Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.
Wanasema Simba hakugomea mechi,ila wao ndio walighairisha.
Swali ni je,kati ya wao bodi na Simba nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa rasmi kuwa hakutakua na mechi?
Simba walitangaza usiku wa kuamkia siku ya mechi kuwa wao rasmi hawatocheza mechi.na kulivyokucha asubuhi ya siku ya mechi bodi...
Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
Bodi ya ligi inahanyahanya iseme nini baada ya kuamrishwa na Simba ifute mechi ya derby. Kama takukuru ingethibitisha kuwa Yanga imetoa rushwa kwa yeyote ili kushinda mechi bado bodi ya ligi ingeweza kutumia ushahidi huo wa TAKUKURU kuipoka Yanga points 3 na kuipa Simba, lakini sio kuahirisha...
Nimeshangazwa na maelezo kutoka Bodi ya ligi (TPLB) kuhusu sababu ya kuahirisha mchezo, Nimegundua nguvu kubwa inayotumika na bodi kujisafisha na kujitoa makosa yake.
Sababu za kuahirishwa mchezo zinazotajwa na TPLB ni za kiusalama kwa mujibu wa maelezo yao, Kwamba kamati ya saa 72 iliahirisha...
Kumekuwa na madai ya mashabiki wa Yanga humu jukwaani kuwataka bodi wawajibu barua yao ya kugomea mechi itakayopangwa na bodi, hatimaye bodi wamevunja ukimwa kwa kuwaambia Yanga kuwa hakuna points 3 za bure,na kuwa wamevunja kanuni kwa kukaidi agizo la bodi la kuahirisha mechi kwa kupeleka timu...
Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7
Soma: Jean...
Kwa wiki kadhaa nimekua nikiangalia mechi za ligi ya Italy Serie A. Nimekua nikijiuliza mbona katika kila mchezo goli la kwanza likifungwa kuna watu wanaweka mpira kwenye kimfuko na kisha kukipeleka ndani vyumbani/ofisini huko.
Mwenye kujua hili tendo maana yake nini atupe maelezo kwa faida ya...
Mjitahidii kulinda miguuyenu
Kwa sasa mnapochexa na Simba mjue mnavhexa na BODI ya LIGI
Msijisahau mkajua mnachexa na Simba mtaliwa kiboga mapemaa
Otherwise all dbest
Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma
YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia
uwanjani
Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI
Muwe makini KUFUNGWA mtafungwa ANGALIEN usalama WA afya xenu
Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena.
“Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
Baada ya Makosa makubwa na uvunjifu mkubwa wa kikanuni uliofanywa na Bodi ya Ligi, Inashangaza kuona mpaka sasa ni Mjumbe mmoja tu ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja ambaye amejiuzulu nafasi yake na kutoka nje ya kikao baada ya...
Amini nawaambia hii issue isingekuwa simba/Yanga kuna timu ingekiona cha mtema kuni.
Simba na yanga zinadekezwa na serikali na ndiyo jeuri yao kubwa TFF hawana meno. Kipindi kile game imesogezwa masa 3 mbele kisa birthday ya mwinyi yanga akachomoa bettry na hakufanywa kitu.
Leo yametokea...
Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao!
Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa...
WAKATI WATANZANIA MKSHANGAA VITUKO VYA JANA ISSUE IKO HIVI
KUNA BOI MEMBERS WAKO PALE WANASAPOTI SIMBA WAKIONGOZWA NA RAIS WA TFF KARIA
BAADA YAKUPITA WANAKOJUA SIMBA WAKADANGANYWA KESHO MKIINGIXA TIMU MNAKUFA SI CHINI YA TANO
WALICHOFANYA TFF NA WENXIE WA BODI WAKACHEXA DILI NA KAMISHNA...
Tukiacha ushabiki viongozi wa Simba waliweka mtego na Bodi ya ligi imejaa kwenye mfumo, kiuhalisia hakukuwa na sababu yeyote ya msingi ya Simba kugomea mechi.
Lakini kwa Sasa Hivi huwezii kusema Simba aligomea mechi ila Bodi ya ligi iliahirisha mechi kwa hiyo mpaka saivi Simba kwa kufuata...
BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi.
Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender.
Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.