maafisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Baadhi ya Maafisa Rasilimali Watu (HR) hawatumii busara, wanawachongea Watumishi wenzao

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amekemea tabia ya baadhi ya maafisa rasilimali watu (Human Resources) kuwachongea watumishi wa umma wanapohamia taasisi nyingine kwa kutoa taarifa hasi zisizo za kitaaluma. Akizungumza Juni 1...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Anahitimisha Mafunzo Ya Maafisa Na Wakaguzi Wasaidizi Wa Polisi Kozi Na. 1/2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=AsjCN8DKAh0
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna maafisa NACTVET wanacheza michezo kuvifelisha Vyuo vya Kati kwa maslahi yao binafsi

    Baadhi ya Maafisa wa NACTVET wanafelisha vyuo vya kati, kuchelewesha kua-prove maombi yao ili wasipate AVN Number kwa wakati washindwe kwenda vyuo vikuu, lakini wanafanya hivyo ili kupewa rushwa ndiyo waweze ku-approve maombi yao, funaomba mtusaidie. Kiulizeni Chuo cha St Joseph College, tawi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Yadi za malori Temeke zimekuwa kero, magari yanaziba njia, yanakata umeme, maafisa wa TANESCO wakija 'wanapozwa'

    Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa TANESCO wakija hawawasilishi kesi ofisini wanapewa hela na watu hawalipwi, vitu vyao vilivyoungua. Barua...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maafisa 4 wa Jeshi la Uganda (UPDF) Washtakiwa kwa Wizi wa Mafuta ya Jeshi

    Maafisa wanne wa ngazi za juu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Kijeshi mjini Makindye, wakikabiliwa na mashtaka ya kuiba mafuta ya jeshi kwa ajili ya matumizi yao binafsi. Wanaotuhumiwa ni: Brigedia Jenerali James Barigye Ruheesi (60)...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tujitafakari, Serikali inashambuliwa mitandaoni vitengo vya Habari na maafisa wapo kimya

    Watu wamwambia watateteaje uongo. Hawajui kilichomo kwenye ripoti watatetea vipi. Waziri wa Habari Makonda ajitafakari pamoja na kupewa B2 za content creators hajaisaidia serikali.
  7. JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Maafisa wa kodi wasionane uso kwa uso na mlipa kodi, ikiwa kuna umihimu yatengwe maeneo yenye uwazi na CCTV camera

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  8. JamiiForums Tanzania Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda. Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
  9. JamiiForums Tanzania Maafisa Idara za elimu anapostaafu Kiinua mgongo ni Wastani wa Tsh ngapi kwenye TGTS H au I?

    Igweeee! wanajukwaa wkwa wenye experience na kiinua mgongo katika sekta tajwa anabeba ngapi?? Na je kila mwezi wanapokea Pesa sijui inaitwa pension? kitu kama hicho. Je ni bei gani. kwa wajuzi tu, kama hujui comment fupi fupi
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki 1 au uwatoe 50,000

    Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki moja au utoe Rushwa 50,000 Sisi madereva na wamiliki wa Bajaj Morogoro tumechoshwa na usumbufu wa makundi ya watu wa manispaa. Wanakamata Bajaj bila mipangilio wakidai kuna makosa mbalimbali na faini inaanzia shilingi...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Shemdoe aelekeza maafisa wanaosimamia Mradi wa Lishe kupatiwa usafiri

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza Maafisa Lishe na Maendeleo ya Jamii wanaosimamia utekelezaji wa Mradi Jumuishi wa Lishe katika Mkoa wa Geita, Tabora na Iringa kupatiwa vyombo vya usafiri ili waweze kwenda kutoa huduma kwenye maeneo yanayokabiliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rwanda yaikosoa Marekani kuhusu vikwazo dhidi ya maafisa wake wa kijeshi

    Rwanda imekosoa vikwazo vilivyowekwa na Marekani, ikiviita hatua hizo kuwa zisizo za haki na zenye upande mmoja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Vikwazo hivyo vinalenga Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na maafisa wakuu wa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Maafisa wa Uvuvi wanatunyanyasa sana Wauza dagaa wa Kirumba Kivukoni

    Maafisa ya Maliasili na Uvuvi walioko Mwanza wanatunyanyasa sana sisi Wafanyabiashara wa dagaa, unakuta wanakuja pale Kirumba Kivukoni wanakamata mizigo hovyohovyo, hata kama una kibali wao wanakukamata tu. Baada yah apo wanakutafutia kosa na kuanza kuomba rushwa wakidanganya eti ni fine na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Maafisa na Askari wa Uhamiaji tunateseka kwa uhamisho bila malipo

    Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho. Tunatambua kuwa sisi ni kada ya Askari lakini haiondoi ukweli kuwa sisi ni binadamu, tuna familia zinatutegemea na ni haki yetu...
  15. JamiiForums Tanzania Wezi waliojifanya maafisa wa polisi, wamepora pesa kwenye gari la kubeba Pesa huko Italia

    Tukio hili limetokea mchana kwenye barabara moja huko Italia baada ya wezi kuisimamisha gari ya pesa na kuipora.. wawili wamekamatwa... Tukio hili limenikumbusha filamu moja ya Money heist inayoitwa HEAT ============== Genge lenye silaha limefanya shambulio la mchana kwenye gari la...
  16. JamiiForums Tanzania Maafisa 90 wa magereza wahitimu shahada ya uzamili Chuo cha Uhasibu Arusha

    Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Lusetula (Mbunge), amewatunuku shahada ya uzamili wahitimu 2,250 wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), wakiwemo maafisa na askari 90 wa Jeshi la Magereza, waliosajiliwa katika mwaka wa masomo 2024/2025 katika fani mbalimbali zikiwemo amani na usalama pamoja na...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani: Maafisa wa Federal Agents Wavunja Gari na Kumvuta Mwanamke Mlemavu kwa Nguvu na Kumtia Mbaroni

    Video hii inaonesha maafisa wa shirikisho wa Marekani (federal agents) wakimvuta mwanamke kutoka kwenye gari lake kwa nguvu huko Minneapolis, huku mwanamke huyo akipaza sauti akisema kuwa ni mwenye ulemavu, wakati wakimtia mbaroni. Tukio hilo limetokea umbali wa mabawa machache tu kutoka pale...
  18. JamiiForums Tanzania Boda boda jipendeni wenyewe serikali haitakujaga iwajali hakika

    Ukweli ni huu hapa acheni kujifariji nyinyi ni bodaboda tu. Ibaki hivo achaneni na kupewa sifa na majina mazuri Serikali ingekuwa inawapenda isinge ruhusu kuingia kwa helmet feki na laini kuliko hata kichwa Cha mwanadamu. Kuruhusu helmet feki ni sawa na kuruhusu vifaa tiba au dawa feki kwani...
  19. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Kuna kipindi tunawachukia wanahabari wanaoripoti kero za wananchi. Mkurugenzi kaa kwenye kiti chako na uenee

    Wakuu, Huyu hapa Makonda akiwa anawawashia moto wanahabari ambao wanamind vyombo vya habari ambavyo vinaripoti kero na changamoto za wananchi "Inafika mahala Watanzania wanaenda kulalamika kwa wanahabari huko mitaani, wanahabari wanaenda kuripoti kero za wananchi iliyotokea kwenye halmashauri...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji Wilaya ya Muleba wanatumia 'Road Barrier' kula rushwa

    Naomba nifichue huu uovu wa baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji waliopo Wilaya ya Muleba, wameweka “Road Barrier” maeneo ya Kasindaga wamekuwa na tabia ya kula rushwa hao na kunyanyasa watu wanaopita eneo hilo, ukipita tu bila kitambulisho lazima uache pesa pale la sivyo kazi unayo. Hili lichukuliwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…