kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Catherine Kariuki, Mwanahabari aliyepigwa risasi na polisi ameruhusiwa kwenda nyumbani.

    Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye maandamano ya #RutoMustGo jijini Nakuru. Catherine ambaye alikuwa kazini akiripoti mubashara...
  2. JamiiForums Tanzania Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

    Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu. Mke wangu kwa vile...
  3. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Ajib uliniumiza mno pale ulipokataa kwenda TP Mazembe iliyokuwa ya Moto kwa Signing Fee ya Milioni 350 na Mshahara wa Milioni 15 kwa Mwezi

    Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameiambia Mwananchi kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika...
  4. JamiiForums Tanzania Wenye Akili tunajua kuwa Ziara yenu Maalum kwenda Ikwiriri ni ya nini, ila tunasisitiza Kwenu kuwa Msimu huu Ubaya Ubwela tu

    Tayari Mtaalam wenu wa Tegeta ( Dada ) na yule wa Lindi ( Mpwa wake Boss Kwetu ambaye pia anatumiwa na Boss namba Tatu nchini ) Watu wameshamalizana nao. Huyo wa huko Ikwiriri Mkoani Pwani mlikoelekezwa na yule Mzee wenu Muhuni aliyempiga Mkwara Rais wenu wala hana Maajabu. Tumejipanga.
  5. JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakatoliki Wenzangu mliokomaa katika Ukatoliki naomba huu ufafanuzi wa nani hasa anatakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu Siku za Maombi

    Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
  6. JamiiForums Tanzania Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Basi linalosafiri kutoka Nairobi kwenda Kigali kwa kupitia mpaka wa Rusumo.

    Nahitaji basi linalosafiri kati ya Nairobi na Kigali likipitia mpaka wa Rusumo nchini Tanzania. Naomba kufahamu jina la kampuni na ikiwezekana na nauli.
  8. JamiiForums Tanzania Naona noma kwenda gym na kamwili kangu kembamba

    Habari Muda mrefu nimekuwa nikitamani kuanza mazoezi ya mwili gym, lakini mara zote huwa napatwa na hofu kuwa pale gym mimi pekee yangu ndio nitakuwa kimbaumbau Wale watu wa gym mliwezaje kuanza mkiwa na mili yenu membamba mimi naona noma wakuu.
  9. JamiiForums Tanzania Suala la Chama kwenda Yanga ( KIROHO)

    Words are instrument of creation. Maneno yanaumba. Kwa muda wa miaka minne mashabiki wa Yanga wamekuwa wakisema " Chama kasajiliwa Yanga, Chama kasajiliwa Yanga" Hatimaye Chama kasajiliwa Yanga kweli. Kwa miaka yote hiyo wakati mashabiki wa Yanga wakisema " Chama kasajiliwa Yanga" hawakuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Usajili wa Chama kwenda Yanga -Yanga hamueleweki, sijui mna shida gani!

    Salaam Wakuu.. Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo. Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo. Ina maana huyu Chawa amegeuka...
  11. JamiiForums Tanzania Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mnaopenda kwenda ughaibuni kutafuta Maisha

    Ndugu zangu kama kawaida yangu Huwa nikipata wasaha wa kuwaasa vijana wenzangu , Huwa sipendi kuwa mchoyo wa taarifa hivyo Leo nimeona niwafunue ubongo maana kupitia bandiko langu nililoweka la fursa za ajira Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu Watu wengi wamekuwa wakinitafuta kwaajili ya...
  14. JamiiForums Tanzania Sasa ndiyo utawajua Watanzania walivyo Wanafiki baada ya kwenda Kwako Nyavuni kuanzia Leo nao Wote sasa Watakugeuka na Kukucheka pia

    Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamebariki kifungo cha mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina cha kutohudhuria vikao 15 vya Bunge mfululizo kwa kosa la kumtuhumu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuwa alilidanganya Bunge kuhusu sakata la kuagiza sukari nje. Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Habari ya mjini kwasasa ni Msoga marathon, kuunguruma Jumamosi hii Juni 29 ili kwenda kusaidia huduma ya afya ya mama na mtoto

    HABARI YA MJINI KWASASA NI MSOGA MARATHON, KUUNGURUMA JUMAMOSI HII JUNI 29 ILI KWENDA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO 💥Usajili wake unaendelea nchi nzima, Zoezi la Ugawaji Vifaa kwa ajili ya kukimbia na Msoga Marathon linaendelea 💥Jisajili sasa upate vifaa vyako ili Jumamosi tukate...
  16. JamiiForums Tanzania Ufahamu; Ndege aliyotumia Rais kwenda SA kwenye uapisho wa Ramaphosa ,Boeing 787 inabeba abiria wangapi?

    Mimi ni mtanzania mlipa Kodi. Ninaomba wenye kuweza kunielewesha jambo hili. Je ndege iliyo tumika kumpeleka Rais Samia Africa ya kusini kwenda kwenye uapisho wa Ramaphosa aina ya Boeing 787 inabeba abiria wangapi? Nikipata jibu nitauliza swali la pili?
  17. JamiiForums Tanzania Familia inayomuweka Marehemu kwenye Sanduku/Jeneza la kuanzia laki 3 kwenda Juu,hiyo Familia itakuwa na matatizo ya kiakili

    Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya! Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume Ukraine waacha kwenda masokoni,mikahawani,shughulini na sehemu za ibada kuogopa kukamatwa kupelekwa mstari wa mbele

    Kaka Serhiy na dada Tania walikatisha kufanya harusi yao ufukweni mwa bahari wakihofia hali mbaya ya hewa.Hata walipoingia kwenye ukumbi walikoalkwa wageni kushuhudia harusi yao bado waligundua hali isiyo rafiki kwa furaha yao.Viti zaidi ya nusu vilikuwa ni vitupu ikiwa na maana waliohudhuria ni...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamka vibaya, nakusudia kwenda kumuona Waziri wa Michezo na Waziri wa Viwanda na Biashara kujua Transformation ya Simba itakamilika lini

    Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken. Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited? Mwaka zaidi ya wa3 bado...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiangalia channel ya Travelxp unaweza kutamani kwenda Kila mahali duniani

    Anyway ni kusema wenzetu wanajua sana ku brand utalii wao na vivutio hasa hotel zinaonesha namna gani utapata malazi mazuri chakula kizuri na kampani. Hapa Jf ukitaja utalii utaona vijana wanaulizia masuala ya riki boy ilihali Kuna mengi sana ya kufurahia. Nashauri serikali iangalie namna ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…