Lamine Yamal Nasraoui Ebana (born 13 July 2007) is a Spanish professional footballer from Catalonia, having arab origins, that plays as a right winger for La Liga club Barcelona and the Spain national team. He is regarded as one of the best young talents in the world.
Zimekuwepo tabia za wazungu kuwabagaza wachezaji wenye asili ya Africa kutokana na wivu walionao tu na ubaguzi wa rangi
Nakubali Lamine Yamal ni kijana mdogo japo ni star, Kwa umri wake laZima bwana mdogo afanye makosa mengi ila kama watu wazima ilitakiwa kumsimamia na kumsaidia vizuri...
wakuu
=====
huyu Yamal kweli ni bwana mdogo amemsahu hata pele???
Nyota chipukizi wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ameibua mjadala mzito mitandaoni baada ya kutangaza kikosi chake cha ndoto (all-time XI), kikosi ambacho kimejaa mastaa waliotawala enzi za tiki-taka na mafanikio makubwa ya klabu...
"Messi ametengeneza njia yake, mimi nitaitengeneza yangu."
Hayo ni maneno ya Lamine Yamal, nyota chipukizi wa FC Barcelona, mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa atavaa jezi namba 10 — jezi maarufu iliyowahi kuvaliwa na Lionel Messi katika kikosi hicho.
Kupitia FC Barcelona, Yamal alitoa kauli...
Onlyfans model fati Vasquez has threatened legal action over the threats she has received since being seen holidaying with Lamine yamal.
Vasquez, who also a youtuber and fitness influencer was spotted spending time with Barcelona wonder kid yamal during his summer break, the 29 years old has...
Nimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi
Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana...
Hilo mnalionaje wakuu kijana ana kipaji sana Cha mpira kiwange chake ukimtazama vizuri bila wasiwasi ni robo ya uwezo wa Messi +nusu Ronaldinho gaucho+nusu Neymar Jr.
He deserves hachoshi kumtazama kila mda utatamani awe na mpira yeye tu kwa anachokifanya.
Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.
Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana...
Mkongwe wa uholanzi Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE YAMAL NASRAOUI EBANA kuwa akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali
Je Kuna uhusiano wowote kati ya mlegezo na kiwango cha mpira
Mimi naona wakongwe wangenyamaza tu kila mtu ana uhuru wake binafsi namuona lamine Huwa anapendeza akivaa ivyo...
Mchezaji kinda wa Barcelona, Lamine Yamal, amewasili katika hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or akiwa ameongozana na mdogo wake.
Soma, Pia:
• Rodri atua na magongo ndani ya Paris kupokea Ballon d'Or aliyoporwa Vinicius Jr
• Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti...
Lamine Yamal is a young football prodigy, quickly capturing global attention for his extraordinary talent on the field. Born on July 13, 2007, in Esplugues de Llobregat, Spain, to parents of Moroccan and Equatorial Guinean descent, Yamal has already achieved numerous milestones in his early...
Wadau hamjamboni nyote?
Mounir Nasraoui anaripotiwa kuwa katika hali mbaya baada ya kushambuliwa katika mji ulioko kaskazini mwa Barcelona.
Mounir Nasraoui, baba wa nyota kijana wa timu ya taifa ya Uhispania na Barcelona, Lamine Yamal, alidungwa kisu Jumatano usiku, kwa mujibu wa ripoti kadhaa...
Lamine Yamal ni kijana mdogo tu wa miaka 17 sasa, ambaye tayari ameshajipatia umaarufu mkubwa kutokana na kipaji chake cha kusakata soka, ni mchezaji tegemeo Barcelona na pia juzi juzi tu ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi katika michuano ya Euros akiiwakilisha Hispania.
Bahati mbaya...
Tumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
Salaam Wakuu,
Nimekutana na taarifa inayodai kuwa Mchezaji Kinda wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Uhispania Lamine Yamal ana mtoto wa miaka mitatu.
Taarifa hii imenistua sababu Kinda huyu ametimiza miaka 17 siku mbili zilizopita (13/07/2024). Kuwa namtoto wa miaka mitatu inamaanisha alipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.