maadui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vympel: Kikosi cha siri kinachotumiwa na Kremlin kuwaangamiza maadui wa Putin nje ya Urusi.

    Hiki ni kikosi cha siri ndani ya shirika la ujasusi la urfusi yaan FSB kinachoundwa na watu hatari zaidi zaidi duniani. naam wakuu hawa qatu ni hatari kuliko hatari yenyewe wanaua popote duniani na mda wowote. wanatumia sumu bunduki karate judo yaani kila njia ili tu kazi waliopewa ikamilike na...
  2. JamiiForums Tanzania Smart911 na Mahondaw tupeni mbinu vijana wenu maana maadui wa penzi letu ni wengi mno

    Heshima kwenu wakubwa zetu Smart911 na Mahondaw Mimi Kijana Masikini na Mpenzi wangu Marry Diana tunaomba mtupe siri ya mafanikio juu ya kudumu kwenu kwa muda mrefu kwenye Mapenzi. Tunajuwa nyinyi sio waongeaji sana lakini tunaomba madini ya kutosha kutoka kwenu. Tunatanguliza shukrani...
  3. JamiiForums Tanzania Iran na Israel: Kutoka Mabest hadi Maadui wa Kuuana

    Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni. Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania George Soros na Open Society yake ni maadui wanaokutana na usalama wa Taifa makini wenye kuijua kazi yake

    Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA. George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu ni mmoja ya Members wenye Maadui wengi sana humu JF. Hadi watu wa Mfumo wanamtafuta sana

    Ukija PM yangu imejaa msgs toka kwa wanangwengwe wakiwa na mambo mbalimbali lakini hawanikatishi tamaa. Mimi nlishatangaza vita kwa makundi ya watu hawa bila kujali Dini, Makabila yao, Vyama au Itikadi zao. Nlishasema hawa nitawapasua tu hata kama nitabaki peke yangu wao watakuwa milion moja...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ADUI YAKO MWOMBEE NJAA..NA ZNZ MNAFUNGWA NA BERKANE KUANZIA GOLI 2+ NIKO KWA SUGUYE NAOMBEA MAADUI ZANGU MPAKA SAA NNE HAPA NIMEANZA KUWAPASUA WATEKET

    MUNGU WA BABA YANGU SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA SIKU TATU MWISHO KESHO NASEMA HIVI TUNAHARIBU MAADUI ZETU WOTE TUNAKEMEA WASHINDWE LOLOTE...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya nchi hii ni mwanachama wa CCM na inalazimisha raia wote tuwe CCM wale wanaokaidi wanakuwa maadui wa serikali

    CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama Nimepata pia...
  8. JamiiForums Tanzania Waislam wenye asili ya Zanzibar huwaona wakristo makafiri na maadui tofauti na waislam wabara ambao huwaona wakristo ni wenzao

    Niliwahi kuishi upareni nikakuta ndani ya familia kuna wakristo na waislam wanaishi vizuri tu. Nikaenda Zanzibar nikajiita Karim, nikapata wanawake wazuri sana, ila Walipogundua nina jina la kigalatiana walianza kunibagua japo kiuhalisia siendi msikitini wala kanisani Jijini Dar es salaam...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue Maadui Wa Haki wa Taifa Letu

    Taifa letu linapitia nyakati ngumu za ugandamizaji wa haki, demokrasia na uhuru wa maoni. Mambo haya hayakuanza ghafla bali yamekuwa yakizidi kuongezeka na kuota mizizi. Leo mtu anayeikosoa Serikali au Rais, kutekwa, kupotezwa, kuuawa au hata kubambikiwa kesi mbaya, imekuwa ni jambo la...
  10. JamiiForums Tanzania Maadai wapya wa Taifa letu ni hawa

    Uchawa! huu umekuwa mfumo mpya wa watu maarufu na makundi mengine ya watu wenye ushawishi hapa nchini kujitafutia kipato baada yakuishiwa maarifa katika taaluma zao husika.Uchawa umegeuka mfumo hatari zaidi wa watawala kueneza propaganda zao zakipumbavu na kijinga. Nyege! Nchi imegeuka...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mitume na Manabii walikuwa maadui wakubwa wa selikari za kipindi hicho, hawa wa leo?

    Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Maadui zangu wananichekea na kuniambia "SIKU MOJA KARIBU NYUMBANI UTUSALIMIE"

    Watu waliokuwa wananifanyia figisu kazini mwaka 2014 mpaka 2018, nikikutana nao Kariakoo au pahala pengine, wananichangamkia na kuniambia "Karibu nyumbani utusalimie siku moja" Sasa ninajiuliza, wanataka niende makwao ili wakaniwekee sumu kwenye chakula ama vp?? Maana ninawaona kama vile...
  13. JamiiForums Tanzania Maadui wa Israel popote hawana usalama

    Maadui wa Israeli hawako salama popote. Kiongozi wa Namba 1 wa Hamas, Sinwar, aliangamizwa Gaza 🇵🇸. Kiongozi wa namba 2 wa Hamas, Haniyeh, aliangamizwa Iran 🇮🇷. Kiongozi nambari 1 wa Hezbollah, Nasrallah, aliondolewa nchini Lebanon 🇨🇦. Israeli itaendelea kuwawinda magaidi popote walipo!!
  14. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, muda mwingine sisi wenyewe tunawapa nafasi maadui zetu watudhuru

    Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa. Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta etc. Sijui lengo huwa ni nini? Kuwaringishia wengine au kuwahamasisha wengine. Nina mkasa wa rafiki...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

    Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha. Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na...
  16. JamiiForums Tanzania Maadui sita(6) hatari katika maisha yako.

    Kwenye maisha unayoishi huwezi kuepuka maadui ambao wanakuchukia, wasiopenda kukuona umefanikiwa bila kujali upo sehemu gani na unafanya nini, Joel Nanauka kawaongelea "Maadui 4 hatari katika maisha yako" ambao ni Kaini, Delila, Penina, na Hamani. (Una mengi ya kujifunza kupitia JN). Kwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa wananchi watawaona maadui

    Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa na kuanza kupendelea vyama kwasababu inaelekea wananchi wengi sio washabiki wa vyama bali ni wapenda haki. Vitendo vya watu kuona waziwazi wanaiba kura zao mnajenga uadui ambao utakuwa mbaya kuutoa. Ushauri ni kwamba kuweni upande wa haki...
  18. JamiiForums Tanzania Kuwazidi mshahara kidogo tu kumenitengenezea maadui kazini.

    Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi. Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata namba zangu. Hr wa kampuni (B) alisistiza kuwa wanahitaji huduma yangu, na mimi pasina kusita...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wanaompenda Tundu Lissu Mwambieni aache kuishi kama Celebrity maadui zake Kisiasa bado wapo

    Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi. Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuna alama zinazomaanisha maagano na viapo? Jitahidi sana kuzilinda ili maadui zako wasizipate

    JE WAJUA KUNA ALAMA ZENYE MAAGANO NA VIAPO? JITAHIDI SANA KUZILINDA MAADUI ZAKO WASIZIPATE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Alama! Watu wengi hawana ufahamu Mkubwa kuhusu Elimu ya ALAMA. Alama zipo nyingi Sana na zina matumizi Mengi Sana. Alama ni kitu au Jambo linalobeba au kurejelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…