kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtoto akitaka kwenda kusoma nje anapimwa Reading, Listening, Speaking and Writing. ila necta wanapima tuu writing

    Tutafika kweli? Kuna haja ya english language kuwa na speaking, listening and reading Practical test Yaani una division one lakini bado lugha.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania anapaswa kuwa na huruma na Lissu. Hata mke wake hajawahi kwenda kumuona gerezani

    Ndugu zangu Watanzania, Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu. Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini Watanzania wengi huwa wanalazimsha watu waende kwenda kwenye misiba?

    Nimeona mwanafunzi mmoja wa chuo anaitwa Kiriba analalamika CHADEMA hawakwenda kwenye msiba wa Samia. Huwa naona pia Steve Mengele akilalamikia kwa uchungu sana wasanii wakikosa kwenda kwenye msiba. Ni Watanzania wengi huwa naona wana hii tabia ya kulalamikia au kulazimisha watu kwenda kwenye...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Usafiri kutoka Mbagala mgeninani kwenda kariakoo/steshen ni tatizo

    N lini LATRA watafuatilia suala la daladala za vikunai - gerezani /steshen kukatisha route? Nu miaka mingi sasa magari yakanatisha route na kuishia mbagala kuu ilihali yanapaswa kufika mgeninani had vikunai
  5. JamiiForums Tanzania Morogoro: Serikali yatuma Wataalamu kwenda kumhoji Kakakuona kama kuna mvua ya El nino yenye Maafa

    Kakakuona aloonekana Kilosa kasema kwamba mvua zitanyesha za Kilimo. Hivyo Watanzania Mumehimizwa kumzingatia Kakakuona. Mnyama aina ya Kakakuona ameonekana katika kata ya Kimamba,Kilosa ,mkoani Morogoro. Wazee wa wilaya hiyo wamefanya mila ya kumuwekea vitu mbali mbali ambapo atakachochagua...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Nurses wenye guts na wanaotamani kwenda Canada, British Columbia inakuita

    Haya malink hayo jilipue ila consistence ya kufuatilia na kufuata maelekezo inahitajika sio narenare ya kusubiri ulishwe kwa kijiko kibongobongo, mambo ya spoon feeding yale yetu. Ukiweza kuruka viunzi vyote wanakupa bursary kabisa ukaanzie maisha...
  7. JamiiForums Tanzania ๐…๐ž๐ฆ๐š๐ญ๐š: Wachimbaji Madini waliokwama kwenda Canada watarejeshewa fedha zao Oktoba 23, 2026

    ๐“๐€๐๐†๐€๐™๐Ž ๐Œ๐€๐€๐‹๐”๐Œ๐” ๐Š๐–๐€ ๐–๐€๐’๐€๐…๐ˆ๐‘๐ˆ ๐–๐€ ๐’๐€๐…๐€๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐‚๐€๐๐€๐ƒ๐€ ๐–๐€๐๐€๐Ž ๐ƒ๐€๐ˆ ๐…๐„๐ƒ๐‡๐€ ๐™๐€๐Ž ๐Š๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ ๐œ๐จ๐ง๐Ÿ๐ž๐ซ๐ž๐ง๐œ๐ž ๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐ฐ๐š ๐’๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ฅ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ฆ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ฐ๐š๐œ๐ก๐ข๐ฆ๐›๐š๐ฃ๐ข ๐Œ๐š๐๐ข๐ง๐ข ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐๐๐ฎ๐ ๐ฎ ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐–๐š๐ฆ๐›๐ฎ๐ซ๐š ๐๐ข๐ง๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ฒ๐š๐ค๐ž, ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ฉ๐จ ๐ง๐š ๐ฎ๐ญ๐ž๐ค๐ž๐ฅ๐ž๐ณ๐ฐ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ก๐š๐ฒ๐จ ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฐ๐š๐ง๐ ๐จ ๐ค๐ข๐ค๐ฎ๐›๐ฐ๐š ๐›๐š๐š๐๐š ๐ฒ๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ...
  8. JamiiForums Tanzania Jasmine anywa sumu na kujinyonga baada ya kunyimwa nauli ya kwenda Singida na mumewe.

    Jasmini Hamisi, mkazi wa mtaa wa Murieti, kata ya Murieti jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kunywa sumu na kisha kujinyonga, siku moja baada ya maelezo kuwa aliwahi kumwomba mumewe nauli ya kwenda Singida kuwasalimia wazazi wake. Inaelezwa kuwa Jasmini alimwomba mumewe, Hamisi...
  9. JamiiForums Tanzania Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

    Naamini kuwa dini ni kama mtego tu, Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua. Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi. Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha. Watu wako so brainwashed mpaka...
  10. JamiiForums Tanzania Mnashangaa John Pambalu kukamatwa, kwanini hamjiulizi aliondokaje Tanzania kwenda Kenya kwa Maria Sarungi

    Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake. Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania KERO Angalia Barabara toka Dodoma kwenda Iringa. Serikali ijitafakari

    Clip inatosha bila maelezo
  12. JamiiForums Tanzania Mkumbo wa Vijana Kwenda Kulelewa na Vibibi vya Kizungu: Vijana Wakumbushwe Pesa Usiyoitolea Jasho Haina Thamani.

    Vijana wa sasa wanaamini sana kwenye shortcut, lakini wajue kabisa shortcut huwa ni kwa ajili ya dharura tu, ukiifanya kama ndiyo normal life yako hakika nawe hautatoboa.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Uislam unazidi kwenda kuitawala Dunia, Binti wa Kisomali achaguliwa Bunge la Uingereza

    Sagal Abdi-Wali aliapishwa Jumatatu kama mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza, huku akiweka mkono wake juu ya Quran wakati wa kula kiapo. Anatajwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Somalia katika historia ya Uingereza. Abdi-Wali, ambaye aliwasili Uingereza akiwa mtoto...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada๐Ÿ˜ญ

    Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume: Tabia 5 ambazo ukiziendekeza basi fahamu kwamba kufa mapema au kwenda jela kwako ni jambo lisiloepukika.

    1. Tamaa ya Mali na Fedha 2. Kiburi na Ujuaji 3. Wizi na Utapeli 4. Dhambi za Zinaa na Uzinzi 5. Hasira zisizo na mipaka
  16. JamiiForums Tanzania Misiri kwenda Kanani.

    Habari za jumapili wanajamvi. Natanguliza samahani kwanza kama nitakosea. Pia naomba kukosolewa na kuelimishwa ili nielewe. Kutoka katika Bibilia Takatifu, maandiko yanasema kwamba Wana wa Israel walitembea kutoka Egypt kwenda Kanan kwa miaka 40. Umbali kutoka Misri kwenda Kanani ni kati ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania 50m mtaji kwenda china au nifungue biashara Gani dar au mkoa wowote?

    Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
  18. JamiiForums Tanzania Kuna watu wengine wameacha kabisa kwenda kuwatembelea ndugu

    Ndio . Kuna ambao kabisa wameacha kwenda kuwatembelea ndugu kama aunties, uncle n.k . Kwa sababu muda mwingine wakienda kuwatembelea hawa wajomba na mashangazi ,zile kumbukumbu za maumivu ya utotoni (childhood traumas) walizozipitia wakiwa huko kwa akina ndugu zinajirudia na kuleta Hali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Dudubaya aende huko Pakistan kuna masoko maalum ya kwenda kujipatia wavulana walio jipamba kama wasichana kwa ajili ya burudani

    *dudubaya Huko bannu khyber pakhtunkhwa nchini Pakistani kuna soko ambapo wavulana hupigwa mnada hadharani
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Walokole wako serious, Kuna siku watapaa kama ndege kwenda mawinguni mbinguni kuishia?

    Walokole (Wapentekosete) wanaamini kuna siku bwana Yesu atakuja kuchukua watu wake na waamini walio hai pamoja na wale waliokufa watafufuka na kupaa kwenda mawinguni mbinguni kuishi na Yesu Kristo! Watu Waovu watabaki duniani hawatapaa kwenda mbinguni. Kama mke wako ameokoka na wewe hujaokoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ