kwaresma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    Wakati wa Ramadhan na Kwaresma watu wanaongezeka au wanapungua uzito?

    Nimekua najiuliza sana. Watakaobainika wameongezeka uzito warudie funga.
  2. Tlaatlaah

    Tetesi: Inasemekana, waraka wa kwaresma wa TEC-2026 upo tayari na umejaa maoni binafsi ya katibu mkuu wa baraza hilo pekee

    Ni ajabu na kweli kwamba, eti hata kabla ya baraza hilo halijaketi kuhitimisha tafakari ya kipindi cha siku 40 za mfungo wa kwaresma2026, imebainika tayari kwamba, waraka wa baraza hilo umeshaandaliwa na kukamilishwa muda mrefu tu na katibu mkuu wa baraza hilo, na kwamba yaliyomo ndio mawazo na...
  3. Pdidy

    Maombi ya kufunga kwa ajili ya kwaresma

    NIFUNGE NINI KWARESIMA.? Funga dhambi upate utakatifu. Funga huzuni upate furaha. Funga majivuno upate utukufu. Funga wivu upate baraka. Funga kinyongo upate faraja. Funga uchoyo upate neema. Funga dharau upate heshima. Funga hofu upate imani. Funga kiburi upate unyenyekevu. Funga hasira upate...
  4. ELI COHEN

    CHRIST IS KING, ahsante Shomari Kapombe kwa ujumbe wako murua kwenye tisheti yako

    100% JESUS
  5. Tlaatlaah

    TUNAO FUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NA KWARESMA, TAFADHALINI SANA TUWE WASTAARABU KIDOGO NA VINYWA VYETU.

    Ni kweli miongoni mwa sharti moja wapo muhimu sana katika kufunga ni kujinyima na kujizuia kula na kunywa chochote kwa kipindi cha muda fulani, huku kile tulichojinyima na kukizoea kukutumia tunawasitiri nacho wahitaji wasio jiweza. Ila ndugu zangu midomo na vinywa vya baadhi ya tunao funga...
  6. LIKUD

    Ramadhani na Kwaresma kugongana je is it a coincidence? The evidence says No!!!

    Hoja za Alberto Rivera kuhusu Uhusiano Kati ya Ukatoliki na Uislamu zina fikirisha sana. Alberto Rivera ambae alikuwa jasusi wa Vatican anasema Dini ya kiislamu ilianzishwa na Holy Sea ( Vatican). Anasema Bi Khadija mke wa kwanza wa Prophet Muhammad ( Peace be upon him) alikuwa ni mtawa wa...
  7. Sang'udi

    Kwaresma: Njia ya Msalaba

    Tufwate njia ya msalaba Tuifwate mpaka Kalvario Tusimamepo bila haya Msalaba, Msalaba, huponya roho Sala mbele ya altare Ee Mkombozi wangu, nimekuja leo kufuata njia ile uliyoshika siku ya kufa sadaka yetu. Nimetubu dhambi zangu zote; ninataka kugeuza mwendo wangu; ninaomba kwako niwapatie roho...
  8. Zogoo da khama

    Mfungo wa Ramadhan na Kwaresma

    Poleni kwa mfungo wa ramadhan na kwaresma, safari hii swaumu zimeongozana, sasa ndg zangu nina swali naomba tulijadili kwa mapana yake: Ni hivi kila ifikapo mfungo wa ramadhan taasisi mbalimbali za umma na binafsi, mabenki, watu binafsi huandaa futari au kufutulisha makundi mbalimbali kwenye...
  9. Bueno

    Nawakumbusha wote walioenda kupaka majivu jana, mfungo umeanza!

    Rejea kichwa cha mada hapo juu. Nawakumbusha wale wote walioenda kupaka majivu jana na jana walianza mfungo ila leo wanaendeleza yaleyale ya hapo kabla na wanasema wamefunga mfungo wa Kwarezima, sasa wewe unasengenya, unawasema wengine vibaya, huonei wengine huruma, husaidii wengine, nk...
  10. Alvin_255

    Kwaresma Njema na Ramadhan Kareem: Tutumie funga zetu kuliombea taifa dhidi ya janga la utekaji na maovu Mengine

    Katika kipindi hiki muhimu cha Kwaresma kwa Wakristo na Ramadhan kwa Waislam, tunapoadhimisha nyakati hizi takatifu za toba, tafakuri, na kujitakasa, ni vema tukatafakari nafasi yetu kama jamii inayotafuta haki, amani, na utu. Wakati mamilioni ya waumini wakijinyima na kujitenga na starehe za...
  11. Z

    Watanzania wenzangu nawaomba tutumie vyema mfungo wa Ramadhan na Kwaresma, tuombe Mungu atuepushe na ukame na njaa

    Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka. Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaa. Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
  12. hamis77

    Kwaresma ni sikukuu ya kipagani

    JUMATANO YA MAJIVU NI UPAGANI ✝️ Neno la Kwaresima Siku ya Jumatano ya Majivu ni siku ya kwanza ya kipindi cha Kwaresima, na katika siku hii, watu hupakwa majivu kwenye vipaji vya nyuso zao. Jiulize mwenyewe, je ni wapi katika Biblia unaweza kuona desturi hii? Hata Yesu na mitume wake...
  13. KING MIDAS

    Kwaresma Sio mpango wa Mungu, ni mihemko tu ya kibinadamu

    Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma. Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu. Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
  14. musicarlito

    Hongera ndugu zetu Waislamu. Wakristo tujifunze kwa hili kutoka kwa ndugu zetu

    Wasalaam Ndugu zetu waislamu wameanza mwezi mtukufu tangu tar 2...wanatimiza moja kati ya nguzo muhimu katika imani yao Chanda chema huvishwa Pete...tangu wenzetu wameanza mwezi mtukufu,mwamko unauona ni mkubwa sana,watu wa kada mbalimbali,wakubwa kwa watoto,hata wale tunaowaweka kwenye...
  15. Beira Boy

    Kwaresma na Pasaka Special Thread

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU Tumsifu YESU KRISTO. AMINA Tumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kila jambo hasa kwa kumtuma mwanae aje atukomboe . AMINA PASAKA ni nini pasaka ni kuteseka/mateso/ kifo/kufa/na kufufuka kwa YESU KRISTO PASAKA ilianzia misiri lakini badae wana...
  16. W

    Israel yaridhia kuongezwa muda wa usitishwaji vita hadi Ramadhan na kwaresma itakapokwisha

    Israel imekubali kuongeza muda wa usitishwaji wa mapigano huko Gaza ambao utadumu kwa muda wa Ramadhani na Pasaka ya Kiyahudi. Hamas hapo awali ilikataa wazo la kuongeza muda huo, badala yake inapendelea utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishwaji wa mapigano. Israel ilikubali pendekezo...
  17. Mkalukungone Mwamba

    Serikali ya Singida yaonya Wafanyabiashara dhidi ya kupandisha bei za vyakula kipindi cha Ramadhani na Kwaresma

    Serikali mkoani Singida, imeonya wafanyabiashara watakaopandisha bei za vyakula kuelekea mfungo wa Ramadhani, kwa Waislamu na Kwaresma kwa Wakristo, huku ikisema haitavumilia hatua yoyote ya kujinufaisha kipindi hicho, kwa gharama kubwa ya wananchi. Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar...
  18. M

    Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  19. R

    Wanaoiba kura tukiwa katikati ya mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni akina nani?

    Salaam, Shalom!! DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki, Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake, Swali LANGU, Hawa wanaoiba kura kipindi hiki wanazo dini? Au wana dini ila Hawajafunga? Nauliza tena...
  20. G

    Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote. Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo Ramadhan inakutanisha waislam wengi...
Back
Top Bottom