lukuvi

  1. L

    Wafanyakazi wa Hoteli ya Lukuvi (GerWill) Waangua Vilio Vya Majonzi

    Ndugu yangu Mtanzania, Habari Ni kama inavyosomeka =========== Wafanyakazi wa Gerwill Hotel, iliyopo nyumbani kwa marehemu William Lukuvi, eneo la Area D, Dodoma, wameangua vilio baada ya kupata fursa ya kuuaga mwili wa marehemu ulipofikishwa nyumbani jioni ya leo. Soma Pia: Waziri William...
  2. H

    Dkt. Mwigulu: tuendelee kumuombea Lukuvi

    DKT. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA MHE. LUKUVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaomba Watanzania waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, marehemu William Lukuvi aliyefariki jana Machi 25, 2026 katika...
  3. H

    Ghati Chomete asaini kitabu cha maombolezo kwa Lukuvi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Ghati Zephania Chomete, leo Machi 26, 2026, amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), marehemu William Lukuvi. Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa...
  4. darautobroker

    Car4Sale Mercedes benz s-class presidential naileta sokoni kwa bei ya maombolezo

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 41M Call📞+255 747 999 927 MERCEDES BENZ S-CLASS(DY) Year: 2014 Engine: 4.7L Low Mileage Fuel Used: PETROL Transmission: AUTO ✅Clean Interior ✅Well-Maintained ✅Swap Deals Allowed ✨Attention Assist ✨Heated-Massage Seats ✨4-Zone Climate Control
  5. HIMARS

    TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

    Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani. Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa...
  6. figganigga

    Wosia wa William Lukuvi: Wazanzibari hawatupendi Watanganyika. Tukiwaacha Uhuru Watatusumbua na siasa kali

    Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli mara mbili kwa siku. Kila mtu ana jinsi anamkumbuka Mtu. Mimi Wosia wa Lukuvi ambao nimeuweka moyoni ni tahadhari aliyotoa kuhusu Watu kutoka Zanzibar. Yaliyotokea 29 Oktoba 2025, yalifanya niamini kauli ya William Lukuvi. Aliwahi kusema kwamba hatuwezi...
  7. Kingsmann

    Tanzia: William Lukuvi Afariki kwa Mshtuko wa Moyo katika Hospitali ya Benjamine Mkapa- Dodoma

  8. B

    Lukuvi amepewa jukumu la kuwa ‘monitor’ wa wabunge?

    Wabunge wote wa CCM wanaoandikisha majina kutaka kuzungumza wanafuatwa au kuitwa na Lukuvi na kuulizwa wanataka kuzungumza nini, ili kama kuna chochote ambacho hakiendani na wanachokitaka wenye mamlaka, Mbunge aelekezwe nini cha kufanya. Baadhi ya Wabunge wakongwe wameonekana kugomea wito huo...
  9. W

    William Lukuvi akanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge

    Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge. Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Lukuvi ashinda kwa kwa tofauti ya kura 4,587 Ismani

    Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi, ameibuka mshindi wa kishindo katika mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge wa jimbo hilo, akiwashinda wagombea wenzake kwa tofauti kubwa ya kura. Huku wananchi wa Kihorogota na...
  11. K

    GE2025 Kazi za Lukuvi Jimboni zambeba Wananchi wa Ismani, wasema "Wanatiki Kwa William Lukuvi ”

    Wananchi wa Jimbo la Ismani mkoani Iringa wameonesha wazi imani yao kwa aliyekuwa mbunge wao kwa miaka kadhaa, William Vangimembe Lukuvi, wakisema kuwa licha ya kuwepo kwa wagombea wengine waliopitishwa katika mchakato wa kura za maoni, bado chaguo lao linaelekea kwa Lukuvi kutokana na kazi...
  12. L

    GE2025 William Lukuvi akipita Ubunge atakuwa Mbunge mkongwe aliyehudumu kwa miaka mingi sana. Alianza 1995. ataikaribia rekodi ya Chrisant Mzindakaya

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa William Lukuvi Bado yupo kwenye mbio na mchaka mchaka wa kukimbizana na vijana kuutafuta ubunge, bado anaona kuna mambo bado hajakamilisha vizuri kwa wapiga kura wake ,bado anaona kuna wajibu anaotakiwa kuutimiza kwa wapiga kura wake ,bado anaona anazo nguvu...
  13. M

    Msikilize vizuri Lukuvi hapa, kuna kitu utagundua.

    https://youtu.be/pmlrlWpEpKI?si=l_PDJuGUWLNtTOHF
  14. Mzee wa Code

    "Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia.Lakini sasa... INATOSHA!"

    LUKUVI NA UBUNGE WA MIAKA ZAIDI YA 30 – INATOSHA! v "Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia. Lakini sasa... INATOSHA!" William Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa waliodumu kwa muda mrefu katika siasa za Tanzania. Alichaguliwa kuwa Mbunge kwa mara ya kwanza mwaka 1995 –...
  15. Carlos The Jackal

    Mnaikumbuka hii Video? Hivi ilikuaje LUKUVI Akawa Waziri? Huyu Mzee inaonekana Gizani ni MTU hatari na asofaa hata kuwa Mjumbe wa Nyumba Kumi!

    March 03, 2021 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Makazi William Lukuvi amekutana na Watumishi wa Jiji la Mwanza idara ya ardhi na wengine, Waziri Lukuvi akiendelea na kikao nje kukawa na Wananchi wenye migogoro wakiwa na mafaili yao wakimgoja https://youtu.be/PLB-XqPExaw?si=AdcohQCGURhzOvbl
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti CCM Iringa Vijijini atoa mitungi ya gesi 143 pamoja na viti 15 na meza Mbili katika kata ya Nyangolo, Malengamakali

    Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili...
  17. M

    Ni Kwa heshima Lukuvi unatumika tu Ngorongoro?

    Naongea na mheshimiwa Lukuvi uliyeongoza ujumbe mzito na wenye matumaini Kwa watu wa Ngorongoro. Dunia na watanzania Kwa ujumla walikuwa wanafuatilia Kila Neno ulilotamka Kwa jamii ya watu wa Ngorongoro. Ulibeba ujumbe mzito wa Mheshimiwa Rais. Hata hivyo Nina wasiwasi na kazi nzuri uliyoifanya...
  18. MIMI BABA YENU

    Reject manipulation by malicious actors; Lukuvi warns Ngorongoro residents

    By Our Correspondent, Ngorongoro. In a stern and resolute address, the Minister of State in the Prime Minister’s Office for Policy, Parliament, and Coordination, Hon. William Lukuvi, delivered a cautionary message to the residents of the Ngorongoro Division. He implored them to remain...
  19. GoldDhahabu

    Kabudi na Lukuvi kurudishwa kwenye Baraza la mawaziri: wamepandishwa vyeo au wameshushwa?

    Alipowaondoa, alisema kawapandisha vyeo ili wawe viranja wa mawaziri wote isipokuwa Waziri Mkuu. Sasa kawarudisha tena. Hiyo inamaanisha nini? 1. Kazi ya kuwasimamia mawaziri imeisha(wameshuka) 2. Wameongezewa majukumu hivyo wataendelea nayo yote(wamepanda)
Back
Top Bottom