ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wasioitakia mema Simba SC na ligi yetu

    Nataka kuweka mambo sawa hapa au kusawazisha mapema ili baadae kila mtu aweze kujua mapema. Kuna kuwa na thread nyingi sana hapa JF na hata katika blogs na posts mbalimbali juu ya Simba Sc inapo litendea haki ligi letu na ukanda huu wa A. Mashariki. Kasumba hii ya miaka yote ya kutothamini...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Waamuzi ligi Kuu wadhulumiwa PESA zao tangu mzunguko WA nne,Tff,azam,bodi ya ligi,nbc,gsm mko wapi?

    Hali ya waamuzi wa ligi kuu Tanzania ni mbaya, hawajapewa malipo yao tangu mzunguko WA nne WA ligi Kuu,licha ya uwepo wa wadhamini wengi. Si haki hata kidogo watu wanaenda vituoni wanachezesha mechi wengine wanazaidi ya mechi tatu hadi nne bila kupewa pesa yao. Kwa mazingira haya kweli tutapata...
  3. JamiiForums Tanzania Aina ya uchezaji wa Kibu Denis na Morrison hauna msaada kwa Simba yenye njaa na mataji

    Simba kama moja ya klabu kubwa Afrika inahitaji kuwa na wachezaji wenye mwendelezo mzuri wa perfomance kiwanjani ili idumu kwenye hadhi na nafasi yake. Tokea msimu huu 2021/22 umeanza imeonekana kwamba Kibu Denis na Bernard Morrison wameingia kwenye kikosi cha kwanza. Ni wachezaji wazuri sana...
  4. JamiiForums Tanzania Hawa ni Referees wa AFCON,waamuzi wa TFF wabaki ligi ya Karia

    Marefa wetu wa hovyo huwezi kuwakuta
  5. JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea TFF kesho wanaweza kukosa mapato

    Unaikumbuka tarehe 25.6.2021 Kilichotokea katika sekta ya michezo Tanzania?! Hahaha acha nicheke kwanza na nishushie maji ya AFYA kidogo uku nikisubiri spare zangu nilizoagizwa pale kariakoo mtaa wa Lumumba kwa bwana GSM nikiendelea kusubiri MO TAMBI anazoandaa shemeji yenu. Anyways Mechi ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Soma mwenyewe
  7. JamiiForums Tanzania Hili suala la vitambaa vya unahodha kwenye ligi ya uingereza kuwa na rangi ya Rainbow ni kwamba ligi hii inasimama na mashoga ama imekuaje

    Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo. Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalalishwa tayari ama limekaaje hili suala. Tazama...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Simba na Yanga havitakaa vimiliki viwanja vyao vya kuchezea mechi zao za ligi

    Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio.. Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio, Angalia mapato ambayo Simba na Yanga wanaingiza kupitia Mkapa Stadium! Leo hii uwaruhusu Yanga na Simba wamiliki viwanja vyao halafu...
  9. JamiiForums Tanzania GSM amwaga bilioni 2.1 kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu

    Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu...
  10. JamiiForums Tanzania Azam tv kuonyesha Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kuanzia kesho

    Baada ya Messi kuhamia PSG inayoshiriki ligi kuu ya ufaransa (Ligue 1) hatimae kituo maarufu cha televisheni hapa nchini cha AzamTv wataanza kurusha mubashara matangazo ya ligi hiyo! ikumbukwe AzamTv huonyesha pia Bundesliga, NBC Premier League, FA Cup na Carabao cup. Mashabiki wengi wa soka...
  11. JamiiForums Tanzania kocha wa simba Pablo Franco inawezekana ameletwa na GSM ili kuleta Fair competition kwenye ligi yetu pendwa

    kama title inavyosomeka hapo juu kutokana na uchambuzi wangu wa kisoka inawezekana kocha wa timu ya madrid ya bongo (kolo fc) pablo franco ameletwa na brand kampuni kubwa ya GSM ili kuleta fair competition kwenye ligue yetu pendwa kutokana na ndugu zetu hawa kuanza kulia lia mapema kwamba hakuna...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwe na ligi moja ya soka Tanzania

    Habari zenu wanajukwaa pendwa la michezo JF, Katika kipindi hiking ambacho team ya taifa ipo kambini kujiaandaa na mechi za kufuzu kombe la dunia nimepata wazo kama timu ya taifa inajumuisha wachezaji kutoka Tanganyika Na Zanzibar Kwa nini kusiwe Na ligi moja ya Tanzania? Natamani kitokee Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kufungia makocha kunainua soka letu?

    Kocha ni kama mzazi na mlezi wa wachezaji wake, wachezaji wanamtegemea kocha na nahodha wao wanapokuwa viwanjani. Haiwezekani makocha wakae kimyaa kabisa kwa waamuzi wasiofanya haki kwa wachezaji na timu yake. Binadamu hayuko hivyo, kuna wakati anaweza kusema kitu bila kukusudia kutokana na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania Bara: Waliotangulia na baiskeli ya miti wanajifahamu, hata mwaka jana ilikuwa hivyo hivyo!!

    Hata mwaka jana walitangulia na baiskeli ya mbao na hawakufika popote!! Wakisikia gari kubwa huko nyuma linapiga lesi kiwewe tayari!!! Hiyo mliyosikia kilichompata Namungo ni lesi tu!!! Gari kubwa karibu lishaanza kuchanganya na hakuna namna ni suala la muda tu baiskeli ya miti lazima ipishe...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mwaka jana (2020), Raundi ya 5 Simba ilikuwa ikiongoza Ligi

    Pamoja na kwamba Yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni msimu uliopita lakini ligi ilipofikia Round ya 5 Simba ndiyo iliyo kuwa ikiongoza ligi wakiwa wote wanalinga point lakini Simba akiwa juu kwa tofauti ya magoli FACT1 Mwaka jana SIMBA alikuwa na magoli mengi ya kufunga mara mbili...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya mafanikio ya soka Mbeya?

    Nchi yetu imejaliwa kuwa na mikoa takribani 30 kwa sasa, na mfumo wa michezo inayosimamiwa na TFF unahusisha mikoa yote ya Tanzania bara, hata hivyo kuna mikoa ambayo huwezi kusikia ina timu inayoshiriki ligi kuu miaka yote. Ukiacha Dar es Salaam, na timu za taasisi mikoa mingine imekua...
  17. JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi msipuuzie hali kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji

    Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko radhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Usipoivaa Nembo Ya Mdhamini Wa Ligi Nyudo 3M Kila Mechi

    Na Adhabu Inaweza Kuongezeka Kufikia Kuporomoshwa Daraja. Hili Limekaaje Wadau? Bodi Ya Ligi ina lengo La kuwaumbua Viongozi Vya Vilabu wasiotumia Busara Kuongoza? Ni Vijimambo vinavyopatika Ligi yetu Ya Tanzania tu...!
  19. JamiiForums Tanzania Kutolea mifano ligi yetu na Ligi 5 bora duniani ni kuoneana

    Katika pitapita zangu kwenye live score nkakutana na mechi za ligi kuu ya Congo league 1. Nlichokutana nacho naona ni vichekeshi kuliko hata kwenye ligi yetu, kama inavyoonesha hapo katika msimamo, kunatimu ishacheza mechi saba nyingine ndo kwanza inamechi tatu. Hizi ndo leveal zetu sasa mambo...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Why ligi yetu haina mechi zenye ladha kama za champions league. Eg. Jwaneng, ud songo, rivers , zesco , mazembe etc

    Habari wadau Mimi ni shabiki sana wa soka la bongo. Nimejaribu kuvuta kumbu kumbu sijapata kabisa mechi za mashindano ya bongo yenye ladha kama za caf champions league. Jwaneng simpi sifa kwa kuifunga simba. Ila nampa sifa kwa kupiga mpira mkubwa away bila kukata tamaaa mwanzo mwisho. Yaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…