Wabongo wengi tunapenda penda lawama sana , kuliko uwajibikaji, kwa mfano mfupi tu angalia hata humu JamiiForums .
Kuna nyumbu kazi yao ni kulalamika nyuzi ya jf kwa sasa zimekua za kijinga, ila ukiangalia hawana mchango wowote wa maana wa kuleta nyuzi makini .
Watu wa aina hii ndio...