lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lissu ataka kukutana na Mashahidi wake watatu kabla ya kuendelea na kesi

    Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Baada ya Jaji Ndunguru kumweleza Mhe. Lissu kuwa bado ana mashahidi watatu na kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Lissu apewe haki ya kuzungumza na mashahidi wake IGP, CDF na DCI kupanga mikakati ya kesi yao

    Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc. Hivyo mahakama iweke utaratibu kwa mashahidi watatu waliobaki yaani CDF, DCI na IGP mshitakiwa aweze kuonana...
  3. JamiiForums Tanzania Nawasanua nchi hii mpinzani wa kweli ni Lissu tu

    Hawa wengine ni waigizaji Kama mnabisha wakati utasema Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 . Yule pia wa bavicha ni afsa TLS ni afisa Kinatali pia ni afisa Makamo pia ni afisa Katibu pia ni afisa...
  4. JamiiForums Tanzania CRDB haistahili lawama kwa risiti na pay-in-slip zinazomhusu Heche zilizoonyeshwa mahakamani kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Inashangaza sana CRDB kulaumiwa na hizi nyumbu za ufipa. Risiti na payin slip ni mali ya mteja na benki haihusiki kabisa na hilo. Kama ni lawama apewe Salman kwa sababu yeye ndo alimwekea pesa Heche. Halafu nimeona branch ni LUMUMBA. Inawezekana Heche ni mwanaCCM mwenzetu na huwa anafika ofisi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wakimaliza kumuhoji John Heche, msishangae kesi ikafutwa ili vigogo wa vyombo vya usalama wasohojiwe na Lissu mahakamani

    Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka. Wanajua upo uwezekano wa Lissu kuwa na taarifa nyeti za hao vigogo zikiwemo za kibinafsi na zile zinazohusiana...
  6. JamiiForums Tanzania Nadhani Tundu Lissu anaweza kuwa peke yake, Tuombe Mungu aingilie kati

    Binafsi sina shaka sana na Mnyika , lakini kila nikiangalia ma boss na marafiki wa zamani wa viongozi/wajumbe wa sasa na waliopita CHADEMA nakosa imani sana . Kuna kila dalili ya undercovers kuwa wengi sana , ingawa natambua watu wanaweza badilika pia , lakini pia natambua kuwa au kuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaosema Heche ananufaika na kesi ya Lissu sio waongo, amethibitisha

    Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk. Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari...
  8. JamiiForums Tanzania Inasemekana mashahidi aliochagua lissu hakuna mbowe, sugu, lema na yai. Jana mange anatuambia hawa wannne tayari washawekwa kwenye kundi

    Nini kinaendelea huko HQ. ngara23 Mshana Jr Kipenzi Changu
  9. JamiiForums Tanzania LEMA waambie Wanagenge wenzio wanufaika wa Pesa za Kimama, Acheni Mara Moja huo mchezo, Watanzania Hawatawasamehe, LISSU hatowasamehe !!

    TUNAJUA ,baada ya kusogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, tuliwavuruga sana , tulivuruga mnoo michongo yenu Ovu. Sasa sisi tunawaambia Leo 15/9/2026, ikawe kumbukumbu. Kama ambavyo MBOWE kadharauliwa na Wananchi, ndivyo nanyinyi mtaenda kua hivohivo !!. Unapenda sana Kumtumia Mungu, Sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu wa LISSU, akiri , kumbe LEMA na MBOWE ndio walikua wanamtembelea LISSU Usiku kumshawishi akubali MARIDHIANO!!.

    Wakuu, Kuna ndugu wa LISSU hapa anadai kua 'Lema na Mbowe, ndio walikua wanamtembelea LISSU majira ya usiku !!!
  11. JamiiForums Tanzania Kitendo cha wafuasi wa Chadema kumtukana Lema na Lissu kisa kuhani msiba ni ishara ya Chadema kuwa ni kikundi cha wahuni kilichokosa viongozi

    Miaka yote nimekuwa nikiwaasa viongozi wa CHADEMA kukemea matusi ndani ya chama chao hawakunielewa ona Sasa Leo wamegeukana wanatukanana wenyewe kwa wenyewe. Wameenda mbali zaidi mpaka kuanza kudai Hela za ToneTone ambazo zilishaliwa Kama ni kosa hata kuhani misiba ya binadamu wenzetu sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Uhaini wa Katuga vs Uhaini wa Tundu Lissu

    Hapa Tundu Lissu lazima anyongwe https://www.youtube.com/watch?v=vxDqeVBOJ10 ALICHOKUWA ANAMAANISHA KWA MUJIBU WA Nassoro Katuga 1. ATAPINGA KWA KULETA VITA 2. Mlihamasishana na wananchi kwenda Magomeni. 3. Mlikuwa kundi, ikabidi Polisi wawatawanye 4.
  13. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu unavyoweza kuchochea mpasuko ndani ya chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi...
  14. JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Salaam, Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu. Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo. 1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amchana Lissu na CHADEMA kwa kuleta mizaha kwenye harakati za kukomboa Taifa kufuatia salamu za Lema na Lissu kwa kifo cha mume wa Rais

    Kwa hili niko na Mange 1,000 percent. Watanganyika wametumia msiba wa mume wa Samia kumkumbusha kwamba na wao waliumia vibaya kuuliwa wame, wake, watoto, na ndugu pamoja na utekaji, utesaji, ubakaji na ufiraji usioisha. Sasa Lissu wawezaje kufanya mizaha na kucheka cheka na watu waliokupiga...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Lissu ndiye target, Lema ni amplifier

    Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier tu. Jambo jingine CHADEMA Katika kitu kitawapa shida ni hii kuingia kwenye mfumo wa wanaharakati...
  17. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Let love lead! Mama, mtoe Lissu kwenye kuta za gereza

    Leo ndugu Lema, mbunge wa zamani wa Arusha mjini ambaye pia ni mnufaika wa michango ya CHADEMA kama tonetone, join the chain na mingine mingi, katoa salamu za pole kwa Mheshimiwa Rais Mama Samia kwa kufiwa na mumewe pia kafikisha salamu za mwenyekiti wake anayekaribia kuhukumiwa kwa kosa la...
  18. JamiiForums Tanzania Lissu Kuwaita IGP, DCI na CDF kwenyeUtetezi Ni Mbinu au Mtego?

    Wakuu JF amani iwe nanyi, Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kumkuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya uhaini, mjadala mkubwa umehamia kwenye orodha ya mashahidi wa utetezi. Katika uamuzi wake kuhusu maombi ya utetezi, Mahakama Kuu imeridhia waitwe viongozi...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Jebra: Haikuwa sawa Lissu kunyimwa mashahidi aliowaita

    Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole, amepinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuwakataa baadhi ya mashahidi waliopendekezwa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili. Kambole amesema Mahakama haikupaswa kuamua kuwa ushahidi wa mashahidi hao hauna umuhimu (relevance)...
  20. JamiiForums Tanzania CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana. Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea? Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…