kwasababu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msipokee rambirambi wala salamu za pole kutoka kwa wale wanaowaua kwasababu za kisasa

    Kwa mujibu wa post ys Tundu Lissu kwenye mtandao wa X, aliekuwa mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Manyoni mkoani Singida, bwana George Juma Mohamed aliepigwa risasi na kufarika, anatarajiwa kuzikwa leo. Witio: Tusiruhusu watesi wetu wafike msibani kwa lolote na wala...
  2. JamiiForums Tanzania Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  3. JamiiForums Tanzania Pengine watu wengi hukosa haki zao kwasababu ya changamoto za majina ya NIDA

    📖Mhadhara (68)✍️ Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo akiwa na mwenzake walikuwa wanazungumza jambo. Kwenye mazungumzo yao dada mwenye duka anamshauri...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM, Kigoma atema cheche mbele ya Zitto Kabwe: Tumekwenda Jela kwasababu ya Matumbo yenu, miaka 10 nakokota matumbo yao

    Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki because huduma itakata.

    ANDIKA hii, kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki kwasababu huduma itakata😀 na watapauka wanatafuta mwanaume mwenye pesa wanazaa naye ili wapate maisha kupitia yule mtoto wake Andika na hii ya mwisho, wapo wadada...
  6. JamiiForums Tanzania 90% ya Matatizo yetu ni kwasababu tunadharau mambo haya

    Wakati mwingine usiogope kuwa peke yako katika baadhi ya mambo,kwani inakufanya uwe na nguvu na kufahamu uwezo wako Kadri unavyojifahamu wewe binafsi ndio utagundua hauhitaji mchango wa watu wengine Tunapata hofu pale tunapokaa tu lakini tunaishinda hofu kwa vitendo Simama na pambana na hofu...
  7. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya watanzania yanazorota kwasababu ya ushamba wa matajiri na ukosefu wa maono toka kwa Wanasiasa

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
  8. JamiiForums Tanzania Ferrari wamezindua Ferrari F80, inayouzwa Tsh Billion 10.5 tu! Na ata kama unayo iyo pesa, huwezi nunua kwasababu yameshauzwa yote!

    Ni tabia ya Ferrari kuzindua racing-inspired supercar kila baada ya miaka 10, na last time 2013 tuliletewa Ferrari LaFerrari, na sasa mrithi wake amefika. Ferrari F80 ni supercar. Ni racing car. Ina DNA za Ferrari 499 na SF NB: Ferrari 499 ni hypercar iliyoshinda LeMans mara mbili. Na SF...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna ubaguzi wa rangi wala mfumo dume, Democrats wameshindwa kihalali kwasababu wameiharibu mno marekani na wangeharibu zaidi wangeshinda

    Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani, Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu kaapa anaenda kuyafuta na kuyarekebisha. Mfumuko wa bei na maisha kuwa juu, vyuma vimekaza...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya kuishi sehemu unayoipenda lakini hapana pesa na sehemu usiyoipenda lakini Pana pesa?

    Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu? Kuliko kuishi sehemu usiyo ipenda na huna Amani napo lakini kiuchumi pako vizuri na ukikomaa unatoboa?
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

    Huu uzi naundika mahususi kwa kwasababu ya mdau mmoja ambaye anatupigia sana makelele hapa jukwaani kuhusiana na mwanamke bikira,kwa mtazamo wake anaona mwanamke bikira ndio sababu ya utengamano wa ndoa kitu ambacho si kweli kwa asilimia mia moja Kwanza ieleweke sio kwamba hatupendi wanawake...
  12. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kujidhuru au kumdhuru mwingine na kudhulumu uhai wake au wako mwenyewe kwa sababu ya mapenzi?

    Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi. Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito au risasi.. Ni ngumu kuvumilia changamoto za kwenye mapenzi lakini inawezekana kuziepuka na kuishi...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

    Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
  14. JamiiForums Tanzania Utaachwa kwenye mahusiano kwasababu ya uchafu

    Shtuka! Usafi wa mwili wako ni jukumu lako.... Swaka kinywa chako zaidi ya mara moja kwa siku. Kama shughuli zako ni za juani baada ya kumaliza kazi koga vizuri na sugua vizuri kwapa zako, tena upake mafuta ya kukata harufu mbaya ya kwapa. Kwa wanawake mnaosuka, kama nywele za kichwani...
  15. JamiiForums Tanzania Mungu ni mmoja, lakini ni kwasababu hakuna kitu kingine

    Wasalaam allaykum na Bwana Yesu asifiwe ndugu zangu watanzania wenzangu wa dini zote. Twende moja kwa moja kwenye mada. Dini zote mbili za Tanzania wanaamini kuwa Mungu ni mmoja. Hii ni kweli kwasababu tunatakiwa tujue hizi sheria za ulimwengu kuwa 1. kila kitu kwenye huu ulimwengu ni kitu...
  16. JamiiForums Tanzania Mungu anaongea na watu mara nyingi. Wengi hawaelewi kwa sababu ya ujinga wao wa mambo ya kiroho

    Mungu ni roho, Mungu anaongea kiroho Haongei kama sisi wanadamu, ana namna zake ambazo ni muhimu uzifahamu KUNA NJII KUU 3 ZA MUNGU KUONGEA NA WEWE 1. KUPITIA NDOTO/MAONO 2. KUPITIA NENO LAKE. Biblia Takatifu 3. KUPITIA WATUMISHI WAKE(MANABII, WALIMU N.K LEO TUONE NJIA YA NDOTO Ndoto...
  17. JamiiForums Tanzania Tunaandamana kwasababu gani, kutoka wapi kwenda wapi kwa nani?

    Hebu nielimisheni, watu wanatakiwa kwasababu gani? Maandamano yanatoka wapi kuelekea wapi? Nani atayapokea maandamano na Hatima kabisa ya maandamano ni nini?
  18. JamiiForums Tanzania Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

    Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi? Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ngao ya jamii haina hamasa kwasababu mapato yote yanaenda TFF na taasisi zingine kwa lengo la kuisaidia jamii lakini zinaishia mifukoni mwa wachache

    Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? " kuanzia mwaka jana ngao ya jamii iliongezwe timu ziwe badala ya mbili, ni kufosi Yanga na Simba zikutane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…