lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Troll JF

    Vijana wa CHADEMA oneni aibu mmeshindwa kumpambania Lissu

    Vijana wa CHADEMA mlimjaza upepo Lissu akajaa sasa maumivu ya kuwekwa kabatini yanauma anatoa milio nyinyi mnakimbilia kwenye Keyboard na Kutukana Serikali Tundu Lissu ana Kesi na anatakiwa kutulia gerezani mpaka pale itakapokwisha kwanza majaji Pia wana schedule ya kusikiliza mashauri Mengine...
  2. Idugunde

    Yaitishwe maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza Tundu Lissu aachiwe

    Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini. Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini. Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma. Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
  3. A

    Kamati ya Dino na Maridhiano Hawana la Kusema au kushauri suala la Lissu

    Dini zote kitu cha Kwanza ni kuhubiri Haki, kama za Yatima, Wajane n.k. sasa hivi nchi yetu ina Kesi ya "Uhaini" ambayo Kwa sasa imesimama Kwa muda Mrefu tokea ilipo aanza, hivyo kusababisha Haki za msingi za mtuhumiwa kuvunjwa. Mtuhumiwa yupo tayari kesi iiendele ili haki iweze kutendeka na...
  4. 6 Pack

    SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

    Niaje waungwana Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati...
  5. baz kaiza

    Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  6. Parabolic

    Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini. Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu...
  7. baz kaiza

    Simbachawene 2030 huyu mzee anaweza kutuvusha na kuunganisha Nchi tofauti na hapo labda Lissu

    Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee mwenye busara sana. Kutoka na Istoria ya simbachwane...
  8. Manyanza

    Mazingira ya Lissu Bado tata Gerezani!

    Jana, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake. Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye yalifanyika katika mazingira yasiyozingatia faragha inayotakiwa kisheria, kinyume na Kanuni za Usimamizi...
  9. The Palm Beach

    From Ukonga Prison: Ikulu ilituma ujumbe mwingine kumtaka mwamba akubali "msamaha" wa Mama. Tundu Lissu akataa, amwambia afute kesi kwa kuwa ni uongo

    Inasemakana Ikulu ya Samia ilituma wasaidizi wake tena Gereza la Ukonga kuonana na Tundu Lissu Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba mama yao yupo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano. Mhe. Lissu aliwauliza: "....Anisamehe kwa kosa gani wakati...
  10. Parabolic

    Wakili Kisabo alalamikia Magereza kumnyima faragha alipomtembelea Lissu gerezani

    Leo, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake. Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye yalifanyika katika mazingira yasiyozingatia faragha inayotakiwa kisheria, kinyume na Kanuni za Usimamizi...
  11. M

    Tundu Lissu yatosha sasa, maumivu unayopata hukustahili, Acha watanzania wakinywee kikombe chao!

    Naanza kuona ujinga mkubwa sana kupigania maiti ambayo haijitambui Mh Lissu, wewe ni shujaa sana tena sana na mpaka sasa hakuna binadamu yeyote Tanzania tangu nchi yetu kujipatia uhuru wake atakayefananishwa na wewe Ila leo nimeamka vibaya, nimeamka nikiwa na huzuni kubwa kukuhusu, unaumia...
  12. baz kaiza

    Siku mkija kugundua aliyetaka kutoa uhai wa Tundu Antipas Lissu sio Magufuli ila wahuni walitumia fursa mtakubali? Na leo wanataka kumnyonga

    Kuna mtu makini sina shaka nae anasema waliotaka kumtoa uhai Lissu ni wale team mtandao walitumia chance ya kutokuelewana kwa Magufuli na Lissu wakataka kumtoa uhai Lissu wapate nafasi ya kumchonganisha Magufuli na wananchi maana na Lissu ni kipenzi cha wananchi ilo halina ubishi...
  13. Poppy Hatonn

    Kihongosi awakaribisha Lissu na Heche wajitokeze kujadili maridhiano.

    Kwanza,ni kweli Kihongosi amesema hivyo? Kwa sababu hawa ²wana habari wa Kenya hawaeleweki wanayozungumza. Halafu Lissu anaweza vipi kujitokeza kama bado yupo jela?. Halafu Jumuiya ya Commonwealth unataka uchunguzi,( ambayo tayari unafanyika), lakini na wao wanataka kufanya uchunguzi wao,pia...
  14. The Palm Beach

    Jaji Mstaafu Chocha alionya miaka 9 iliyopita kusema: "Tundu Lissu si mtu wa kawaida". Leo Taifa linashuhudia kutimia kwa onyo hili

    LISSU SI MTU WA KAWAIDA: Jaji Alionya, Taifa Linashuhudia! 👉Huyo ndiye Tundu Lissu mashine iliyomeza vitabu vya sheria na kuvimeng’enya hadi kuwa silaha ya haki. Kama ingekuwa ni hadithi za vitabuni, watu wangedhani hiki kichwa ni AI au mhusika wa kufikirika. Lakini leo, kukaa kwake mahabusu...
  15. W

    Lissu akihoji bungeni kuhusu wanajeshi kuteuliwa na kuwania nafasi za Uongozi kupitia CCM

    Maneno ya Tundu Lissu bungeni Jun 19, 2015 wanajeshi wanapewa vyeo serikali na Jaji Augustino Ramadhani kuandaliwa kuwa Rais wa awamu ya tano.
  16. Sifi Leo

    Mh Rais Tanzania baada ya uchaguzi Ikoje sawa ilihali watoto wetu walikufa? Tundu Lissu ANAISHIA magereza au unamtoaga usiku analala IKULU?

    Mh Rais shikamoo Mimi ni Mtanzania niliyemsaidia san Hayati Magufuli kufanya aliyo yafanya kupitia hapa hapa Haya ebu sema Tanzania baada ya uchaguzi Ikoje sawa? Watoto wetu walikuwa ndugu zetu tarehe 29 ndo imeisha hiyo? We mama msawalie mtume tafadhali halijaisha mpka liishe Ili mama
  17. baz kaiza

    Imetosha majeraha na makovu mliotuacha nayo October 29 tunaomba mwachieni Lissu

    Tuna maumivi tuna makovu na majeraha nyie hamuwezi kutufariji ni mpumbavu pekee anaeweza kusema watanzania watasahau. Tunaomba mwachie Tundu lissu bila masharti yoyote tunaomba Pole pole ni ayo tu kwa sasa
  18. Manyanza

    Shahidi wa ziada kesi ya Lissu ASP Mahamba kumbe ni marehemu

    Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana. Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi? Akaandika Malisa Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said...
  19. S

    Kibwenzo cha Lissu hatimae kawapata Polisi, Wanasheria wa Serikali na Mashahidi wa Kificho!

  20. Farolito

    Heche: Gari la Lissu Lilishanunuliwa, lipo na ni Jipya!! Tunasubiri atoke tumkabidhi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kwamba gari ambalo wananchi walikuwa wakimchangia Lissu ili anunue tayari Lilishanunuliwa ni Jipya na akitoka tu gerezani anakabidhiwa. Akizungumza na kituo cha East Afrika katika kipindi cha "The Interview". Heche ametoa taarifa hio baada ya...
Back
Top Bottom