia yake unaina kumbe ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…