Mpangilio wa rangi za viti na rangi zenyewe umeleta giza ndani ya uwanja wa Mkapa.
Hata Mpira unapooneshwa na kamera kuelekezwa kwenye maeneo ya vitu visivyo na watu au watu wachache unaona kabisa ule mvuto wa uwanja umepungua kabisa.
Inawezekana lengo la kuweka rangi za bendera yetu ya Taifa...
Muandaaji wa matamasha mtanzania au mrundi anaeishi Canada PCK adai miezi ijayo Chris atafanya show kwa Mkapa na tayari ashaongea na management yake na kukubaliana kila kitu venue itakuwa LAKI na ishirini kama kiingilio cha chini zaidi.
Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata kuwa Simba SC hatuwawezi Yanga SC na tusipojitathimini Kimkakati upo uwezekano mkubwa tukaendelea...
Wakuu!
CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
Pia, Soma: Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa
CAF imesema uamuzi huo ni baada ya...
CAF wamewakubalia Simba ombi lao na Sasa Finali itapigwa Kwa Mkapa tarehe 25 May, 2025
JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya Kweli. Soma hapa
Kama CAF
Wamesimama MSIMAMO WAOO
NASHAURI YANGA msikubali kuchezea kwa mkapa final ya crdb
Huo UWANJA HAUKO salama kwa mechi kabisa
Yaani wamehangaika gafla KUREKEBISHA kisa final
Huko nyuma walikuwa wapi na kama walikuwa na uwezo WA KUREKEBISHA mapema kwa nn wasubiri CAF ichague AMAN ndio...
Nahis hamkumuelewa Msemaji Ahmed Ally...simba leo wanapima upepo wakila goli 3 kwenda Juu watakua willingly kucheza Aman ila ikitokea ni goli Moja au Mbili kafungwa watalazimisha hata serikali iingilie kati Match ichezwe Kwa Mkapa.
After game nitakuja kuwaeleza kwa undani ndio muelewe why hata...
Shalom wana wa Mungu.
Naomba niwajuze tu Kumekuwa na UTAPELI UNAENDELEA kwenye upande wa tiketi za mechi zetu nchini
derby
TFF wakijua kabisa mechi haipo mgutto akiamka saa 4 akaropoka wananchi tununue tiketi mechi ipo.
Huyuhuyu saa kumi kasema mechi hamna imehairishwa.
Huu ni utapelimlikaa...
Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa.
CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa. Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa.
Clecentius Magoli apewe Maua yake Kwa kujibu kwa nguvu njama hizo na hatimae uongozi wa CAF kuogopa na kuurudisha mchezo...
Kumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa
kwamba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi.
Hii itatupa fursa ya kucheza...
Kusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na kusiruhusiwe shughuli yoyote ile mpaka siku Berkane waje kukutana na kiama chao mbele ya Watanzania...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa Simba ni miongoni mwa timu zinazotoa vipigo vikubwa barani Afrika huku akisisitiza kuwa tayari wamewahi kuwadhalilisha wapinzani wengi, ikiwa ni pamoja na Horoya AC.
Hata hivyo, anasema hawajawahi kufanya hivyo kwa timu kutoka...
Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare.
Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.