Katika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile utakavowiwa
Ndugu wana jf binafsi nimechoshwa na uchawa wa hayo mazimwi hapo juu nawaomba ili kutowapa airtime yoyote kama alivyoshauri comrade Mshana Jr nawaomba wakipost chochote kikaushieni msikoment Wala ku react Kwa namna yeyote ile hii itapelekea manyuzi yao kupotea na kujifia haraka na mwisho hata...
Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan.
Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
Wakuu, Hebu Jaribu Kufikiria Kwa
Tanzania Hii Iliyo Na Rasilimali Zote
Tulizonazo Kama,
-Madini Aina Zote&unique
-Mbuga Za Zenye Wanyama
Aina Zote.
-Tuna Gas Mfano Helium Ziwa
Rukwa Na Sea Natural Gas
-Tuna Bandari Za Kutosha Na
Tuko Na Geoposition Nzuri,
- Population Nzuri Nk
Check...
Wana Jamiiforums huyu Member mwenye kuitwa Lucas Mwashambwa amekuwa na maandiko yenye ushabiki usio na hoja, unaokusudia kusifia kwa lugha ya mihemko badala ya kutathmini uhalisia wa utawala wa Rais Samia kwa hoja na takwimu.
Nimetumia muda mwingi kufuatilia maandiko yako ambayo yamenipelekea...
Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa...
Nashangaa kuna nyuzi nyingi sana kuhusu Gwajima wakati tulishakubaliana kuwa ufafanuzi alioutoa komredi Lucas Mwashambwa ndo msimamo wa JF kuhusu kauli za Gwajima?! Mods futeni nyuzi zinazojirudia wakati ufafanuzi ulishatolewa.
soma huo ufafanuzi hapa; Haya ndio majibu na uchambuzi wangu mzito...
1.Mijanaume na nguvu zao kabisa imevaa t-shirt za ccm.
2.saa 7 mchana wa jua kali mtu kavaa rain boots.
3.Chadema office zao zimefungwa nasikia ni mwezi wa nne huu sasa eti wameahindwa kulipa kodi ya pango ambayo ni elfu 15 kila mwezi
4.Maji ni changamoto
5.kuna lodge za hadi elfu 5 mpaka...
Naona siku imeisha na bado Lucas Mwashambwa anafikiria namna ya kupangua hoja za Gwajima.
Nitumie nafasi hii kumkumbusha kuwa Watanzania tuna kiu ya kusikia akizivunjilia mbali hoja za mchungaji Gwajima.
Lucas ukisoma hili bandiko, haraka haraka njoo upangue nondo za Gwajima.
Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired
to mention but a few
.
GTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo mimi, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah zinawatafuna kwa sasa.
Mwaka 2021 nilitahadharisha kuwa bado...
Lucas Mwashambwa Shukuru sana utimize umri kama Wassira ili ukiwa unayapitia maelezo yako ushindwe kufuta labda ukapige bomu internet ilipotokea.
Mada zako sasa ni lugha gongana haya tunauza nje kwa kununua umeme nje...
Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumalizika na ndugu TAL kuibuka na ushindi dhidi ya bilionea FAM, makada mbalimbali wa Chama cha mapinduzi walionyesha kutokuridhishwa na matokeo hayo.
Kada Mojawapo akiwa ni Lucas Mwashambwa alionekana mitaa ya mlowo Mbozi...
Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili...
Vyanzo vyangu vya kuaminika toka coridos of power vimenitonya mwanachama mtokwa machozi ya furaha pale anapotajwa kiongozi mkuu amepata teuzi huko CCM.
Na ndio maana siku hizi ameacha kuweka namba Ila kwa maadili ya JamiiForums siwezi kuweka hapa utambulisho wake.
Hongera comrade Lucas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.