Boma la vyumba 2 Linauzwa Mbezi Msakuzi ni mwendo wa dk 3 kwa miguu kutoka kituo cha mwisho wa hiace zinazotoka mbezi stendi
Linauzwa Mln 18 tu maongezi kidogo yapo
Ukubwa wa eneo ni 20x23(460 m2)
Vyumba 2(Master + single room)
Jiko na baraza mbele na nyuma
Public toilet na Sebule kubwa sana...
Ofa ya Viwanja Kibaha Kwa Mathias Kidenge B
Vipo vya umbali wa km 4-kutoka kituo cha Mathias Lami
Vipo vya Km km 6-Kutoka lami
Nipazuri sana na huduma zote za kijamii zimefika
Bei Ukubwa kuanzia:
*million 2 ukubwa 16×13
*Milion 2.5 ukubwa 15×16
*Milion 3 ukubwa 15x19
*Milion...
Shamba la mitiki LINAUZWA
Mteja ambae uko serious
Piga simu tuzungumze
0615636384
Miti iko 1700
Uwekezaji huu utakupatia Kila hekari million 300 Mimi nimeshindwa kuendeleza
Karibu umalizie palipo
Baki.
JIKO LA GESI NA UMEME 330 000 maongezi yapo kwa hilo jiko...liko vizuri kabisa....ndo natumia hadi sasa
plate mbili gesi, plate mbili umeme
napatikana Dsm
piga 0683473391
kwa maongezi zaidi
Shamba linapatikana Kijiji cha Kwa Msangazi, Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga.
Shamba lina rutuba ya kutosha halihitaji mbolea ya aina yoyote ile kwa kilimo cha mazao ya chakula na biashara, halikadhalika linafaa kwa shughuli za ufugaji.
Shamba lina ukubwa wa Ekari 16 na kila Ekari moja inauzwa...
Eneo linauzwa Bunju A
Bagamoyo road.
Eneo linatazama barabara kuu ya Lami.
Wamiliki WA eneo wapo watatu.
Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja.
Mmiliki mmoja anauza milion 300
Mmiliki wa pili anauza milion 300
Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana.
Mmiliki wa tatu anauza...
Body la Tata linauzwa
Ni namba D
Exchange na Toyota Coaster au Ros a
vitu vyote vipo kasoro injini,giabox na propela ndio havipo.
Bei Mil 15
Lipo kibaha mkoa wa Pwani
mawasiliano 0759399805
ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA
Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NURSERY LINAKODISHWA AU KUUZWA kwa mteja yeyote mwenye uhitaji wa kununua.
Eneo hili lenye Ukubwa wa takribani Ekari 2, lipo Dar esalaam Matosa, Goba na lina Madarasa 4,Nyumba 1 ya...
Kiwanja kizuri Sana kiko kwenye makazi yaliyopangwa yakapangika, very good neighbourhood.
Sifa za kiwanja.
Marefu ni meta 35
Mapana ni meta 35.
Unaweza ukakiita nuhu hela.
Kiko Boko Basihaya, panafikika kirahisi kwa usafiri wa aina yoyote.
Bei 50 mil only
Mawasiliano:-
0717454455
0767454455
Shamba lipo Tanga Korogwe
ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100
Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150
dalali ukileta mteja 10% ya kwako
miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
Wadau eneo linauzwa lipo makongo mwisho njia kwenda kanisa katoliki lina ukubwa sqm 2231 lina hati ya wizara.halina shida yoyote ni tambalale na bei ya kutupa linuzwa kwa ajili ya shida tu bei ni 300m
Karibu
Habari wakuu.
Eneo Linauzwa Goba Half London.
Umbali Hadi barabara kuu ya Lami ni Mita 600
Sqm 3000
Hati Safi (Title Deed)
Bei milion 300
Piga simu 0754693556
Eneo hili lipo njia ya koba kutokea Mbezi Magufuli ni karibu Zaidi pia kutokea mjini Kwa njia ya goba ni Sawa pia.
Mita 100 kutoka usawa wa eneo hadi barabara kuu ya Goba.
Location kituo cha daladala kinaitwa Kwa Robert.
Eneo Lina nyumba ambayo anaishi muuzaji wa eneo.
Ukubwa wa eneo ni sqm...
Wakuu, Habar za leo mabibi na mabwana ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku
Kuna pooltable linauzwa bei ni maelewano liko vizur lipo mkoa wa njombe wilaya ya makete kwa mawasiliano 0776736062
Habari wakuu.
Eneo linauzwa Luguruni
Eneo linaangalia barabara kuu ya Morogoro Road.
Sqm 2789
Title Deed
Milion 550
Uwekezaji wowote unafaa sababu eneo linaangalia barabarani (MAIN ROAD)
📱0754693556
Helw JF,banda linauzwa laki 5.Lakin halina kitu chochote,umeme upo.Kwa hyo kama unataka kuanza biashara unakuja na vitu vyako,kwa mawasiliano piga 0759-124378,eneo,njeteni karibia na shule ya dar es salaam girls mbezi ya kimara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.