maafa

Maafa, African Holocaust, Holocaust of Enslavement, or Black Holocaust are political neologisms popularized from 1988 onwards and used to describe the history and ongoing effects of atrocities inflicted on African people, particularly when committed by non-Africans (Europeans and Arabs to be exact, specifically in the context of the history of slavery, including the Trans-Saharan slave trade, Indian Ocean slave trade and Atlantic slave trade) which continues to the present day through imperialism, colonialism and other forms of oppression. For example, Maulana Karenga (2001) puts slavery in the broader context of the Maafa, suggesting that its effects exceed mere physical persecution and legal disenfranchisement: the "destruction of human possibility involved redefining African humanity to the world, poisoning past, present and future relations with others who only know us through this stereotyping and thus damaging the truly human relations among peoples".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maandamano ni desturi ya kudai mabadiliko katika baadhi ya mataifa duniani, lakini Africa Mashariki imekua ni kichochea cha ghasia, uharibifu na maafa

    Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa, Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi, lakini pia kukosa kua na faida wala kuleta matokeo yoyote yale chanya kulingana na malengo, na...
  2. JamiiForums Tanzania Pesa inayotokana na kufanya maafa na kwenda kuwekezwa inaitwa "BLOOD MONEY". Je pesa inayotakana na udangaji na umalaya kwenda kuwekezwa itaitwaje?

    Milupo ya mwaka 2000 sio sawa na hawa wa mwaka 2026. Wadad wenye makebo makubwa wamebadirisha maisha na ya familia yao simply kwa sababu ya makebo na shepu yao na ufundi wao kucheza mechi. Boss la DP World Tonny Kapola Gas Station
  3. D

    JamiiForums Tanzania Makosa ya baadhi ya Askari wa Usalama Barabarani (trafiki) wasio na weledi yaliyowahi kusababisha maafa

    Ukosefu wa weledi katika kutekeleza majukumu ya kusimamia usalama barabarani yaliyowahi kuleta majanga: Mamlaka za usalama barabarani zipo chini ya kikosi cha usalama barabarani (Trafiki) Pamoja na kupewa mamlaka hayo makubwa kusimamia vyombo vyote, yapo makosa ya wazi kabisa ambayo hufanywa...
  4. JamiiForums Tanzania Soichiro Honda: Kutoka Maafa Hadi Ufalme

    Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo! Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki! Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
  5. JamiiForums Tanzania Hii bundiki ndio imetumika na kuuzwa zaidi Dunia na imeleta maafa ya kutisha.

  6. JamiiForums Tanzania Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

    Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha. Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

    Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena. Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya maafa ya maandamano ya MO29, sidhani kama watanzania wana nguvu ya kuandamana tena kwa miaka 20 ijayo, watu wanaogopa sana maandamano

    Wengi wetu tulidhani maandamano yatatulizwa kwa mabomu ya machozi , virungo na vipigo, vifo vilitbiriwa kuwepo kakini vichache sana visivyozidi 20. Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa, risasi zilimiminwa kama njugu. Watu wengi walipoteza maisha wakiwemo wengi zaidi ambao hawakuandamana na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 GE2025 Aftermath: Ansbert Ngurumo atoa way forward ya kuepusha maafa zaidi. Vijana wasikilizwe. Ataja sauti ambazo zikisikika, vijana watatulia

    https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC Amesema haya: 1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa 2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea, kwamba watu hususani vijana wanaweza kuandamana kuipinga serikali na utawala uliopo 3. Ameshauri way...
  10. JamiiForums Tanzania Palestina imeshatambuliwa na mataifa 147 zamani na haijasaidia chochote.Huu utambuzi wa nchi za Ulaya na Canada ni ujanja mwengine basi, wa maangamizi

    Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu. Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana. Habari hizo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ya Afrika yaingia katika hali ya maafa baada ya kukandamizwa na sera ya ushuru ya Marekani

    Katika mitaa ya Maseru, mji mkuu wa Lesotho, viwanda vya nguo vilivyokuwa na oda nyingi vimefungwa. Wafanyakazi waliokosa kazi wanasimama kwa foleni chini ya jua kali, wakiinua mabango yanayosema: "Tunahitaji kazi, tunahitaji chakula." Nchi hii ya milimani ya Afrika ambayo rais wa Marekani...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa TCRA kwa kudhibiti wimbi la matapeli kwa njia ya mtandao.

    Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu. na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa. Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana. Mwendo huohuo.
  13. JamiiForums Tanzania Haya fuatilieni haraka tayari Basi la KIDINILO limeshaleta Maafa huko Ubena Zomozi na nasikia kuna Taarifa si nzuri

    Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
  14. JamiiForums Tanzania Bomu la kujitoa mhanga kanisani huko Syria lafanya maafa

    Hii ni kazi ya vijana wa itikadi ya msimamo mkali maana yuko radhi ajinyonge ila sio kuona ukristo ukiwa karibu yake.
  15. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa siasa washtukiwe, maafa ya mabadiliko ya hali ya hewa hayapaswi kusahaulika Katika Ilani ya chama na kampeni za uchaguzi 2025

    Wakuu, Nimekua nikitafakari sana kuhusu hizi vurugu za wanasiasa pande zote upinzani na CCM, nikisikiliza hoja zao wakijiandaa na uchaguzi mkuu October 2025 Kwa hamu sana nilitamani nisikie wakiongelea Maafa yanayowakumba wananchi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa hasa mafuriko ila ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

    Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada. Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran. Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena. Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna maafa makubwa huko Israel!

    Ukiona Wamagharibi wanakiri hivi, ujue hali ni tete! Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t Missiles from Iran and Yemen 'hitting Israel' Sunday 15 June 2025 04:14, UK...
  18. JamiiForums Tanzania Media ni platforms ambayo inaweza kukuza ama kubomoa na kuleta majanga

    Sasa Hivi SAJENTI anaomba kukutanishwa Na PATENI, Hata kama walikuwa na kutoelewana ila kwa namna moja ama nyingine Media zinachochea ugomvi wa hawa madogo. Hawana experience ya kuhojiwa kila watakachoulizwa hata kma ni chonganishi wanajibu bila kufikiria swali lina maanisha nini.
  19. JamiiForums Tanzania John Mrema kwa Lissu: kama hatuingii katika uchaguzi kuzuia watu wasife, je watu hao wakitumika kuzuia uchaguzi maafa si yatakuwa makubwa zaidi?

    Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa. Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi. Hiyo ni akili au matope? Obvious watadhurika watu wengi.
  20. JamiiForums Tanzania Wenye mamlaka tuwaokoe hawa watoto kabla ya kutokea maafa

    Hii ni hatari sana kwa watoto wetu, hasa kipindi hiki cha mvua. Hapa ni maeneo ya Banana - Ukonga. Chukueni hatua mapema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…