maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Soma katiba ya nchi yako ujue sheria na haki yako uwe jasiri maana tunaongozwa kwa katiba

    Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu: Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea ipasavyo. Unajua Wajibu Wako – Katiba siyo tu kuhusu haki, bali pia inabainisha majukumu yako kama raia...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wakifika sokoni wanauliza gharama ya bidhaa zote ndio maana wanachelewa

    Mwanamke hata akienda sokoni na shilingi elfu moja kununua sindano ya kushonea nguo, atazunguka soko lote na kuuliza bei ya kila bidhaa. "Hili dela ni bei gani?" "Hivi viatu ni bei gani?" "Hili gauni ni bei gani?" "Hii skirt ni bei gani?" "Hili sofa ni bei gani?" "Hii TV na Subwoofer ni bei...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Uvumba?

    Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”. Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu.
  5. JamiiForums Tanzania Maana ya jina Tanganyika: ( Likud Observation)

    Hata Nyerere aliwahi kusema hajui nini maana ya jina Tanganyika. But as for me, baada ya kutafakari kwa kina nimejidhirisha kwamba ifuatayo ndio maana halisi ya jina " Tanganyika" . Tanganyika means = The first Land ama nchi ya kwanza/ . How and why? Tanga = A kwanza/ Alie tangulia. Una...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini mabaunsa wengi ndiyo wamekuwa mashoga?

    Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndiyo hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili. Hali hii sina uhakika, ila nadhani inachochewa na madawa wanayomeza vijana kwa ajili ya kututumua misuli. Huenda hizo food supplements zina...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu body spray na perfume zisambazwe bure kama kondomu maana kwenye madaladala humu tutakufa

    Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua? Najua wanaume hatupaswi...
  8. JamiiForums Tanzania Maana yake ni nini: Nimepita klm 300 Matawi ya Simba na Yanga Barabarani ni Mengi kuliko ya CCM na CHADEMA.

    Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa. Najiuliza Watu wamehamia kwenye burudani...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona sijaona kiongoz wa sokohuru akikamatwa maana ni muhamasishaji namba 1 wa LBL

    Moja ya watu ambao ni wa kwanza kuifahamu LBL Kupitia wao ni SOKOHURU Kila kukicha alikuwa anaitangaza viongozi wa mikoani wengi wamekamatwa huyu jamaa mbona hakamatwi?
  10. JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    Wakuukwanza niseme nakushukuru sana kwa JamiiForums haswa inaleta exposure watu tunapona kimya kimya kwa maana siku niliyojiunga sikulala ni kama nilikesha natafuta hizi parts nasoma mpaka nikajikuta najiahidi kujileta kwako Kitu niligundua tangu nikufatilie ni uko very so down to earth not...
  11. JamiiForums Tanzania Sio kuhukumu au kunyanyapaa: aina ya wanawake ambao mwanaume inabidi awaepuke maana katika mahusiano probability ya mambo kwenda kombo ni kubwa

    Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi kikubwa. Hapa ni baadhi ya mambo ya kuzingatia: 1. Single Mothers: Changamoto za Kuwa Kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

    Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
  13. JamiiForums Tanzania Usingomaza unaongezeka kwa maana wadada hawataki tena kutii mabwana zao ila wakienda makazini hata boss akimtuma maji ya kunywa anasema "yes sir"

    Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha. Tatizo kuwa hamtaki tena role ya "traditional woman" iliozoeleka katika mapenzi, mnataka mapenzi ya instagram, ukweli ni kuwa mwanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Hawa watangazaji huwa wanalipwa mishahara? Maana wanafaidi sana

    Kuna huyu Mwamba anaitqa Sunday Temba kipindi cha mapishi ITV, Mwamba anafuatilia mapishi yakikamilika tu anasogeza pembeni anapiga 😀 Alianza kutangaza akiwa mwembamba sasa hivi ana kitambi. 2.Margareth Geddy Huyu dada anatangaza kipindi cha Hoteli zetu Safari channel, Kazi yake ni kutembelea...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kulipia bidhaa nje ya nchi na maana ya ZIP code

    Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress. Sasa kuna kipengele cha kulipia bidhaa hapo ndio nakwama maana Kuna mahali naambiwa niweke card. Pia Kuna mahali wanataka...
  16. JamiiForums Tanzania Nikifa msiniwekee pamba puani maana nina matatizo ya kupumua

  17. JamiiForums Tanzania Wakuu, kama upo maeneo ya mwanangi au nasa ginnery tafadhali naomba unishtue. Kuna ndugu yangu nataka nikuulizie maana ni miezi sasa hayupo hewani.

    Ni vizuri zaidi kama ukiwa boda boda kama sio bado pia itakuwa fresh . Karibu
  18. JamiiForums Tanzania Soma kiumakini utapata jambo la maana

    The Arse’s Bold Bid for Leadership: A Tale of Guts and Glory In the bustling metropolis of Human Body, where organs worked tirelessly to keep the system running, a new contender emerged for the role of leadership: the Arse. Yes, the Arse—often overlooked, frequently ridiculed, but undeniably...
  19. JamiiForums Tanzania Kipimo cha mwanaume wa maana, na mwanamke anayejielewa kwa ajili yako.

    🔘 MWANAUME WA MAANA NA MWENYE UPENDO WA KWELI KWAKO; Utakutana nae kwenye nyakati zifuatazo, 1. Wakati wa kukupa mimba. 2. Wakati wa kulea/kutoa matunzo kwa mtoto wenu. 3. Wakati wa matunzo ya familia yenu kwa ujumla. 🔘 MWANAMKE MREMBO NA MWENYE KUJITAMBUA KWA AJILI YAKO; Utakutana nae kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

    Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi. Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine. Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi. Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…