m23

The M23 is a motorway in the United Kingdom, running from the south of Hooley in Surrey, where it splits from the A23, to Pease Pottage, south of Crawley in West Sussex where it rejoins the A23. The northern end of the motorway starts on what is effectively a 2-mile (3.2 km) spur north of junction 7 of the M25 motorway (junction 8 on the M23). From Hooley it runs for 17 miles (27 km) past Redhill, Gatwick Airport and Crawley. A spur runs from junction 9 to Gatwick Airport.

View More On Wikipedia.org
  1. M23 itegemee matokeo zaidi ya vita ya drone

    Ulimwengu sasa sio wa vita ya vifaru na RPG ,ulimwengu wa drone za kivita ndio maana wenye akili sasa wanawekeza kwenye kuziunda ,kuzitumia na kuzi jamm,sasa sijui m23 wamejiandaa kwa elimu ya jamming kwa sababu hili ni jambo mtambuka hata ukraine anahangaika bila mafanikio Hitimisho Jeshi la...
  2. TANZIA Msemaji wa M23, Willy Ngoma auawa kwa shambulio la Droni

    Msemaji wa kundi la waasi la M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Willy Ngoma, ameuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani mashariki mwa DRC siku ya Jumanne. Reuters imemnukuu mwanadiplomasia wa eneo hilo, afisa mmoja mwandamizi wa kundi hilo na mshauri wa serikali ya nchi...
  3. T

    Tetesi: Msemaji mkuu wa kijeshi wa M23 aua na jeshi la serikali ya DRC

    Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga. Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma...
  4. TETESI: Mkuu wa BLACKWATER, Erik D. Prince ajikuta mikononi mwa makomando wa M23

    Taarifa ambazo hazikudhibitishwa na serikali ya DRC au kundi la M23, zimedai kwamba mnamo tarehe 5 February, 2026, bwana Erik D. Prince, mwenye kampuni ya mamluki nchini Marekani, alikamatwa na kundi la M23 huko Kivu kusini. Prince aliwasili nchini DRC akitokea nchi jirani ya Burundi...
  5. Wakazi wa Uvira huko DRC wanahitaji m23 kubakia hapo Kwa kuwa wanatenda haki kuliko serikali

    Tuliwambia hawa wazalendo wa Africa waliopewa jina "waasi" sio kweli kama tunavyoaminishwa Sisi tunaona huruma kuwa waasi wameteka mitaa, kumbe wananchi wa Congo DR ndo wanafanya sherehe asubuhi na jioni Hii ni ajabu Tukumbuke mapema wiki hii wazalendo wa M23 walitwaa mji wa Uvra Kwa...
  6. M23 Yakubali kujiondoa Uvira baada ya shinikizo la Marekani

    Kundi la waasi la M23 limetangaza kujiondoa katika Mji wa Uvira, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwa masharti maalumu, likidai hatua hiyo inalenga kupunguza mvutano wa kijeshi na kuonyesha utayari wake wa kushiriki katika juhudi za amani. Taarifa ya uamuzi huo imetolewa...
  7. M23 ni mzoefu wa vita na JWTZ ni mzoefu wa kulinda amani.Je watawezana kama M23 anazidi kuvuka umbali

    M23 ilishatumiwa sana kuhusu inashirikiana na nchi fulani na nchi hiyo ilikana. Sawa hata kukana nayo RSF kule sudani walisema hivyo hivyo. Ila leo RSF imekuwa tishio mpaka nje ya mipaka yake ya sudani. Kwa majigambo yetu ambayo tunajivunia tokea kumshinda Uganda utawala wa amini ni sawa na...
  8. Kama M23 wamefika Uvira, kumbuka Burundi ni kama Tanzania iliyojifia basi Kigoma kuwa mbioni

    Tuanze kwanza M23 ni wa kina nani?. Kuna historia kubwa zimeongelewa hapa JF kuhusu Congo, Rwanda na mambo yanayoendelea. Nasema haya sababu hata Mwigulu alishatuambia tukimbilie Burundi na idara ya uhamiaji kama Mtanzania uwezi kupewa kesi uraia zaidi ya Burundi. Kwa Burundi ndio nchi ambayo...
  9. Baada ya Mo29 na yanayoendelea Malawi, naona waasi wa M23 ndio wazalendo na PK ni Pan africanist halisi kwa sasa

    Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara. Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
  10. DRC: Uvira yaelekea kuangukia mikononi mwa M23

    Baada ya kuibuka vita kali kati ya M23 na jeshi la FARDC, likisaidiwa na mamluki kutoka nchi za ulaya na marekani, kundi la FDLR, Kundi la wazalendo, jeshi la Burundi na kundi la Imbonerakure kutoka Burundi, mpaka sasa, inasemekana M23 inakaribia Uvira mjini, umbalo usiozidi Km20. Jeshi la...
  11. Je ni kweli M23 nao wamekuja kulinda Bandari?!

    Wakuu, wakati naperuzi huko Jasusi TV nimekutana na hii habari ya kutisha sana, wadau wa maandamano ni bora muahirishe hadi siku za usoni https://youtube.com/shorts/3GCF3WoAMNg?si=QArzIsuclu4_26AG
  12. S

    Kongo na M23 walaumiana baada ya mazungumzo ya amani kukwama

    Kwa mujibu wa kituo cha habari cha D.W: Mazungumzo kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa AFC/M23 yameahirishwa kwa muda usiojulikana. Mazungumzo haya yalitarajiwa kurejea leo mjini Doha, Qatar. https://p.dw.com/p/4ygiw Picha: Vlad Vanderkelen/Belga/picture alliance/Tony...
  13. R

    Tumaini la amani DRC baada ya Serikali na M23 Kusaini Mkataba wa awali Usitishaji Mapigano

    Baada ya miaka mingi ya machafuko na maelfu ya raia kutawanywa makwao, tumaini jipya limeanza kuchomoza mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Serikali ya Kongo imefikia makubaliano ya awali na waasi wa M23 – kundi ambalo mara kwa mara limekuwa likituhumiwa kupata msaada kutoka...
  14. Israel bila Marekani na sawa na M23 bila Rwanda

    Niaje waungwana Ukiangalia vita anazopigana Muisrael pale Mashariki ya kati, utakubaliana na mimi kwamba anazopigana zina mkono mkubwa wa Marekani. Kuanzia silaha, bajeti ya jeshi, madawa ya kutibu majeruhi wa kivita, vyote vinatoka vinatoka Marekani. Inawezekana hata hao wanajeshi wanaopigana...
  15. Huu ndio ushaidi ambao RWANDA ni muhusika wa M23

    Raisi kagame japo kukana sana kutokuhusika na kundi la M23.Sasa ushahidi ni huu hapa https://www.youtube.com/watch?v=-do8Y7Gw7NM
  16. M23 Again!

    Bukumbirwa, Rusamambu, Kilambo et Ngengere (Walikale, Ikobo) chini ya AFC/M23 tena. Ni baada ya mapigano makali baina ya M23 na jeshi la serikali ya DRC na washilika wake huko Kivu Kasikazini.
  17. Joseph Kabila Aingia Goma jumatatu leo na kupokelewa na M23 Hatari ya DRC kugawanywa kati yaonekana

    Viongozi wa afrika wanapokuta wana makosa wanatafuta njia za kuungwa mkono.sasa muelewe kuwa hata hapa waunga mkono ndani ya ccm wanaweza kuwa alipozaliwa .Utanganyika utajulikana sasa mfano kwa congo. kipindi cha idd amin ilikuwa hivi. https://www.youtube.com/watch?v=eIgfCC3q2oE
  18. Police wa M23 mjini Goma kazini

    SADC ikiendelea kuondoa silaha zake.
  19. Joseph Kabila Ajitangaza Rasmi kama M23 vita Mpya inakuja DRC

    https://www.youtube.com/watch?v=IntpG2fhmAE
  20. FARDC yatakiwa kujiandaa vita dhidi ya M23

    Lt Gen Masunzu, amelitaka jeshi la serikali ya Congo, kujiandaa vita vipya, kuhakikisha M23 inapoteza maeneo iliyo nayo kwa sasa, mashariki mwa DRC. M23 na yenyewe haiko tayari kuachia. Huku ikisemekana inapata msaada toka Rwanda, upande wa serikali ya DRC, msaada wao wanapata kutoka Burundi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…