lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Tofauti za kampeni Kati ya Lowassa na Lissu

    Mataga ndio watu ambao hawana ufahamu kabisa kwa mambo ya uchambuzi wa siasa za Tanzania na Afrika. Wakati wa Lowassa utawala wa Kikwete ulirihusu vyama kufanya siasa kwa Uhuru na uwazi kiasi tofauti na Jiwe ambae amezuia kabisa siasa kwa miaka mitano huku yeye na wapambe wake wakitamba...
  2. GE2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania" ===== LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE Mgombea Urais...
  3. Wakili wa Tundu Lissu amwaga cheche kwa walivyojipanga dhidi ya mteja wao

  4. GE2020 Sina imani na CHADEMA na Lissu tena, hata wakishindwa itakuwa sawa tu

    Mimi ni mpenzi wa Chadema wa kufa Mtu, naichukia CCM kuliko kitu chochote. Ndio kitu kinachoongoza kati ya vitu ninavyovichukia. Lakini ikatokea Chadema ikashindwa kihalali kabisa bila hila wala wizi wa kura wa Aina yeyote, yaani Watanzania wakaichagua CCM kwa moyo mweupe kabisa bila mashakani...
  5. Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

    Tumekuwelea hapa taarifa hii ili usiachwe nyuma kujua Lissu alipo na anachokifanya kwa wakati husika , jingine ni kuwaonyesha wapiga kura ucha Mungu wa Rais wao mtarajiwa
  6. GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

    Mgombea Urais wa Chadema anafanya kampeni kata kwa kata. Usikose kuyasikia madini ya Lissu, leo kata ya Isman. ===== "Mafurikoo Ya Wananchi Wa Iringa Kwenye Viwanja Vya Mwembe Togwa KatiKati Ya Mji Wa Iringa. Mheshimiwa Tundu Lissu Akiwa Jukwaa Amenadi Sera Zifuatazo... 1. Itakuwa Jambo La...
  7. GE2020 Ujue Tundu Lissu unakera, unakera, unakera!

    Maumivu yanayotupatapa wanaccm kutokana na huyu bwana ni kuusema ukweli unaouma. Huyu jamaa hasahau na wala hapindishi kitu. Yaani mkuki moyoni inaumiza sana ndio maana hatumpendi. Ni kweli anapowaambia wananchi ukuaji wa uchumi wetu hauendani na maisha halisi ya wananchi, kweli wananchi...
  8. M

    GE2020 Lissu ashtushwa na kitendo cha viongozi wakuu wastaafu kuhodhi ardhi kubwa sana na kupelekea migogoro ya wakulima na wafugaji nchini

    Katika hali ya kuendelea na wito wake wa kuliponya Taifa kupitia kusema ukweli mchungu, Ndugu Tundu Lissu amewaeleza wananchi wa Ifakara na Kilombero mshtuko mkubwa alioupata baada ya kufahamu ardhi kubwa sana ya mkoa wa morogoro kumbe inahodhiwa na viongozi wakuu wa nchi wastaafu. Lissu amesema...
  9. Maajabu ya undu Lissu na CHADEMA yake

    Kuna Mambo ya ajabu nimeyashuhudia na ninaendelea juu ya huyu Lissu na Chadema yake. Habari zake za kampeni zilikua zinahujumiwa na baadhi ya Vyombo vya habari zisitoke au kupungua umuhimu,lakini zinatoka.na watu wanahudhuria mikutano yake. Sijaona bango hata moja la Lissu lakini watu...
  10. Z

    Rais Magufuli alishasema hatabadili Katiba ili kusalia madarakani. Kwanini Kabwe, Membe, Tundu Lissu mnamenea mnamnenea uongo ?

    Zitto kabwe alichokiandika kwenye Gazette la South Africa (Tanzania’s election: Time for urgent action) ni ni mandalizi ya kuanzisha vurugu kabla na baada ya uchaguzi. Agenda ya kuwadanganya wananchi eti wasimchague Magufuli kwa kusingizia eti akichaguliwa tena atabadiri katiba ni hoja ya...
  11. CCM tambueni kuwa Tundu Lissu siyo muoga na sheria anaijua vizuri. Mwisho wenu uko karibu

    Yaani CCM walivyopaniki na kuanza kutukana katika kampeni zao ni wa kuonea huruma. Tena wasimfananishe Lissu na Dr Slaa au LOWASSA, haya yote ni makali ya CCM. Lissu ni mpinzani halisi ambaye hata siku moja hawezi kuisema vizuri CCM wala mgombea wake. Kuamini kua CCM wengi wao hawatumii akili...
  12. GE2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

    Haya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
  13. J

    GE2020 Mtangazaji Doto Bulendu aomba re-match baada ya maswali yake yote kupanguliwa na Tundu Lissu. Kila anayemkamia Lissu huishia kumkubali

    Walioamua kuvizuia vyombo vya habari visimtangaze siyo wajinga. Wanajua uwezo na ushawishi wa hoja alionao Tundu Lissu. Doto Bulendu amejaribu kumbana lakini imeshindikana. Ameamua kuomba re-match.
  14. T

    GE2020 Tundu Lissu: Katika miaka hii mitano kila Mtanzania awe ni tajiri au maskini ana hadithi yake ya maumivu

    Wapwa Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana Ifakara na Tanzania nzima. Je wewe hadithi yako ni ipi.? Haki huinua Taifa.
  15. Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Morogoro, ni operesheni Kata kwa kata

    Wakati Wagombea wengine wakiishiwa pumzi , Rais Mtarajiwa wa Tanzania Mh Tundu Lissu leo tarehe 12/9/2020 bado yuko Mkoani Morogoro akiendelea kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya ukandamizaji na udikteta na kuichakaza ccm bila huruma ========= UPDATES Picha : Akiwa kazuiliwa na wananchi...
  16. M

    GE2020 Asante sana Tundu Lissu kwa kutetea Waislamu walioko jela kwa uonevu, Mungu akulipe kheri nyingi sana

    Kwako Ndugu Lissu Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nawe Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa dhati ya moyo wangu kwa kitendo chako cha Utu na kupenda haki kwako kwa namna unavyotetea Viongozi wa dini ya Kiislamu walioko Jela kiuonevu. Umekuwa consistent sana kuhusu uonevu huu, umezungumzia...
  17. Tusikaze mioyo yetu. Kuna "jambo letu" tunafundishwa kupitia Tundu Lissu

    Tangu aanze kampeni mikutano ya hadhara ya Mhe. Lissu inajaza watu wenye hamasa kila kona. Wananchi wanakuja wenyewe kwa maelfu huku kukiwa hakuna matumbuizo ya wasanii, wanamuziki, wachekeshaji, wala ubebaji wa watu kwa malori kutoka sehemu nyingine. Hii inaashiria kukubalika kwake. Ana mvuto...
  18. GE2020 Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi anastahili kulaumiwa katika hili, tulimshauri sana amkate Lissu, yeye akaona hana madhara

    Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu. Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio...
  19. GE2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa

    1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu. 2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu...
  20. GE2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

    Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…