maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tar 29&30 ilikuwa ni mpango maalum wa kumpa kinyesi mtawala.???

    Kitu cha kushangaza kabisa mkoa niliokuwepo hakukuwa na maandamo wala uharibifu wowote ule siku ya uchaguzi.! Lakin siku ya pili tena jioni ndio vurugu zinaanza kwa kasi ya ajabu ?? Hawa walikuwa wapi kuanza vurugu siku husika.??? Inaonekana ilikuwa mpango maalum wa kumtia doa kiongozi kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum DAR inamshikilia Charles Gisima kwa Tuhuma za Kuchochea uvunjifu wa amani

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47), mkazi wa Madale Flamingo Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha na kuchochea uvunjifu wa amani katika...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za elimu binafsi (Private Coaching)

    Unahitaji kujifunza ujuzi mpya au kuboresha uwezo wako binafsi? Sasa ni wakati wako! Tunatoa MAFUNZO BINAFSI (One-on-One) kwa: 🌍 Lugha za Kigeni – Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kichina, Kihispania n.k. 💻 Kompyuta – MS Office, Internet Skills, Typing, Coding, Graphic Design n.k. 🚗...
  4. JamiiForums Tanzania Vigogo wa CCM na watoto wao wanajipongeza tuu na ubunge wa viti maalum

    Eeee nacheka kama mazuri Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba . Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee . Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama hakiwezi kupata viti maalum viwili, ni uongo

    Jamiiforums, Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili. Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo. IPO Hivi, ili ushiriki kupata viti maalum Inabidi uwe na angalau asilimia 5 ya kura za wabunge. Ukiwatoa wale wa kura za...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa. Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
  7. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tupate Database maalum ya vifo vya #MO29

    Naam! Vifo vilivyotokana na shambulizi la 9/11 pale World Trade Center, NY vilikuwa 2000+. Lakini mpaka Leo wamarekani kwa sauti moja wanasema “we will never forget” Japo hatuna idadi rasmi ya vifo vya #mo29, wengine wanasema ni zaidi ya 1000+. Zipo picha zimezagaa tu bila kuwa na sehemu moja...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Tunatokaje? Huu utakuwa uzi maalum. Mihemko tuweke pembeni. Ila ukweli na suluhu tusiviache

    Hamjambo wakuu! Poleni wote kwa yote yaliyotokea. Waliopoteza wapendwa wao, waliopata majereha, waliopoteza mali iwe kwa kuibiwa au kuchomwa moto. Na zaidi Mungu awape pumziko linalowastahili waliopoteza maisha. Upande wangu mambo yalikuwa magumu sana ukizingatia ninapoishi na karibu kabisa na...
  9. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum: Weka hapa makazi wa Mawaziri, Wabunge na Chawa wote

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza tunaomba wanabodi mtiririke hapa. Tuna kazi kubwa iliyotukuka Oktoba 29. Mimi ninashughulika na makazi ya Mbunge wangu wa Ukonga Jerry Silaa.
  10. JamiiForums Tanzania Sumu na dawa maalum ya kufukuza na kuangamiza popo..sumu na dawa ya popo

    Hello.. Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama 1. Uchafuzi wa nyumba zetu kama madari na ukuta 2. Kelele nyakati za usiku 3. Popo ana uwezo wa kubeba virusi vya magonjwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukimya magari yenye alama zinazoendana na JWTZ, je raia wengine waige au ni maalum kwa Makonda tu?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume akilalamika kuhusu mwanamke anaambiwa "TAFUTA HELA WEWE", ila mwanamke akilalamika kuhusu mwanaume anaandaliwa hadi kipindi maalum kwenye TV

    Mi nafikiri uduni uliopo katika jamii yetu umetengeneza ulimbukeni katika fikra na reasoning za watu katika maswala ya maendeleo ya mahusiano. Kuna watu wanadhani kuwa mtoto wa kiume ni kuwa robot alie auto-matic katika kukidhi kila kitu kilichopo mbele yake. Ndio maana wanaojinyonga , walio...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Umma wenye mahitaji maalum tunapangiwa sehemu zisizo rafiki, tukiomba uhamisho hatupati

    Kuna changamoto na adha kubwa tunapitia Watumishi wenye mahitaji maalum kwenye suala la uhamisho, tunapangiwa sehemu za kufanya kazi ambazo sio rafiki, hivyo inaathiri utendaji na inapotokea tunafuatilia uhamisho barua zinapokelewa Kama ushahidi TU hazifanyiwi kazi. Mara nyingi tunapofuatilia...
  14. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Ahadi za Uongo za Wanasiasa kuelekea October 2025

    Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni? Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa ajili ya kampeni za vyama mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

    Habari zenu wanaJF wenzang Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu. Kama una taarifa, una...
  16. JamiiForums Tanzania Wale Wanaopanga kumiliki magari used ya bei Nafuu: Tazama plan Yetu bila Riba

    Habari zenu wakuu. Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja. Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza...
  17. JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa suala la changamoto ya uzazi kwa mwanamke

    Suala la uzazi hasa kwa karne hii imekuwa ni changamoto sana. Idadi kubwa ya wanawake inakumbwa na changamoto.za uzazi kwa wakati na pengine kupelekea utasa. Lipo jambo moja ambapo umri wa mwanamke unapoonekana kwenda sana na hakuwahi kuzaa, kuna uwezekano mkubwa apate changamoto uzazi pale...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Termination on fixed contract/ kufungua shauri CMA kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa muda maalum

    Habari za leo wadau na wajuzi wa sheria Naomba msaada wako wa kisheria Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja Ambapo ulianza mwaka jana, Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures...
  19. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa kumpa moyo, faraja au kumtakia heri Tundu Antipas Lissu

    Ndugu Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na kuwekwa death row pale ukonga huku akikumbana na manyanyaso chungu nzima kutoka Kwa askari magereza...
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutoa matokeo ya mchakato wa kuteua mgombea ubunge wa CCM kwa kila jimbo.

    Ni vyema JamiiForums wakatoa updates hapa ili mambo yote yawe kwenye sufuria moja. Sina updates za uhakika mpaka sasa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…