maafisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iingilie kati wilaya ya Uyui upande wa maafisa utumishi wamekuwa wakiomba rushwa

    Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao. Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini. Ukifuatilia kwa umakini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali mnaibiwa kwa watu hawa wakishirikiana na maafisa Utumishi( wale waliodanganya wako masomoni na wale wa likizo bila malipo)

    Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia...
  3. JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ustawi wa Jamii Tanzania Dkt. Nandera E. Mhando atoa neno kwa Maafisa Ustawi, Moshi Kilimanjaro

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Tanzania Dkt. Nandera E. Mhando atoa neno kwa Maafisa Ustawi, Moshi Kilimanjaro.
  4. JamiiForums Tanzania Asubuhi ngumu' nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike huko Rafah jana.

    Wanakumbi, ⚡️‘Asubuhi ngumu’ nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike mjini Rafah jana. 9 kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na majeraha makubwa Katika mashambulizi mawili tofauti hapo jana huko Gaza...
  5. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii kufanyika Septemba 18-20, 2024

    Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Septemba 18-20, 2024
  6. JamiiForums Tanzania Maafisa usafirishaji

    Hii inaitwa no retreat, no surrender
  7. JamiiForums Tanzania Maafisa mikopo wa crdb hawajapenda mfumo wa ESS ambao unawapunguzia ulaji

    Habari wanajukwaa! Kuna mfumo wa watumishi wa umma unaitwa employee self service ess, kupitia mfumo huo watumishi hawahitaji kubeba nyaraka nyingi ili kukopeshwa mambo yanaishia online. Kutokana na maendeleo hayo maafisa mikopo hawajafurahi hivyo kuamua kukwamisha mikopo na kuwataka watumishi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia kushiriki kikao na Maafisa Kilimo

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  9. JamiiForums Tanzania Mwenda: Tupeni taarifa ya Maafisa wa TRA wasio waadilifu, tutachukua hatua

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema Mamlaka hiyo itawachukulia hatua bila kumpendelea wala kumuonea yeyote atakayehusika kukwepa kodi au kwa Afisa atakayeonesha kukosa uadilifu kwenye majukumu yake, amesema hayo Julai 15, 2024 wakati akizungumza na...
  10. JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi: watumishi wanaobadilishwa kada/kazi mwaka 2023/2024 na wale wa madaraja

    Naomba kujuzwa yafuatayo: 1. Je, unamjua mtu ambeye kabadilishwa kada au kupanda daraja mwaka huu? 2. Hivi ubadilishwaji kada na upandishwaji madaraja unaweza kuendelea hata baada ya mwezi july kupita. 3. Ni hatua zipi mfanyakazi anapitia baada ya kutuma maombi ya kubadilishwa kada. Hapa mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Mbona Maafisa wa Habari wa Timu za Tanzania zilizoshiriki 'Kagame Cup' ya mwaka huu hawatuambii imekuwaje 'Wametepeta' mapema sana?

    Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Maafisa ugani wanatatua matatizo kwa usahihi?

    Poleni sana wakulima wa Tanzania na michaka michaka ya kilimo na kupambana kujitafuta chakula Cha familia na pesa za kumaliza matatizo ya siku. Kwa hawa Maafisa Ugani tunaoambiwa huwa wanapewa pikipiki za umma kuja kupitia mashambani kwa umma Kwa wakulima hivi huwa mnafanya nao kazi vipi na...
  13. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Kibaha Mji: Hatuhusiki mgogoro wa eneo la Matuga, Maafisa wetu walioenda huko walikuwa na mambo yao binafsi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna kuna baadhi ya Mafisa wa Halmashauri ya Kibaha Mji wamekuwa wakiwasumbua Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini kwa kuwatishia ili kuwaondoa kwenye makazi yao, Kibaha Mji imetoa ufafanuzi wa kinachoendelea. Innocent Byarugaba, ambaye ni Afisa Mawasiliano...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Ruto wa Kenya akiwataka Maafisa wa Serikali wenye Umri wa miaka 60 Kustaafu, mwingine duniani anawapa Uteuzi ili wamsaidie Kumdanganya

    Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko. Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya...
  15. C

    JamiiForums Tanzania naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

    kuna wa klabu moja nasikia pamoja na mikogo yake yote popote pale alipo analipwa shilingi laki tano tu ya mafungu
  16. JamiiForums Tanzania Mgomo wa maafisa Usafirishaji (Bodaboda) utafananaje?

    Bado nawaza siku hawa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje? Madai ya Maafisa; 1. Kamata kamata ya trafiki, 2. Bei ya mafuta kupanda, 3. Mikataba na wamiliki,
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini tunajali Maafisa Habari kuliko Madaktari?

    Kuna nchi Afisa Habari ana muhimu zaidi kuliko hata Madaktari wanaookoa maisha ya Mama zetu Vijijini. Waandishi/ Maafisa Habari, wanapewa posho kila kikao, audience kibao. Hivi ni lini tutaheshimu na kuwathamini Madaktari wa binadamu Kwa maslahi na vifaa kazi? PIA SOMA - Kwanini Serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Maafisa Ubashiri tunaomba pia Rais ukienda Uingereza usitusahau

    Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda boda. Nasisi maafisa ubashiri (Betting Officers) tunaomba sana akipata nafasi ya kwenda England...
  19. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yaendesha Mafunzo kwa Maafisa Mawasiliano wa Vitengo vya Serikali pamoja na TAKUKURU

    Mei 16 na 17 2024, JamiiForums iliendesha mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Mikoa pamoja na Maafisa wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) yakilenga kuwajengea Uwezo katika nyanja mbalimbali ikiwemo Ulinzi wa Taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Trump adai Rais Biden aliagiza maafisa wa FBI wamuue wakati wa upekuzi nyumbani kwake

    MAREKANI: Rais wa zamani wa Marekani, ametoa madai dhidi ya Rais Joe Biden kuwa aliwaagiza Majasusi wa FBI kumuua kwa Risasi wakati walivamia makazi yake na kufanya upekuzi ulioibua nyaraka za masuala ya Usalama wa Taifa nyumbani kwake Trump amesema "Biden aliagiza nguvu ya mauaji itumike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…