luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. GE2025 Mpina na Mgombea Mwenza wala kiapo Mahakama Kuu

    Jana Agosti 25, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Luhaga Joelson Mpina, akiambatana na Mgombea Mwenza wake, Bi. Fatma Fereji, walifika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kisheria za uchaguzi. Wagombea...
  2. GE2025 Dkt. Godfrey Malisa: Nitamuunga mkono Luhaga Mpina katika mbio za urais

    Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkazi wa Mkoani Kilimanjaro, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, amesema atamuunga mkono Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, na ataendelea kutafuta haki kwenye vyombo vya sheria ili kuhakikisha CCM inarejea kwenye misingi...
  3. W

    GE2025 Mpina: Wamenifukuza bungeni baada ya kuwakaba, nilikataa mipango yao ya kuuza bandari na rasirimali za nchi

    Mpeperusha bendera ya Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina anasema kuwa sababu ya yeye kufukuzwa bungeni ni baada ya kuwakaba sana na kupinga baadhi ya mipango ikiwemo kuuza bandari na rasilimali za nchi. "Viongozi uliowapa dhamana wamefika mahali wanasema kwamba wanakula kwa...
  4. Luhaga mpina na ACT wazalendo ni wakuogopa km ukoma.

    Wasalaam. Hawa ni wale viongozi wenye tabia za kimalaya malaya kwa mujibu wa nukuu ya mwl nyerere. Watanzania wote wanalia kutokana na mifumo mibovu ya uchaguzi lakini cha kushangaza huyu bwana mpina na ACT wanajaribu kulaghai wananchi eti waingie kwenye uchaguzi na yeye atashinda na atalinda...
  5. GE2025 ACT Wazalendo: Luhaga Mpina amejiunga na chama kitambo sana

    Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, na chama hicho. Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Mchinjita, Isihaka Machinjita...
  6. K

    GE2025 CCM walikosea kukata jina la Luhaga Mpina Ubunge kisesa

    Mhe. Luhaga Mpina anapendwa sana na wananchi wa Jimbo la Kisesa kule Wilaya ya Meatu. Alipotia nia ya kuomba uteuzi wa kuwa tena mgombea ubunge wa Jimbo la Kisesa CCM wakamkata jina. Amejiunga na ACT - Wazalendo kama mgombea Urais. Mhe. Luhaga ameanza kuomba saini za udhamini kutoka mikoa...
  7. J

    GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  8. GE2025 Luhaga Mpina: Wameanza sasa maneno mengi huko, Mpina mara hili, Nikasema hamnijui vizuri

    Mpina amesisitiza kuwa licha ya kuwepo kwa maneno ya kupinga hatua yake ya kuwania urais, hana hofu kwani amejipanga kuwasaidia Watanzania. “Wameanza sasa maneno mengi huko, Mpina mara hili, mara lile, mara huyu anabipu tu. Hamna kitu, hao wanafanya maigizo. Nikasema ninyi hamnijui,” amesema...
  9. GE2025 ACT Wazalendo Wasilisha Maelezo kwa Msajili Kuhusu Malalamiko ya Uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea wa urais

    Chama cha ACT Wazalendo kimewasilisha maelezo kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kikieleza msimamo wake kuhusu malalamiko yaliyotolewa na Katibu Mwenezi wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Joseph Ndala, kupinga uteuzi wa Luhaga Joelson Mpina kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...
  10. GE2025 Msajili wa Vyama Vya Siasa apokea malalamiko dhidi ya mchakato wa Uteuzi wa Mgombea Urais ACT-Wazalendo

    Yah: UVUNJIFU WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA SURA YA 258, KATIBA NA KANUNI ZA CHAMA CHENU KATIKA MCHAKATO WA UTEUZI WA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHENU WA TAREHE 06 AGOSTI 2025 Naomba urejee suala tajwa hapo juu. Napenda kukutaarifu kuwa, leo...
  11. GE2025 Mpina na T-Shirt yenye picha ya Magufuli kuomba wananchi wamdhamini ili aweze kugombea Urais. CCM B kazini?

    Mpina kuvaa picha ya Magufuli wakati wameenda kuomba wananchi wamdhini kama Mgmbea wa Urais ACT inamaanisha nini? Kwamba bado anaamini kwenye uongozi wa Magufuli na chama alichokuwa anakiongoza? Au anakumbuka aina ya uongozi wake ambao ulikuwa unapingwa na wengi ikiwemo hao ACT wenyewe? Au ndio...
  12. GE2025 Luhaga Mpina: CCM tutawashinda na watasaini matokeo

    Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi. Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa...
  13. GE2025 Monalisa wa ACT Wazalendo aandika barua kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa kupinga Luhaga Mpina kuteuliwa kama mgombea Urais

    Katibu mwenezi ACT Wazalendo mkoa wa Dar es salaam Monalisa Ndala leo Agosti 19, 2025 ameandika Barua kwa Msajili wa vyama vya Siasa Nchini kama mlezi wa vyama vya siasa. Hiyo ni hatua ya pili mara baada ya mara ya kwanza kuandika Barua kwa Katibu wa Chama Cha ACT wazelendo, Kupinga Mhe. Luhaga...
  14. GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  15. GE2025 Mpina: Nchi yetu inahitaji kukombolewa upya, Hatuwezi kunyamaza, tutaenda kuwafuta machozi Watanzania

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Luhaga Mpina, amesema Taifa linahitaji kukombolewa upya ili kudhibiti uonevu, rushwa, ufisadi na mateso kwa wananchi. Akizungumza leo Agosti 18, 2025 mjini Shinyanga wakati wa zoezi la kuomba udhamini...
  16. Tetesi: Luhaga Mpina aonekana Chato, je kuna nini?

    Au ndio anakuwa anaenda kupata baraka? Maanda Yeye nae hapendi rushwa, uzembe na wizi wa mali za umma
  17. GE2025 Luhaga mpina aungwe mkono ili wahuni wa CCM wadhibitiwe kama hayati Magufuli alivyokuwa amewadhibiti

    Mpina apewe urais. Hii ndio kauli ya kila mtanzania mpinga dhuluma. Mpina ni kama hayati Magufuli. Anapigania haki za wanyonge. Akipewa nchi wahuni wa CCM watadhibitiwa na kunyooshwa. Angalia anavyopinga uhuni. Mfano serikali ya CCM kuingia mikataba 47 inayohusu rasilimali za umma bila...
  18. GE2025 Anayepinga Uteuzi wa Luhaga Mpina ACT-Wazalendo kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake

    Anayepinga uteuzi wa Luhaga Mpina kama mgombea wa Urais kupitia ACT Wazalendo asema kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake. Akiongea na The Chanzo leo Agosti 16, 2025, Monica Ndala, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo, ameeleza kuwa anategemea kuchukua hatua za ziada kama...
  19. GE2025 Luhaga Mpina Kuzindua Kampeni za Urais Saa 6:01 Usiku wa Agosti 28

    Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema atazindua rasmi kampeni zake mara tu baada ya saa sita na dakika moja usiku wa tarehe 28 mwezi huu, muda ambao umetangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa ndio mwanzo rasmi wa kampeni. Akizungumza na wananchi wa Mwandoya, Jimbo la...
  20. GE2025 Mpina: Wanachi wangu bei ya pamba hawana, wanauwawa na tembo, hakuna barabara za lami, halafu niseme hatukudai. Hapana!

    Wananchi wangu bei ya pamba hawana, wanauawa na tembo, hakuna barabara za lami, halafu niseme atukudai. Hapana! Naendelea kuomba kujengewa barabara ya lami badala ya kujibia lakini nasakamwa. Luhaga Mpina Mgombea urais kupitia ACT Wazalendo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…