luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. A view to a kill

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bashe anatetewa hivi bungeni? Je, sukari bei imeshuka?

    Sukari ipo? Je, ni bei gani mtaani? PIA SOMA - LIVE - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

    Kwa mujibu wa Kanuni ya Bunge #84 (3) (a) ya mwaka 2023 amekutwa na hatia na Kamati ya Hadhi na Madaraka ya Bunge. Tuendelee kufuatilia bunge ≈===================== "Mheshimiwa Luhaga Mpina (Mbunge wa Kisesa) alimtuhumu Mheshimiwa Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) kuwa amelidanganya...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi: Spika Tulia anataka kuzuia kilichoibuliwa na Mpina kisijadiliwe na bunge wala wananchi, aache mijadala ifanyike

    Katika mahojiano yake na mwandishi wa Habari Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi, Joseph Selaasini amesema; "Mpina aliliona hili, sababu alikuwa akipata upinzani wakati anaongelea suala hili bungeni, sio tu kutoka kwa spika bali hata kutoka kwa wabunge wenzake. Kwa maslahi ya nchi aliona alipeleke...
  4. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina ameamua kumtii Mwl Julius Nyerere?

    MATARAJIO YA WAASISI WA CCM vs. KINACHOENDELEA ________________________ "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ndiye mbunge mojawapo kati ya wazalendo anayeweza kushinda bila kufanya compaign 2025.

    Salaam, Shalom!! Lissu, Lema,Heche, Mpina,Mbowe, Mnyika, Ole Sendeka, Mwabukusi, Dr Slaa, ni baadhi ya watu ambao wanaweza kugombea na wasipige compaign na wakashinda Nchi hii Jimbo lolote. Ndugu Mpina haihitaji hata kujitambulisha Kwa wananchi, na anaweza kugombea Jimbo lolote, Kwa chama...
  6. CCM MKAMBARANI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpina anatumia nafasi hii ili arudi kwenye uwanja wa siasa baada ya kupotea kwenye ramani

    Habari za wakati huu wanajamiiforum? Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini. Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli? Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina usiondoke CCM, pambania huko huko ndani ya chama chako kuleta mabadiliko

    Luhaga Mpina umekuwa machachari sana kuiwajibisha serikali ya chama chako tofauti na wabunge wenzako wengine wote wa chama chako. Kama utaendelea na mwendo huo unaweza kuleta mabadiliko makubwa mno ukiwa ndani ya CCM kuliko nje yake. Wewe sasa hivi unachukuliwa kama nembo ya ujasiri ndani ya...
  8. Bams

    JamiiForums Tanzania Wabunge wenye Hekima, waazimie kumfukuza Spika Tulia

    Nchi hii, kuna watu wengi wenye elimu nzuri na akili pia, LAKINI unafiki wao na uchawa vimewafanya wapoteze weledi na akili ya reasoning na argument, kiasi cha kuwafanya waonekane kama ni watu wasio na weledi wala uelewa. Tambueni kuwa Spika Tulia ni mwanasheria, tena mwenye shahada tatu kwenye...
  9. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaletewa Mpina kuwamaliza

    1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati. 2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu. 3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mchukueni Luhaga Mpina haraka

    Luhaga Mpina ni mtu nondo kweli. Ni mbunge mjenga hoja na mwana mapinduzi kweli kweli Hata alivokuwa waziri wa uvuvi na mifugo alikuwa Nondo na alifanya vyema kuzidi huyu wa Sasa. Alikomesha uvuvi haramu, alikomesha uharamia ziwa Victoria ambapo wavuvi walikuwa sana na kuibiwa engine za boat ⛵...
  11. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nani anamtumia Luhaga Mpina? Ni Seif Ali Seif wa Superdoll?

    Copy & Paste kutoka Kigogo Media LUHANGA MPINA ANASUKUMA AJENDA YA MAJIZI NA "MA -CARTEL" YA SUKARI TANZANIA NATAKA NIANZE kwa kusema suala la tatizo la sukari Tanzania halitakaa liishe kama tutaendelea kuwaacha ma cartel wa sukari wakiongozwa na mmiliki wa kiwanda cha sukari cha Kagera...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nani ni genius kati ya Mpina vs Bashe au Tulia vs Mpina

    Naomba tutafakari nani genius kati ya hawa; Mh. Mpina vs Mh. Bashe Au kati ya; Mh. Tulia vs Mh. Mpina. Uwanja upo wazi. Pesa mbaya! ==== Pia soma: Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je, wazee kutaka haki itendeke kwa Luhaga Mpina na Hussein Bashe kuepuka kukigawa chama?

    Kuna kila Dalili Mh Mpina wanataka kumuumiza ili kuzima hoja zake. Wanataka tumia hoja yakutoa jalada kwa wananchi wakati aliagizwa na spika. Hoja hii haina mashiko kwa sababu Mh Mpina bungeni anawajibika kwa kiti ila pia anawajibika kwa wananchi hivyo kutoa hoja zake nje ya bunge sio sababu...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

    Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma. Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Suala la Mbunge Mpina kuthibitisha tuhuma za ukiukwaji wa uagizaji Sukari nje ya nchi, limethibitisha udhaifu wa Bunge letu

    Mbunge Luhaga Mpina amethibitisha mbele ya waandishi wa. habari kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria katika uagizaji Sukari nje ya nchi, wakati Taifa letu lilipokumbwa na uhaba mkubwa wa Sukari, miezi michache iliyopita. Akiongea mbele ya waandishi wa habari, alisema kuwa ana uthibitisho...
  16. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Luhaga mpina alicheza kama Pele hasa bunge linavyoipakata Serikali

    Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Bashe yupo ukingoni, hakupaswa kupambana na wadau wa sukari

    Bashe ambaye ni Mbunge wa Nzega mjini na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Rais Samia dalili zi wazi anaelekea kukwama. Kwa wajuzi wa mambo ya siasa watakubaliana na mimi kwenye hilo. Waziri Bashe hakupaswa kupambana na wadau wa sukari kwa aina ile ya kiburi na majivuno! Kwa kuanzia alipaswa...
  18. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunapaswa kuwa na sheria kali dhidi ya viongozi mafisadi na wala rushwa

    Kwa huu ufisadi wa mawaziri na watendaji wengine unaoendelea nchini, ningekuwa Rais ningeukomesha ndani ya siku 100 za mwanzo katika uongozi wangu. Ningetunga sheria ya ufisadi na uhujumu uchumi ambayo ufisadi unaozidi mabilion adhabu yake ni kifo. Kwamba kesi za namna hiyo sheria itaweka wazi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Waziri Bashe katoa kibali cha kuagiza Sukari kwa kampuni ya simu (ITEL), haitakuwa na tofauti na Ufisadi wa Lowassa Richmond

    Nimeona kupitia Jambo TV Mh. Mpina akidai Waziri Bashe ametoa Kibali kwa kampuni ya simu ya Itel yenye mtaji mdogo kuagiza Sukari ya Tsh. Billion 6.6. Hii inanikumbusha jinsi Hayati Ndesamburo alivyosema Stationary iliyopo pembeni ya hotel yake pale Mnazi mmoja ndio imejigeuza kuwa Richmond na...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina kuendelea kudumu CCM au atafanyiwa figisu?

    Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde. Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na...
Back
Top Bottom