lhrc

Latvian Human Rights Committee (Latvian: Latvijas Cilvēktiesību komiteja, Russian: Латвийский комитет по правам человека) is a human rights non-governmental organization in Latvia. It is member of international human rights and anti-racism NGOs FIDH, AEDH. Co-chairpersons of LHRC are Vladimirs Buzajevs and Natalija Jolkina. According to the authors of the study "Ethnopolitics in Latvia", former CBSS Commissioner on Democratic Institutions and Human Rights Ole Espersen "had visited LHRC various times and had used mostly the data of that organisation in his views on Latvia".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi Wanaoshikiliwa Kinyume cha Sheria maeneo mbalimbali Nchini waachiwe au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imeripoti kuwa imekua ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Imeripoti kwamba mkoani Shinyanga, zaidi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania LHRC yatoa wito kwa TCRA kutekeleza Uamuzi wa Mahakama Kuu Uliotamka Kanuni ya 8 ya Maudhui ya Mtandaoni Kuwa Batili na Kinyume na Katiba

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinapokea kwa mikono miwili uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania uliotamka kuwa Kanuni ya 8 ya Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Maudhui ya Mtandaoni) za Mwaka 2020 ni batili na inakiuka Katiba. Kanuni hii imebainika kuminya haki ya msingi...
  3. JamiiForums Tanzania LHRC Calls for Implementation of High Court Decision Declaring Regulation 8 of the Online Content Regulations Unconstitutional

    The Legal and Human Rights Centre (LHRC) has called upon the government of Tanzania and responsible authorities to fully implement the decision of the High Court of Tanzania declaring Regulation 8 of the Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations, 2020 unconstitutional for...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Matukio ya miili kuokotwa yatikisa 2026, LHRC yataka uchunguzi wa Mahakama

    Wakati matukio ya miili kuokotwa yakizidi kuokotwa ndani ya mwaka huu, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka ufanyike uchunguzi wa kimahakama kubaini vyanzo vya baadhi ya vifo hivyo. Miili hiyo imekuwa ikiokotwa kwenye mito, fukwe, barabarani na maeneo ya wazi katika mikoa...
  5. JamiiForums Tanzania LHRC: Bila uhuru wa habari, sauti ya Wananchi hupotea

    Tanzania imeshuka katika viwango vya uhuru wa habari kwa mwaka 2025, hali ambayo imeelezwa kuwa inatokana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu. Akizungumza jijini Arusha katika kongamano la waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC yarejea mauaji ya Oktoba 29, yayaita kipindi cha giza

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania. Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali yatoa ufafanuzi uteuzi wa Angela Kizigha kuwa Mbunge, yadai taarifa ya LHRC ni potofu

    Serikali imetoa ufafanuzi kwa umma kufuatia taarifa iliyoelezwa kuwa potofu iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kuhusu uteuzi wa Mbunge uliofanywa na Rais Samia Aprili 2, 2026 chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba. Katika ufafanuzi huo, Serikali imeeleza kuwa ni kweli...
  8. JamiiForums Tanzania LHRC: Tume iache danadana; Watanzania wanahitaji uwajibikaji

    Siku chache baada ya taarifa ya Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuongezewa muda kwa mara ya pili, baadhi ya wadau wa masuala ya utawala bora na haki za binadamu, wakiongozwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Twaweza...
  9. JamiiForums Tanzania LHRC: Uteuzi wa Angela Kizigha kuwa Mbunge unavunja masharti ya mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Serikali itoe maelezo ya kina kufuatia uteuzi wa Bi. Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikidai kuwa uteuzi huo unakinzana na sheria za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kwa Nini Kuna Tatizo? LHRC inaeleza...
  10. JamiiForums Tanzania LHRC na Wadau wakutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa UN, Parfait Onanga Anyanga jijini Dar es Salaam

    Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga Anyanga katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo jijini Dar es Salaam. Ndugu Parfait...
  11. JamiiForums Tanzania LHRC yalaani onyo la JAB kwa Waandishi wa Habari, yasema linakandamiza Uhuru wa Vyombo vya Habari

    LHRC yalaani vikali hatua ya Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutoa onyo kwa waandishi wa habari kutokana na maudhui ya kipindi cha televisheni. Hatua hii inakiuka uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki na ni jaribio la kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini. Uhuru wa habari...
  12. M

    JamiiForums Tanzania LHRC wanahoji nini juu ya huyu Banjo? Wana msaada gani zaidi ya kula pesa za wafadhili. Walishasaidia wapi watu wakionewa?

    Maneno mengiii hakuna lolote
  13. JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  14. JamiiForums Tanzania LHRC: Wakuu wa Wilaya/Mikoa waache matumizi mabaya ya mamlaka kwenye masuala yahusuyo tuhuma za kijinai

    matumizi mabaya ya mamlaka hasa zinapohusishwa tuhuma za kijinai na kinyume chake Jeshi la Polisi litekeleze wajibu wake wa kikatiba. Pia katika mchakato wa uuzaji au ununuzi wa ardhi vyombo vilivyopewa mamlaka chini ya Sheria ya Ardhi viachiwe jukumu hilo. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu...
  15. JamiiForums Tanzania LHRC: Wakuu wa Wilaya hawana mamlaka ya Kipolisi kutoa amri ya raia kuwekwa ndani

    https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
  16. JamiiForums Tanzania LHRC yafungua kesi ya kikatiba kupinga adhabu ya viboko shuleni kufuatia kifo cha mwanafunzi Simiyu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeunga mkono na kufungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda Kuu Dodoma) kupinga uhalali wa matumizi ya adhabu ya viboko shuleni. Kesi hii imewasilishwa kwa niaba ya Samwel Maduhu Mangu, mlezi wa marehemu Mhoja Wilson Maduhu...
  17. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wafanyakazi wa LHRC waelezea walivyovamiwa Hoteli ya Whitesands

    Wafanyakazi na wadau wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) waliovamiwa usiku wa jana katika Hoteli ya Whitesands wameeleza hali halisi ya tukio hilo kuanzia lilipotokea hadi leo waliporipoti katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam, ofisi ya ZCO, kama walivyoelekezwa kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 LHRC: Tume huru ichunguze mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu Uchaguzi Mkuu 2025 na wahusika wawajibishwe

    TAARIFA KWA UMΜΑ Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025. Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
  19. JamiiForums Tanzania LHRC: Vijana wanne wanaoshikiliwa kwa Siku 26 Kituo cha Polisi Mkuranga wapewe haki ya dhamana au wapelekwe Mahakamani

    TAARIFA KWA UMMA WITO KWA JESHI LA POLISI MKOANI PWANI WILAYA YA MKURANGA KUWAPA HAKI YA DHAMANA VIJANA WANNE (4) WANAOSHIKILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI MKURANGA 15 Agosti 2025, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kutoka kwa wananchi wa Wilaya ya...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 LHRC waionya CHADEMA lugha za matusi

    LHRC waionya CHADEMA kuhusu matumizi ya lugha za matusi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…