kwasababu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Watu wengi huogopa kile kisichojulikana kwasababu zifuatazo..

    Watu wengi wanaogopa kile kisichojulikana kwa sababu kuu tatu za msingi: 1. Akili hupenda uhakika Akili ya mwanadamu imeundwa kutafuta usalama na utulivu. Haijisikii salama inapokutana na kitu ambacho haijakielewa au haijakikadiria. Kitu kisichojulikana kinawakilisha hatari inayoweza kutokea...
  2. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

    Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli. Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni Uchaguzi. Haya ngoja tuone yafuatayo sasa kwenye uchaguzi huu baada ya kauli hiyo ya Spika wa...
  3. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

    Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele. Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni baa, yaani kila baada ya nyumba nne ni baa. Nilipohama ilikuwa ni kelele kuanzia mda ninaorudi...
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa sana, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo

    Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa za waliovuka 30 hazidumu, wengi huwapati nafasi ya uchaguzi sahihi, wanajitupa kokote kupunguza maneno

    Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka: Unaoa lini? Kwanini hujaoa/hujaolewa? Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini? Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa? Unasubiri nini? Huko kwenye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuteuliwa papa mwenye sura binafsi (personal face) kwasababu za siri

    Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia! Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki, Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma) Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia. Pamoja...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, pozi na madoido yake akina dada wakasome kwasababu hawamuwezi, Jux kayakanyaga

    Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, kijana wetu Jux kayakanyaga Pozi la mjomba pamoja na madoido akina dada wakasome kwasababu hawaingii ndani
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mke / Girlfriend wako akikwambia ukweli humridhishi kwasababu ya matatizo uliyonayo, Je akiku cheat bado una nguvu ya kumwambia "WHY ?"

    Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k. Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ni umri Gani ukiufikia unatamani jamiiforum members wakujue na zile serikali zisizopenda kukosolewa duniani zikufahamu kwasababu huna cha kupoteza?

    Muktadha wa Uzi wangu unajieleza. Nafafanua; Kuna watu wasiopenda wajulikane milele na kwanamna yoyote Ile kwamba walikuwa kwenye social media flani na mawazo haya ndio waliyoyatoa kwenye social media wakiwa hai au wamekufa. Swali langu je wewe ungependa uwe wazi na ujulikane kwenye social...
  10. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwasababu hizi nimeamua kupambana mwezi huu nioe

    01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja. 02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa...
  11. Right Marker

    JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Jumamosi yako itakuwa mbaya kwasababu team yako itafungwa

    KARIAKOO DERBY Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa. Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  13. Moaz

    JamiiForums Tanzania Njia za wananchi kutambua propaganda za wanasiasa kipindi hiki cha uchaguzi kwa sababu zishaanza tayari

    Wananchi wa Tanzania wanapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuepuka udanganyifu wa wazi unaofanywa na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi. Serikali na wanasiasa mara nyingi hutumia mbinu za kiinimacho kama vile miradi ya ghafla, misaada ya muda, na ahadi zisizo na utekelezaji wa kweli ili kuwavuta...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi hii inasikitisha sana ni kwasababu ya mfumo mbovu wa kiutawala uliopo

    Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia. Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine tunachukiwa na watu kwasababu hawakupenda tuwe hivi leo

    Wakati mwingine wanakuchukia kwasababu unavyopendwa na unakuubalika kwa watu au na mtu fulani hapo kazini/ofisini au ulipo Yawezekana kwasababu ya connection hizo ulizonazo na namna unavyoitwa kila mahala. Yawezekana wanakuchukia kwasababu ya kipawa, neema au uwezo ulionao mkubwa kiasi kwamba...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

    "Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

    Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Trump anasema ajali ya ndege iliyotokea Washington ni kwasababu ya sera za kuruhusu watu wa asili ya mataifa kuruhusiwa kuongoza ndege USA.

    Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious. Trump ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu ajali hiyo. Mambo yanaendelea...
  19. kwisha

    JamiiForums Tanzania Nini chakufanya kwa mwanamke ambaye anataka kutawala mwanaume kwasababu ya ngono

    Habari zenu wapendwa Naombeni ushauri juu ya hali hii ambayo kidogo inanipa stress Mimi nikijana nimeoa na nina mtoto mmoja Lakini kuna hali fulani ambayo mke wangu anayo Hali hiyo ni kutaka kunitawala kupitia madhaifu yangu Amegundua kuwa ninapenda sex sana na ameanza kutumia njia hiyo...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa. Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
Back
Top Bottom