m23

The M23 is a motorway in the United Kingdom, running from the south of Hooley in Surrey, where it splits from the A23, to Pease Pottage, south of Crawley in West Sussex where it rejoins the A23. The northern end of the motorway starts on what is effectively a 2-mile (3.2 km) spur north of junction 7 of the M25 motorway (junction 8 on the M23). From Hooley it runs for 17 miles (27 km) past Redhill, Gatwick Airport and Crawley. A spur runs from junction 9 to Gatwick Airport.

View More On Wikipedia.org
  1. 05CUBA

    CHADEMA ikitoboa hata nusu ya malengo yake ambayo hayapo bayana hadi sasa mimi binafsi nitahamia Congo

    Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura ..... Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ??? Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ?? Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi...
  2. K

    Jeshi la Tanzania tulifikirie upya baada ya kushidwa na M23

    Je tuna jeshi hapa au ? Lazima tujiulize inakuwaje jeshi letu limeshidwa kirahisi na M23. Je tuna uhakika gani kama kundi dogo kama M23 likiingia Tanzania jeshi letu liko tayari na uwezo wa kisasa wa kupambana nao. Tunajua ni wajenzi wazuri na miradi mpaka ya sehemu za starehe lakini Jeshi letu...
  3. MBOKA NA NGAI

    Kundi la M23 imelipokonya jeshi la Congo eneo la Lubero. Jeshi la Congo latoa tamko

    Jana tarehe 4 Mei, 2025, imekuwa komfamed M23 sasa imelipokonya jeshi la serikali ya Congo, eneo la Lubero, huko Kivu kasikazini. Jeshi la Congo (FARDC) limekemea vikali hatua ya waasi wa M23/RDF kuteka kijiji cha Lunyasenge kilichoko kando ya Ziwa Edward, katika wilaya ya Lubero, Kivu...
  4. balibabambonahi

    M23

    Mtu mwenye konektion na M23 naomba aniunganishe nao.Ukombozi uanze sass.
  5. MBOKA NA NGAI

    M23 yaanzisha mapigano tena huko Walikale

    Baada ya serikali ya Doha, kuanzisha njia ya upatanishi kati ya kundi la AFC/M23 na serikali ya DRC, serikali ya Qatar na USA waliiomba M23 kurudi nyuma na kuachia eneo la Walikale, ambalo lina Mgodi mkubwa wa Serikali ya Canada. M23 ilitii agizo hilo, na baada ya kuondoa wanajeshi wake...
  6. MBOKA NA NGAI

    Kikao cha dharura kuhusu SAMIDRC na M23

    Tarehe 11 April, jijini Dar Es Salaam huko Tanzania, kilifanyika kikao cha dharula kinachohusu hatma ya jeshi la SADC, Mission (failed) ya SAMIDRC. Kikao hicho kiliwahusisha: -General Rudzani Maphwanya (SA National Defence Force), -General Jacob Mkunda (Tanzania People’s Defence Force- TPDF) na...
  7. Dalton elijah

    Kongo Na Waasi wa M23 Kuanza Mazungumzo ya Ana Kwa Ana

    Duru za pande hasimu nchini Kongo zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana April 9. Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani, imemteua Massad Boulos kuwa mshauri wa ngazi ya juu wa masuala ya Afrika, Arabuni na mashariki ya kati...
  8. Dalton elijah

    Rex Kazadi Aliyekuwa Mgombea Urais DRC 2023, Amejiunga Na Waasi Wa M23

    Rex Kazadi, mgombeaji wa uchaguzi wa urais wa DRC wa Desemba 2023, amejiunga na safu ya waasi ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), kulingana na ripoti zinazoonyesha kwamba alijiandikisha Jumapili, Machi 30, kutoka Ulaya. Siku ya Jumapili mratibu wa AFC/M23 Corneille Nangaa alitoa wito kwa raia...
  9. Kitimoto

    Mapokezi ya Msemaji wa Waasi wa M23 Willy Ngoma Alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC

    Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC. Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania , akiomba pia mualiko wa sikukuu ya Eid El Fitr kula pilau jijini Dar es Salaam. Pia majeshi ya SADC...
  10. Brigadier Isaac

    Sababu vikosi vya SADC vilivyopo DRC kushidwa kukabiliana M23 wanaungwa mkono na Rwanda ni hii

    Ukweli usemwe Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu mwaka Jana 2024 vikosi vya SADC vilivyowasili DRC mwaka Jana Mwaka Jana 2024 wote tulishuhudia vikosi...
  11. Daby

    Ukweli mchungu: SADC kwa week kadhaa imekuwa inaiomba M23 ruhusa ya ku-withdraw pamoja na vifaa vya kijeshi vilivyo twaliwa na M23

    Rwanda na M23 kwa wakati mwingine wameziaibisha nchi zaidi ya 10 ukanda wa Kusini mwa Afrika. Kwa tetesi zilizopo kwa zaidi ya week tatu sasa majeshi ya SADC yamekuwa yanaiomba M23 kurejesha silaha walizotwaa kutoka vikosi vya SADC na ruhusa ya kupita Goma wakati wakurudi nchi zao. Kumbuka...
  12. W

    Sultan Makenga, kiongozi wa M23, alikuwa anatafutwa Congo. Kisha akaita kikao kuwaamuru wanajeshi wa SADC kuondoka DRC

    Inaripotiwa kwamba katika mkutano na Jenerali Sultan Makenga wa M23, uamuzi ulifikiwa kwamba silaha zote za SADC zitarudishwa kwao, huku M23 ikibaki na silaha za FARDC na FDLR. Miongoni mwa waliotia saini ni majemadali wa nchi zilizo shindwa, ambao majeshi yao yalishindwa vitani na M23 na...
  13. Dalton elijah

    DRC : Waasi wa M23 waripotiwa kuelekea kuunda mfumo wao wa fedha

    Ni miezi miwili sasa tangu pale Jiji la Goma lianguke mikononi mwa kundi la waasi la AFC/M23. Tangu wakati huo, benki zote za biashara zimefungwa kwa maagizo ya mamlaka mjini Kinshasa. Kutokana na hali hiyo, katika jiji hili lenye wakazi zaidi ya milioni moja, madawati ya fedha hayafikiki, fedha...
  14. J

    Kwanini Tanzania haijaiwekea vikwazo Rwanda na M23, na kulaani mauaji ya askari wetu DRC? EU wana uchungu kutuzidi?

    ..hivi hata kulaani mauaji ya askari wetu waliokwenda kulinda amani DRC tumeshindwa? ..M23 wameuwa askari wetu kwanini hakuna tamko kali toka kwa serikali dhidi yao? ..Na Rwanda wakiwa ni wafadhili wa M23 kwanini hatuwawekei vikwazo vya kiuchumi? ..EU walioko mbali na ambao hawajapoteza watu...
  15. Alvin_255

    D.R. Congo: M23 Rebels Advance Toward Walikale Amid Ceasefire Talks

    The Rwanda-backed M23 rebel group has intensified its offensive, pressing deeper into the Democratic Republic of Congo (DRC), despite calls for an immediate ceasefire. On March 19, residents reported heavy gunfire as M23 forces reached the outskirts of the strategic town of Walikale. M23 Rebels...
  16. O

    VIONGOZI WA M23 NA MAKAMANDA WA JESHI LA RWANDA WAWEKEWA VIKWAZO NA UMOJA WA ULAYA

    17/03/2025, the Council imposed restrictive measures on nine individuals and one entity responsible for acts that constitute serious human rights violations and abuses in the Democratic Republic of the Congo (DRC), for sustaining the armed conflict, instability and insecurity in the DRC and...
  17. MBOKA NA NGAI

    M23 yaitia doa, dosari na hasara Afrika Kusini

    Wakati SADC ikikubaliana kuondoa majeshi yake nchini DRC, Uongozi wa Saouth Afrika waanza kuandaa mazungumzo na kundi la M23. Mazungumzo haya,ni baada ya kuahidi uongozi wa South Afrika kuwa,wanajeshi wake wakijisikia kutembea mjini Goma,wanaruhusiwa,ila, bila silaha. Changamoto kubwa upande...
  18. MBOKA NA NGAI

    DRC yaombwa kuiomba maongezi M23 kwa maandishi

    Hata hivyo, upande wa M23 kwa sasa haujamtambua Felix kama rais wa nchi, bali kama Mr. tu. Hili lina maana yake huko mbele.
  19. MBOKA NA NGAI

    Kikao baina ya DRC na M23

    Hii ni tarehe 18 March, 2025 huko Angola. Serikali ya DRC ina wafungwa wengi wa AFC/M23. Ombi la kwanza la hawa viumbe, ni kuhakikisha wanaachiwa huru kabla ya mazungumzo. Nani ana tiketi ya mazungumzo sasa!!!
  20. MBOKA NA NGAI

    Major Claude NDIKUMANA wa jeshi la Burundi, akamatwa akiwa mzima na M23 huko Kivu kusini

    Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba. Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
Back
Top Bottom