ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Yanga wagomea kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini wa ligi NBC mechi ya KMC

    Katika mechi yao leo na KMC. Yanga wamevaa jezi isiyokuwa na nembo ya ya mdhamini tofauti na timu nyingine kama tulivyoona katika mechi nyingine zilichezwa leo. Wadau wengi wa soka tunasubiri kusikia kauli ya TFF. Kwani hili ni tukio kubwa saana kwa mustakabari wa soka letu. Kuna mtu kaniuma...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa bodi ya ligi leo washabiki waliojaa uwanjani ni wa KMC

    Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani Sasa bodi ya ligi mwishoni mwa msimu kwenye takwimu zao ni kwamba hawa ni mashabiki wa KMC, mkae mkijua hilo.
  3. JamiiForums Tanzania Kama mnajiuliza ni kwanini kila Mkoa wakienda kucheza Mechi ya Ligi Kuu wanajifanya kutoa Misaada kwa Yatima, Wajane na Wasiojiweza jibu ni hili

    Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye pia alimsaidia Kushinda Kesi mbaya ya Bandarini aliyekuwa Boss wa huko mwenye Jina la Ukoo lifananalo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mayele, Djuma Shaban ni magarasa kule Congo; kikosi bora cha ligi yao hiki hapa

    Ukiakaa ukiwasikiliza Utopwinyo wakielezea jinsi Juma shaban alivyo beki bora kutokea ligi ya congo au ukamsikia MSUKULE lopolopo linavyomuelezea kama una akili za kiutopwingo utawaamini. Anyway ogopa sana matapeli hiki hapa kikosi bora cha ligi ya congo msimu uliopita na wachezaji bora maana...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga yasema Bodi ya Ligi ya Tanzania Bara ndio inahusika na suala la ulinzi mechi za CAF CL

    Anaandika Wakili Simon Patrick , Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Yanga - Wakati unatafakari kuilaumu Klabu ya Yanga kuhusu faini ya CAF ni vyema ukafahamu yafuatayo; - Nani anahusika na ulinzi wa uwanja? Nani anahusika na COVID tests? - Nani anahusika na kuruhusu mashabiki uwanjani? Nani...
  6. JamiiForums Tanzania TFF Ishaanza Kuwasetia Simba SC Viporo Kwenye NBC Premier League

    Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze. Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi. Yaani ndio kama hivyo, mapeeeeeemaaaaa! Hebu fikiria. Ratiba ya mechi ya inapelekwa mbele siku saba...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Simba cement kuongeza idadi ya wadhamini ligi kuuu, kitanuka tena kwa hakika

    Hawa jamaa siyo tu wataambiwa wabadili rangi simba awe wa njano ila watapigwa mkwara waweke hata swala wataulizwa ushawahi kuona simba na mambo ya cement wataambiwa kama vipi iteni hata Dar es salaam cement
  8. JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Benki inayodhamini Ligi Kuu wanaupiga mwingi

    Kutoka tawi la Makumbusho/Kijitonyama namba ngapi umemuelewa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

    Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa kuchafua jezi. Pichani ni Mnyama Pawasa akiwa ametinga uzi wenye twiga mwekundu vilevile ni vyema...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Yanga lazima wagombane na NBC wadhamini wa ligi

    Kesho inatarajiwa benki ya NBC kutangazwa kama wadhamini rasmi wa ligi kuu ila tuambiane tu ukweli UTOPWINYO KESHO KINANUKA watakataa hiyo logo watasema Twiga mwekundu hawataki awe wa njano au kijani, ni majitu fulani yasiyoheshimu watu hata nembo za wenzao hawaheshimu nakumbuka last year...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja ambavyo havistahili kuchezea mechi za ligi kuu

    1.Ule uwanja unaotumiwa na dodoma jiji.Ni aibu sana yaani uwanja upo katikati ya jiji lakini una nyasi kavu na kutimka vumbi. 2.Karume-Mara, huu uwanja hata kuchezea ligi daraja la kwanza haufai ni kama vile huwa wanalima mpunga hapo. Orodhesha vingine.
  12. JamiiForums Tanzania Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka, Bodi ya Ligi imethibitisha.

    Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake. Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Simba SC na nyie mmekuwa kama Washamba wa Yanga SC kulalamikia Takwimu za Bodi ya Ligi?

    Hivi Yanga SC ikiongoza kwa Takwimu, Kujaza Watu au Kuuza Mijezi Misukule na Mikaragosi yao huku wakiwa hawachukui Vikombe na tunawafunga katika Mashindano muhimu nani mnadhani Kimantiki ndiyo anaonyesha kuwa na Tija hasa? Yaani wana Simba SC leo hii mmesahau kuwa Yanga SC ni Washamba? Hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga kutumia "Visit Tanzania" ligi za ndani

    Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa utaendelea kuvaa nembo yenye vivutio vya utaliiya Visit Kilimanjaro & Zanzibar kwenye jezi zao upande wa mkono wa kushoto katika mechi zao za ndani. . Uongozi umesema kutokana na mechi hizo zinarushwa na Azam TV hivyo upo uwezekano wa kuonekana na watu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Timu ya kwanza kuaga mashindano ya kimataifa kabla ya ligi kuanza

    Naam mnamo tarehe 25 mwezi august mwaka 2019 Simba ilitoka 1-1 na UD songo ikapelekea simba kutolewa kwa goli la ugenini ikapelekea Simba kuanza ligi tarehe 28 august kwa kuichapa ppolisi 3-0 ikiwa haimo kimataifa, nakumbuka mwaka huo hakukuwa na shida ya viporo
  16. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Simba Ligi kuu 2021/2022 (Mechi zote)

    Ratiba mechi za Simba Ligi kuu TPL 2021/2022. Simba Sports Club watoto wa Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Walizaliwa 1936 as Queens, baadaye club ilibadilisha jina na kuitwa Eagles, baadaye Sunderland. Mwaka 1971 rasmi waliitwa Simba. TAZAMA FULL RATIBA KWENYE VIDEO! 👇👇
  17. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Yanga Mechi Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022

    Kwa kubonyeza hapo chini utaona ratiba nzima ya mechi za Yanga kwenye ligi kuu Tanzania bara. Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu TPL 2021/2022, Ifuatayo ni Ratiba ya Yanga msimu huu 2021/2022 ,Mechi zote za Yanga msimu wa 2021/2022,Mechi za Yanga leo TPL Baadaye nitapost Ratiba ya mechi za Simba...
  18. JamiiForums Tanzania LIVE: BODI YA LIGI inatangaza ratiba, Simba na Yanga December 11

    hapa ni ukumbi wa TFF
  19. JamiiForums Tanzania Tarehe 19 Septembe TP Mazembe ana Mechi ya Ligi, Dar Wanakuja Kufanya Nini?

    Kama kawaida. Nabii Demigod niko Mjengoni na Swali jingine. Ratiba LigiKuu Congo yaani LinaFoot imetoka leo. Inaonyesha kuwa TP Mazembe wanamchezo wa Ligi katika siku hiyo.? Je Simba wanacheza na TP Mazembe ipi? Kwanini Viongozi wa Simba wanapenda kuwa hadaa sana mashabiki wa Simba? Maana...
  20. JamiiForums Tanzania Nicholaus Gyan atua DTB ya ligi daraja la kwanza

    Klabu ya DTB inayoshirki ligi daraja la kwanza imemsajili mchezaji Nicholaus Gyan ambaye amewahi kukipiga Simba Sc. Gyan anaenda kuungana na akina Tambwe na Juma Abdul ambao nao wamesajiliwa katika timu hiyo! Hivi nani yupo nyuma ya DTB? Kwa uwekezaji huu, DTB ataweza kupandisha timu ligi kuu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…