Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.
Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na:
1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja.
2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
Yanga (Young Africans Sport Club), ni klabu moja wapo ya mpira wa Tanzania iliyoanzishwa 1935 ambapo makao makuu yakiwa Jangwani Kariakoo, Dar es Salaam. Ikiongonzwa na Rais Engineer Hersi Ally Said .Wakiwa mabingwa wa kihistoria mara ishirini na nane 28.
Simba (Simba Sports Club), ni klabu...
Msimu mpya wa soka Ligi Kuu ya Ukraine umezinduliwa wiki hii licha ya uwepo wa vita dhidi ya Urusi, ikielewa kuwa mechi zitaendelea bila uwepo wa mashabiki kutokana na sababu za kiusalama.
Maamuzi ya kuruhusu ligi kuanza yalitolewa na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky akiwa na lengo la...
Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda.
Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi.
Karibu tupeane taarifa.
Wacha mfungaji bora ajitokeze tu by chance na sio kulazimisha lazima mfungaji bora atoke Yanga. Kufanya hivyo kutakuwa na athari kadhaa zikiwemo:
1. Kumchosha mchezaji mmoja huyohuyo ambae mnamtaka awe mfungaji bora kwenye ligi. mtamlazimisha kumchezesha mechi zooote za ligi.
2. mchezaji huyo...
Leo mbungi ilikua inapigwa kule ubaruku kati ya ihefu na ruvu shooting.
Kama ule msimu aliopanda daraja mechi ya kwanza alipigwa na mnyama na leo tena ruvu wamembonda tena hukohuko ubaruku.
Aisee mwanzo mbovu kabisa, mechi ya kwanza tena nyumbani na unabutuliwa.
Ila wamejitahidi kadri ya...
Watu wa Soka,
Salamu kutoka Singida Big Stars.
Ratiba ya Ligi Kuu imeshatoka na mechi yetu ya kwanza tumepangiwa kucheza uwanja wa nyumbani na Wajelajela Tanzania Prisons siku ya Jumanne Agosti 16, 2022.
Nafahamu kwamba Mashabiki wetu, watanzania na watu kutoka mataifa mbalimbali siku hizi...
TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia.
Nenda pale epl, bundersliga, hutaona michezo ya kitoto kama ya viongozi wa bodi sijui kamati ya...
Fraga mpaka Bange alishaanza Kuvuta na alikuwa anafika ( anagongana ) na Kukichafua huku Ukijipendekeza unakula ama Ndole au Kipepsi na Kutulia hadi akawa anaogopwa na Wachezaji wa Timu Pinzani.
Kwa huyu Mzungu Mserbia wenu ( ambaye GENTAMYCINE simkubali ) kwa nilivyomuona tu Pichami alivyo...
Karibuni kwenye huu mjadala.
Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi saaana, yote ikichagizwa na azam media kongole kwao kwa udhamini mnono.
Tumeshuhudia timu Kama Simba, Yanga, Azam wakiwa na uwezo wa kung'oa wachezaji tokea mataifa makubwa tena wakiwa...
KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas.
Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa...
Endapo mtu angepata nafasi ya kurudi mwaka 2010 na kuwahadithia wapenzi na mashabiki wa soka la Tanzania kuwa utafika muda ligi kuu Tanzania bara itakuwa kubwa na kuwa na mvuto katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati kwamba wachezaji wa ligi kuu ya Uingereza pamoja na Ligi Kuu ya Ufaransa...
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri,
Kwa mwenye uelewa kido ni wapi naweza pata mechi zote zilizochezwa toka liki kuu ya Tanzania bara toka imeanza hadi sasa. Iwe kivyovyote vile au katika mfumo wowote ule, Nimejaribu kuangalia kwenye tovuti ya TFF sijapata muongozo wa moja kwa moja.
Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi.
Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki?
Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi...
Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo?
Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi.
Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...