ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi sitisheni kwa muda matumizi ya uwanja wa Sokoine Mbeya

    Nimetoka kuangalia mechi ya mtoano, Kombe la Shirikisho la Azam muda si mrefu kati ya Tanzania Prisons vs Polisi Tanzania, na ambako Polisi Tanzania wamefanikiwa kusonga mbele kwa ushindi wa goli 2 kwa 0 dhidi ya Tanzania Prisons. Kiukweli uwanja umeharibika vibaya kiasi cha kudhani labda...
  2. JamiiForums Tanzania Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu

    Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu
  3. JamiiForums Tanzania Hii vita ya ubingwa wa Yanga na Simba, hivi TAKUKURU hamsikii kelele za waamuzi kupozwa ligi kuu?

    Bongo buana mambo ni mengiiiii lakini muda mchache, ndiyo maana wanasema ukiishi Bongo ukifa kwa stress basi wewe jua umejitakia. Ligi yetu inaendelea, sasa hivi kuna kurushiana maneno mitandaoni na kwenye vyombo vya Habari hasa Yanga, Simba na kidogo Azam FC wanasikika kwa mbali. Mtaani...
  4. JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

    Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
  5. JamiiForums Tanzania TFF na ubovu wa ligi yetu

    Wakuu mimi ni Yanga kindakindaki na hakuna ambae hajui humu.Huwa naumia sana timu ndogo inapokandamizwa pindi zikutanapo na either Yanga yangu au Simba (Mbembwaji mkuu).Tangu msimu uliopita haya madudu ya marefa yalikuwepo na sasa yanaendelea (yaan karia anasema kazi iendelee).Yafuatayo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa GSM kudhamini ligi TFF wajitafakari

    Mpira wetu ni Mali ya TFF, TFF ndio wenye mpira wao kwa mujibu wa Katiba ya TFF, cecafa, Caf na FIFA. Viongozi wa TFF wajitafakari kama wanatosha kuendelea kuongoza mpira nchini kwa haki bila upendeleo na bila woga. TFF Ina mapungufu makubwa sana ya kufanya fairness kwa timu zake dhidi ya timu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GSM kabla ya Kukurupuka Kwenu Kudhamini Ligi na Vilabu mlipata Twisheni kwa Sports Pesa kwanini wao waliweza na Simba SC hawakuwagomea?

    Na msisahau hata Boss wao Mkuu kwa upande wa Tanzania ni Mheshimiwa Mbunge wa Kinondoni na mwana Yanga SC lia lia Tarimba Abbas Tarimba lakini bado waliweza Kuzungumza na Simba SC na Wakafanikiwa. Nyie GSM kwa Ushamba wenu na Kukurupuka Kwenu Siku ambayo mliingia Mkataba wa Udhamini Mwenza...
  8. T

    JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA ongezeni idadi ya Camera mnazotumia kunasa matukio ya mechi katika ligi kuu ya NBC

    Nawapongeza kampuni ya Azam media kwa kuonesha mechi za ligi kuu NBC live, kitendo ambacho kimeipa hadhi ligi yetu si tu Africa ya mashariki bali Africa nzima. Wito wangu kwa wamiliki wa Azam media ni kuwa ongezeni idadi ya Camera katika production team yenu ili muweze kunasa matukio takribani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ligi hii imeshaharibika na hakuna Mdhamini kutoka ndani ataekubalika kwasababu ya "Usimba" na "Uyanga"

    Ligi kuu yetu imetawaliwa au niseme inaathiriwa na usimba na uyanga, na baada ya GSM kujitoa, mdhamini yoyote ataefuata hataaminiwa na atatuhusishwa na Simba na mgogoro utaanzia hapo (kukomoana). Si ajabu mwaka huu tukawa na ligi ya hovyo kabisa huku usimba na uyanga ndio ukiwa chanzo. Kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo siri GSM kujiondoa katika udhamini ligi kuu, Simba inahusika

    Kampuni ya GSM imetangaza kujiondoa katika udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hiyo siyo habari mpya kwa sasa, lakini kilichopo nyuma ya pazia na sababu kubwa ni wapinzani wao wa jadi Simba kugoma kuunga mkono juu ya udhamini huo. Mara baada ya TFF kutangaza udhamini huo, kisha ikaelezwa...
  12. JamiiForums Tanzania GSM yatangaza kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara

    Kampuni Ya GSM, Leo Tarehe 07/02/2022 imetangaza kujiondoa Kwenye Udhamini Mwenza Wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ikimbukwe kuwa Kampuni Ya GSM iliingia Makubaliano Ya Kuidhamini Ligi Kuu Tanzania Bara Na Kuweka Dau la Bilioni 2.5. Lakini Udhamini Huo Ulipingwa Vikali na Simba Sc huku Vilabu...
  13. JamiiForums Tanzania Fiston Mayele, Baraza, wabeba tuzo za Mwezi Ligi Kuu Bara

    FISTON MAYELE - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022 FRANCIS BARAZA - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022. JOHN NZWALLA - Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi Januari, 2022. #NelsonMandela
  14. JamiiForums Tanzania Bila VAR timu ndogo gomeeni ligi round ya pili.

    Ziko timu ambazo zitashuka daraja kwa kupokwa ushindi na waamuzi dhidi ya timu kubwa nchini. Round ya pili hata kama hakutakuwa na VAR lakini iwepo TV inayoweza kutumika watu kuangalia slow motion za matukio tata viwanjani.
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

    Timu ndiyo zinaingia uwanjani, muda wowote mchezo huu wa Ligi Kuu Bara utaanza hapa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. KIPINDI CHA KWANZA Mchezo umeanza. Dk 1: Mwamuzi anapuliza kipenga cha kuanza kwa mchezo. Dk 1: Simba wanaanza kwa kasi, wanafika langoni mwa Mbeya Kwanza, John Bocco...
  16. JamiiForums Tanzania Tuhuma za Yanga, Simba kununua ubingwa, TFF, Bodi ya Ligi, mnaziba masikio

    Ukifuatilia mitandaoni kwa sasa watu wa soka kuna kelele fulani hivi zimekuwa zikiendelea kwa kasi, ilianza kimya kimya, lakini taratibu zinaenda zinashika kasi. Timu fulani kubebwa au timu hii inatengenezewa mazingira ya ubingwa ni maneno ambayo yanasikika sana mtaani na mitandaoni. Awali...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga inaongoza ligi ya 8 Afrika

    Timu 54 zinaongoza ligi mbali mbali Africa ila YANGA inaongoza ligi ya nane afrika. Ni kwa mujibu wa taasisi iitwayo ifhs
  18. N

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika

    Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao. Na...
  19. JamiiForums Tanzania Simba Sc, Lawama hazitawasaidia, Mamilioni ya fedha anazotoa Azam kila mwezi kwa kila timu zimefanya ligi iwe na ushindani kuliko miaka iliyopita

    Kila timu inapokea si chini ya Milioni 40 kila mwezi kwajili ya kujiendesha, Hivi kwa akili ya kawaida tu unategemea ubora wa hizi timu uwe vilevile kama miaka ya nyuma?? 🚨 Simba SC lawama haziwasaidii, wekezeni uwanjani zaidi kuliko nje ya uwanja !! - Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Pablo hii ndo ligi kuu soka Tanzania bara, kuwa mvumilivu vinginevyo safari itakukuta mapema

    Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele. Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…