Miaka ya zamani kidogo hasa 1988/1989 kulitokea janga uwanjani na kuua mashabiki wengi sana Hillsborough disaster, Liverpool wakafungiwa kucheza michuano ya ulaya kwa miaka mingi sana!Hadi Leo Kuna kesi mahakamani ya kupinga mashabiki kuhusika kwenye fujo zilizozaa janga hilo,mwaka 2020 baada ya...
26 May 2025
Liverpool , Uingereza
Mamia ya watu waliojitokeza kushangilia ushindi wa klabu yao ya mjini Liverpool.
Mamlaka za mji wa Liverpool zinasema uchunguzi wa shambulio hilo kwa kutumia gari kugonga umati wa watu waliokuwa wamejitokeza kusherehekea ushindi wa klabu ya mpira wa miguu...
Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili tujiburudishe natafuta fundi anaeweza kuchora nembo ya Barcelona na Liverpool kwenye nyumba yangu forca barca...
Mshambuliaji Mohamed Salah hatimaye amesaini mkataba mpya kuendelea kubaki Liverpool kwa mshahara wa Pauni 350,000 kwa wiki baada ya mvutano wa muda mrefu kuhusu suala la Mkataba wake ambao ulitarajiwa kumalizika Juni 2025.
Baada ya kusaini amesema “Nimefurahi, tuna timu nzuri, tuna nafasi ya...
Ligi Kuu ya England Premier League imeendelea leo Aprili 6, 2025, timu ya #Liverpool imepoteza mchezo wake wa pili msimu huu (2024/25) katika Ligi hiyo kwa kukubali kichapo cha Magoli 3-2 kutoka kwa #Fulham
Michezo minchine, Brentford imeishika shati Chelsea katika matokeo ya 0-0 wakati...
Newcastle United wamefanikiwa kutwaa taji lao la kwanza kubwa baada ya miaka 70 baada ya kuwalaza Liverpool bao 2-1 katika fainali ya Kombe la Carabao iliyochezwa leo, Machi 16, kwenye Uwanja wa Wembley.
Kwa upande mwingine, wiki imekuwa mbaya kwa Liverpool baada ya kutolewa kwenye Ligi ya...
Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya.
Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi.
Ikawashtua mashabiki wengi wa soka ambao hawakutarajia kama Liverpool ingeondolewa hasa katika uwanja wake wa nyumbani.
Leo ni...
1. Ni Mpumbavu asiye na mfano
2. Ni Mnafiki mkubwa
3. Hajui anachokifanya (Juha)
4. Muongo na Hafai
5. Mchawi / Mshirikina
6. Anapelekeshwa kama Mwehu
7. Analazimisha umaarufu na kupendwa
Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
Jamani hayo ni macho yangu ya rohoni ikitokea ivyo mnichangie niwape na matokeo mechi ya Simba vs yanga correct score
Bibi kasema wa kubet stake a wife
Ushindi wa Magoli 2-0 dhidi ya Manchester City umeifanya Liverpool kuongoza Ligi Kuu ya England "Premier League" kwa tofauti ya pointi 11 dhidi ya timu inayoshika nafasi ya pili (Arsenal)
Matokeo hayo pia yanaifanya City chini ya Guardiola kuendelea kubaki nafasi ya Nne ikizidiwa pointi 20 na...
Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu...
Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je?
Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
Mechi iliyokua ichezeke mapema leo, Merseyside Derby kati ya Everton na Liverpool maarufu Majogoo wa London, imehairishwa.
Sababu ya kuhairishwa ni uwepo Kimbunga kikubwa na dalili ya mvua isiyo na kikomo hapo baadae leo hii
Soma, Pia: Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa
Mamlaka ya...
Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi
Kuna uwezekano timu ya mpira maarufu kwenye ligi ya uingereza liverpool FC kukosa ubingwa msimu huu kutokana na vita huko mashariki ya kati.
Hii vita ya majibizano kati ya taifa teule Israel na Iran itapelekea kuwa vita kamili na kuwa vita ya tatu ya dunia.
Kwa...
Meneja wa zamani wa timu ya Uingereza ya Liverpool Jurgen Klopp ameteuliwa katika nafasi mpya kuwa mkuu wa shughuli za soka katika kampuni ya Red Bull, ambayo inamiliki klabu za RB Leipzig ya Ujerumani, RB Salzburg ya Austria, Red Bull Bragantino ya Brazil na RB New York.
Red Bull inasema Klopp...
Majuzi hapa mashabiki wa Liverpool eti wakawa wanasema virgil ni bora kuliko vidic. Admin wa page ya FA Cup akawakumbusha vizuri wamjue vidic ni kisiki.
Naona vijana wa Arsenal wanaanza kusema pair ya vijana wao ni bora kihistoria EPL.
Nakubali kuwa vana Dijk, n Saliba na Gabriel ni wachezaji...
The Egyptian King 👑 🔥
Mohamed Salah amehusika kwenye magoli (17) dhidi ya Manchester United, kuliko mchezaji yoyote katika historia 💥
➜ 11 - Magoli aliyowafunga.
➜ 06 - Assists alizotoa.
Full - Man United 0 - 3 Liverpool
⚽️ Luis Diaz ›› 🅰️ Salah — 35'
⚽ Luis Diaz ›› 🅰️ Salah — 42’
⚽️...
Ex-Arsenal and Liverpool star Alex Oxlade-Chamberlain ‘in talks’ over shock transfer to return to Premier League
ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN is reportedly in talks over a shock Premier League return with Brentford.
The former Arsenal and Liverpool midfielder spent the past year playing for...
Beki wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk (33) amesema licha ya kuwa mkataba wake umesaliwa na Mwaka mmoja, hajapata mkataba mpya hali ambayo inaonesha dalili kuwa inawezekana maisha yake yasiwe marefu kikosini hapo.
Mbali na Van Dijk mastaa wengine wat imu hiyo ambao mikataba yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.