Naomba mwenye Ujuzi kuhusu haya mambo anisaidie uelewa nimesajili Jina la Biashara Brela kwa Business activity 5920 - Sound recording and music publishing activities Main na 4791 - Retail sale via mail order houses or via Internet naomba kufahamishwa hii inaangua kundi A au Kundi B, kama...
Habari zenu wana Jf naombeni muongozo kwa anaefahamu
Nataka kufanya Biashara ya kuuza mapochi ya kike. Lakini changamoto kwenye kukata leseni sijui inasimamiwa katika kipengele kipi he ni urembo au kuuza mabegi,?
Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo:
1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY
Kama...
Unaweza kusajili leseni ya biashara kwa kutumia cheti cha jina la biashara yako tu
Aina za Leseni za Biashara
Leseni ya biashara Kundi “A”
Hutolewa kwa biashara zinazohusiana na masuala ya kitaifa au kimataifa, au zinazongozwa na sera maalumu.
Leseni ya biashara Kundi “B”
Hutolewa kwa...
Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara ya Pembejeo Nchini Tanzania
Kufanya biashara ya pembejeo za kilimo na mifugo nchini Tanzania kunahitaji kibali rasmi kinachoitwa leseni ya biashara. Leseni hii hutolewa na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria ya Leseni ya Biashara Na. 25 ya mwaka 1972 na...
Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo.
Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today;
1. Kwenye halmashauri
Unaweza kwenda halmashauri wewe mwenyewe ukaomba leseni.
Disadvantage ni kukaa kwenye foleni, au kusimama muda mrefu bila...
Ili uweze kufanya biashara kihalali Tanzania ni muhimu sana uwe na leseni ya biashara.
Sasa Kuna taarifa Tano lazima uwe nazo ili upewe leseni ya biashara;
1. Aina ya Biashara,
Ni lazima uweke wazi ni biashara gani unataka kufanya mf; Vifaa vya simu
2. Wilaya/halmashauri
Ni lazima useme ni...
Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara
1. Leseni ya biashara ni nini?
Leseni ya biashara ni kibali cha kufanya biashara kinachotolewa na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria ya Leseni ya Biashara Na.25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake.
2. Ni makundi gani ya leseni ya biashara yapo?
Kuna...
Mambo ya Kuzingatia Ili Kupata Leseni ya Biashara ya saloon
Ikiwa unatoa huduma za saloon ya kike au ya kiume, kupata leseni ya biashara ni wajibu kisheria. Leseni hii ndiyo kibali rasmi kinachokuwezesha kutoa huduma zako kwa uaminifu, bila usumbufu wa kufungiwa au kulipa faini. Hapa chini...
Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na fursa zingine kubwa. Ukiwa nayo, unakua na uhuru wa kufanya biashara bila woga.
Faida unazopata ukiwa...
Wajasiriamali wengi hudhani wanaweza kuendesha biashara bila leseni, lakini ukweli ni kwamba, bila nyaraka hii muhimu, wanajinyima fursa kubwa zinazoweza kukuza na kulinda biashara zao.
1. Uhalali wa Kisheria na Uaminifu
Kumiliki leseni ya biashara kunakupa heshima na hadhi kisheria. Mteja...
Njia rahisi za Kuomba Leseni ya Biashara Tanzania
Je, unataka kuendesha biashara halali Tanzania? Kupata leseni ya biashara ni hatua ya lazima na sasa mchakato ni rahisi kuliko unavyofikiri. Fuata hatua hizi:
Tembelea tovuti rasmi: www.business.go.tz
Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Huduma”
Chagua...
Nyaraka Muhimu za Kuambatisha
Unapoomba leseni ya biashara, utatakiwa:
Kuwasilisha TIN (Taxpayer Identification Number) kutoka TRA ili kuthibitisha kuwa umejiandikisha kama mlipa kodi.
Kama ni kampuni, jumuisha cheti cha usajili wa kampuni.
Onyesha mkataba wa pango kama biashara ipo eneo la...
Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja
Inatambulisha biashara yako kama halali.
2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika.
3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali.
4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
Unataka biashara yako itambulike kisheria, iaminike na ufanye biashara yako bila wasiwasi? Basi LESENI YA BIASHARA ni kitu cha lazima kwa mafanikio yako!
Na kwa sasa TUNAKUPA OFA YA KUPATA LESENI KWA HARAKA NA GHARAMA NDOGO SANA
Kwa nini Leseni ya Biashara ni Muhimu?
1. Unatambulika kisheria...
Habari za leo wakuu,
Mimi ni kijana wenu mhangaikaji. Leseni yangu ya biashara ya hardware imefikia ukomo, na nilihitaji kuirudia kupitia Tausi Portal. Changamoto niliyonayo ni kuwa sioni sehemu ya kufanya urudishaji wa leseni hiyo.
Nimefuata hatua zote hadi ninapofika sehemu yenye vipengele...
Sababu kubwa ni kwamba ofisi ilikuwa Ilala na sasa imehamia Temeke na leseni yangu ambayo bado iko active nilikuWa sijai-relocate. Na nimehamia hapa mwezi huu kwa hiyo hilo zoezi nilikuwa njiani kulifanya ila wao wameniwahi na hawataki kuelewa kila napowapa maelezo.
Wamemchukua mhasibu wangu na...
HABARI, poleni kwa pilika ya kutwa kutimiza majukumu ya kila siku.
Ndugu zangu naomba kwa anejua taratibu za kuzifuata ili kupata leseni ya biashara na vigezo vyake pia na gharama zake hususani katika jiji la Dar es Salaam.
Kama kuna uzoefu wa sehemu nyingine sio mbaya nitajifunza ila kwa sasa...
Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu.
Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew.
Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo...
TRA watembee na documents ambazo zinamuwezesha mtu aliyefungua biashara yake bila leseni ya biashara wanapofika madukani wakikuta hauna leseni basi hapo hapo uwe unabuwezo wabkupewa tin, pia wakupatie na leseni yako ili kudhibiti ukwepaji kodi kuliko kumfungia mtu biashara yake.
Sisi ni wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.