kwa wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa wanaume tu: Kabla ya kumuoa binti, jitahidi umjue mama yake!

    1. Kabla ya kuoa mwanamke, mjue vizuri mama yake. Mabinti huchukua tabia za mama zao 2. Oa mwanamke atakaye kuheshimu hata kama ana hasara au umemkosea 3. Usipende kutamka neno 'nakupenda' au 'I love you' Aidha Kwa mkeo au wanao usipende kusema love you Wanaume halisi tunaonyesha upendo Kwa...
  2. Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

    Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa, mimi nina Perfume Nail cutter Lotion Body spray Lip gloss Aftershave Tweezers bila kusahau mafuta ya nywele So what am I missing here?
  3. Hii ni kwa wanaume tu

    Habari zenu wanaume wa humu ndani. Natumaini hamjambo kabisa. Leo nakuja na Uzi huu maalumu kwa akili yenu. Kuna watu watanielewa, watanidharau, watanipinga na wengine wataguswa. Twende kwenye mada. Ukiachana na kubeba shingo upara katikati ya miguu yetu ila kuna tabia hizi hapa ambazo lazima...
  4. Wazee wa Mitindo, Tupeane dress code za Beach

    Wakuu. Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress. Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja. Pamoja. PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
  5. Kwa Wanaume

    1. Haijalishi mkeo anafanya kazi na anapata pesa au hafanyi kazi, jukumu kumtunza yeye na familia yako ni lako wewe mwanaume. 2. Kifo sio kitu ambacho mwanaume anatakiwa kukiogopa, mwanaume anatakiwa kuogopa umasikini ambao utamfanya adharirike na familia yake kuishi kwa shida. 3. Kama...
  6. Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

    Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu. Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa. Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta. Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au...
  7. Swali kwa wanaume: mwanaume mwenzio akipitiwa na usingizi kwenye usafiri akakuegemea begani, utamuacha?

    Najua wanaume wengi hutulia hata kufurahia wakiegemewa na mwanamke kwenye usafiri wa umma, ila je ikiwa ni mwanaume mwenzio, utamuacha?
  8. Swali Kwa wanaume kama una mbususu usijibu🚫?

    TUKIACHANA NA Tabia ya mwanamke mmoja mmoja ni wanawake wa kabila gani ni wachapakazi, wanajua mchezo mtamu vizuri, wanajua ku care, alafu watulivu wakikupenda kweli? Jibu direct usilete ungese🚫😎✌️😎
  9. Vidonge vya kuzuia Uzazi kwa Wanaume mbioni kuingia Sokoni

    Mamlaka ya chakula na dawa nchini marekani ilipitisha njia mbalimbali zaidi ya 20 za uzazi wa mpango. Njia mbili tu zimethibitishwa kwa wanaume kuweza kuzuia mimba kwa wapenzi wao nazo ni kondomu na kufunga kizazi(vasectomies). Asilimia 25% ya wanawake wanatumia njia ya kutumia vidonge kupanga...
  10. Nimepiga punyeto asilimia 75 % ya umri wangu sasa namashaka na sperm zangu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nilikua mraibu wa punyeto kupita kiasi takribani robo tatu 3/4 ya umri wangu na maisha yangu.. Nilianza uraibu wa punyeto baada ya kubalehe tuu na niliijua kupitia kwa kiongozi wa dini ambaye mpaka leo na muona kuwa ni shetani. yeye ndiye aliyenifunza kupiga...
  11. Kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana asubuhi halafu unajamba inatokana na nini?

    Swali, hivi ile issue ya kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana hasubuhi alafu unajamba pyeeee inatokana na nini,? Unaweza ukaona utani ila ukiwa kwenye nyumba za kupanga ni nouma yaani shwaaaa pyeeee😂😂😂😂 Unapata fezeha atari 🤩 yaaani pyeeee Tunaomba Ushauri jinsi ya kuzuia
  12. Swali Kwa wanaume?

    Ni vyakula gaini haswa ni vizuri kwa afya ya uzazi wa kiume? Ulipo ona unawahi ku mwaga wazungu ulifanya ni nini kurekebisha na kupona ili tatizo? Mwisho ni kweli kama umeweza kumfikisha mwanamke flani kileleni orgasm je utaweza kwa kila mwanamke?
  13. N

    Hii mada ni kwa Wanaume miaka 50 na kuendelea: Uhusiano kati ya Kuongezeka kwa Tezi Dume na Ukosefu wa Nguvu za Kiume kwa wenye umri zaidi ya 50

    Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume. Utangulizi: Nilihamasika kuanzisha...
  14. Serikali itoe adhabu Kali, wanaume wanaoshika Maungo ya wanawake hadharani kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na Stendi

    Kwa ambao hamjazoea Lugha Kali. Niwasihi muishie hapahapa! Kwani nitaitumia ili kugusa hisia na mioyo iliyolala. So kama Una tatizo na lugha Kali, au unaadabu Sana, au unakiapo cha kutosoma, kusikiliza au kuona lugha Kali basi ishia hapahapa. Kuendelea kusoma haitahesabika hatia kwangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…